Rais Magufuli acha kumdhalilisha Kikwete

Mleta mada unajitafutia matusi bila sababu yoyote na mimi nasema utukanwe tu, hakuna jinsi
 
Magufuli akiendelea hivi,basi CCM inatapata asilimia 99 mwaka 2020,JK aliingia kwa asilimia 89 kaondoka kwa asilimia hamsini na kitu,JK kwa kweli upole ulimzidi mafisadi wamemharibia sana credibility yake.Baba Magu Rudisha heshima ya CCM kwa kuwatendea kazi watanzania waifurahie nchi yao
Sijui ukoje na akili za kiccm? Ina maana wanaoweza kuongoza nchi hii ni ccm tu na takwimu zako za kuropoka tu hata huelewi
 
Kila raia mwema amuombee, amsaidie kwa nafasi yake na hata ikibidi awe tayari kufa ili Rais wetu aendelee kusafisha uovu katika nchi yetu!
 
sina lengo baya Bali kama mtanzania nimeguswa na one man show anayofanya mh dk magufuli.
ushahidi.

kutembelea muhimbili na kuzungumzia mambo mazito.

"" Juzi rais Magufuli alifanya ziara ya kushtukiza Muhimbili na kumwondoa mkurugenzi na bodi ingawa bodi ilishamaliza muda wake na mkurugenz kahamishiwa wizarani tu wala hajafukuzwa.

Ikulu ikadai Magufuli alikasirishwa sana kukuta mashine za MRI hazifanyikazi ndio maana kaisimanisha bodi,
Lakini jana kupitia Azam Tv Katibu mkuu wizara ya Afya Bw.Mbando alisema mashine haikutengenezwa kwa sababu Magufuli alisema bali ilikuwa tu kwamba akivyotenbekea pale mchakato wa kuikarabati mashine ulishakamilika.

Alisema tatizo lililokuwepo ni kwamba Phillips wanaidai serikali zaidi ya bil 7 ndio maana waligoma kuitengeneza hiyo nashine.

Sasa mchakato wa kupunguza deni ndio ulikuwa unaendelea na zilishapatikana bil3 kutoka hazina walizolipwa juzi hao Phillips ndipo wakakubali kuja kuifanyia mashine ukarabati.

Na hili linaleta maana zaidi kwa sababu wizara haiwezi kutoa bil3 ghafla tu bila kuwa zilikuwa kwenye mchakato.

Kwa hiyo hapa ikulu ilifanya usanii wa hali ya juu kuwaaminisha watanzania kwamba kulikuwa na uzembe pale muhimbili wakati uzembe ulikuwa serikalini. Serikali ilishindwa kulipa deni kwa wakati.

Na inasemeka hili jambo halikumfurahisha Kikwete kwa sababu lilipeleka picha kwamba serkali yake ilikuwa goigoi.

Wakati yeye anasema amefanya juhudi kubwa kuiboresha Muhimbili. Na kwamba tatizo km la juzi linajulikana kwamba ni ukata na ufinyu wa bajeti ndio kikwazo.
.
.safari za nje zimeiletea serikali fedha ambazo zimetumika kujenga barabara, kuboresha miundombinu ya umeme,ujenz wa bandari mpya, ujenzi wa chuo kikuu cha tiba na mambo mengi sana kwa juhudi za kikwete.
" kuna watu wamesafiri nje kuliko safari za kwenda kumsalimia mama yake" kauli hii ya magufuli haivumiliki na kauli iliojaa jeuri.

.kila kilichofanywa na kikwete kuonekana ni tatizo kwa mh magufuli.

kikwete aliunda baraza kubwa la mawaziri ili kurahisisha kuwahudumia wananchi kuliko kuwa na wizara chache kwa watu. million 50
sasa magufuli kudai kunawizara nyingi atazifuta naona lengo ni kuonyesha kuwa utawala wa kikwete ulikuwa dhaifu .

conclusion.
Haina haja kudhalilisha uongozi uliopita ili uonekane u nafanya kazi. rais kama unapitia hapa JF kuna wanachama hawako satisfied kwa namna unavoenenda.
asante.

Yes, kwa wasiokujua sasa wamekuelewa jinsi ulivyo mpuuzi! Endelea kuanika ujinga wako!!!!!!!!!!
 
Mzee mkapa hakukosea kuwa nyie ukawa ni wapumbavu na malofa. Mashetani wakubwa nyie.
 
Ulijua UKAWA ndio wataisoma namba? Haaa you dead wrong my nikka mtanyooka sana mlikuwa mnaishabikia ccm kwa kuwa mlikuwa mnakula kuku kwa mrija kwa kulindwa na kupeana mashavu na Mfumo ,sasa magufuli anaziba mirija unaanza kupiga yoweee tulia hapa kazi na mabadiliko.

Naona umemsahau tu! Ana akili mbovu sana huyu! Wameshikwa pazuri! Waliruka kinyesi wakajua watatua kwenye mikojo kumbe mkojo ni afadhali kuliko kinyesi
 
Magufuli akiendelea hivi,basi CCM inatapata asilimia 99 mwaka 2020,JK aliingia kwa asilimia 89 kaondoka kwa asilimia hamsini na kitu,JK kwa kweli upole ulimzidi mafisadi wamemharibia sana credibility yake.Baba Magu Rudisha heshima ya CCM kwa kuwatendea kazi watanzania waifurahie nchi yao

Ningekuelewa ungesema Magufuli atapata asilimia 99 lakni sio ccm maana watz sasa wanataka mtu wala sio chama maana aliyetufikisha hapa ni chama na JP anajaribu kututoa kwenye tope
 
sina lengo baya Bali kama mtanzania nimeguswa na one man show anayofanya mh dk magufuli.
ushahidi.

kutembelea muhimbili na kuzungumzia mambo mazito.

"" Juzi rais Magufuli alifanya ziara ya kushtukiza Muhimbili na kumwondoa mkurugenzi na bodi ingawa bodi ilishamaliza muda wake na mkurugenz kahamishiwa wizarani tu wala hajafukuzwa.

Ikulu ikadai Magufuli alikasirishwa sana kukuta mashine za MRI hazifanyikazi ndio maana kaisimanisha bodi,
Lakini jana kupitia Azam Tv Katibu mkuu wizara ya Afya Bw.Mbando alisema mashine haikutengenezwa kwa sababu Magufuli alisema bali ilikuwa tu kwamba akivyotenbekea pale mchakato wa kuikarabati mashine ulishakamilika.

Alisema tatizo lililokuwepo ni kwamba Phillips wanaidai serikali zaidi ya bil 7 ndio maana waligoma kuitengeneza hiyo nashine.

Sasa mchakato wa kupunguza deni ndio ulikuwa unaendelea na zilishapatikana bil3 kutoka hazina walizolipwa juzi hao Phillips ndipo wakakubali kuja kuifanyia mashine ukarabati.

Na hili linaleta maana zaidi kwa sababu wizara haiwezi kutoa bil3 ghafla tu bila kuwa zilikuwa kwenye mchakato.

Kwa hiyo hapa ikulu ilifanya usanii wa hali ya juu kuwaaminisha watanzania kwamba kulikuwa na uzembe pale muhimbili wakati uzembe ulikuwa serikalini. Serikali ilishindwa kulipa deni kwa wakati.

Na inasemeka hili jambo halikumfurahisha Kikwete kwa sababu lilipeleka picha kwamba serkali yake ilikuwa goigoi.

Wakati yeye anasema amefanya juhudi kubwa kuiboresha Muhimbili. Na kwamba tatizo km la juzi linajulikana kwamba ni ukata na ufinyu wa bajeti ndio kikwazo.
.
.safari za nje zimeiletea serikali fedha ambazo zimetumika kujenga barabara, kuboresha miundombinu ya umeme,ujenz wa bandari mpya, ujenzi wa chuo kikuu cha tiba na mambo mengi sana kwa juhudi za kikwete.
" kuna watu wamesafiri nje kuliko safari za kwenda kumsalimia mama yake" kauli hii ya magufuli haivumiliki na kauli iliojaa jeuri.

.kila kilichofanywa na kikwete kuonekana ni tatizo kwa mh magufuli.

kikwete aliunda baraza kubwa la mawaziri ili kurahisisha kuwahudumia wananchi kuliko kuwa na wizara chache kwa watu. million 50
sasa magufuli kudai kunawizara nyingi atazifuta naona lengo ni kuonyesha kuwa utawala wa kikwete ulikuwa dhaifu .

conclusion.
Haina haja kudhalilisha uongozi uliopita ili uonekane u nafanya kazi. rais kama unapitia hapa JF kuna wanachama hawako satisfied kwa namna unavoenenda.
asante.

Panya Buku kabisa wewe
Hata Mumeo wa ACT anamkubali Magu
 
Blood Fool. Krokodio madonna.
 
Back
Top Bottom