Rais Magufuli acha kumdhalilisha Kikwete

Wale wote waliokuwa wanafaid kupitia kikwetree lazima yaumie, yaan nch imeendeshwa minimize for ten yrs, afu akataka kumrithisha ndugu yake,
Magufur anachofanya ni kujaza vifusi kwenye mashimo ya aliyemtangulia, naamini kikwe anaumia, na aumie tuuuu, na atasahaulika haraka sana uyu mkkk
werreeee
 
Sina lengo baya Bali kama mtanzania nimeguswa na one man show anayofanya mh dk magufuli.
ushahidi.

Kutembelea muhimbili na kuzungumzia mambo mazito.

"" Juzi rais Magufuli alifanya ziara ya kushtukiza Muhimbili na kumwondoa mkurugenzi na bodi ingawa bodi ilishamaliza muda wake na mkurugenzi kahamishiwa wizarani tu wala hajafukuzwa.

Ikulu ikadai Magufuli alikasirishwa sana kukuta mashine za MRI hazifanyikazi ndio maana kaisimanisha bodi,Lakini jana kupitia Azam Tv Katibu mkuu wizara ya Afya Bw.Mbando alisema mashine haikutengenezwa kwa sababu Magufuli alisema bali ilikuwa tu kwamba akivyotenbekea pale mchakato wa kuikarabati mashine ulishakamilika.

Alisema tatizo lililokuwepo ni kwamba Phillips wanaidai serikali zaidi ya bil 7 ndio maana waligoma kuitengeneza hiyo nashine.

Sasa mchakato wa kupunguza deni ndio ulikuwa unaendelea na zilishapatikana bil3 kutoka hazina walizolipwa juzi hao Phillips ndipo wakakubali kuja kuifanyia mashine ukarabati.

Na hili linaleta maana zaidi kwa sababu wizara haiwezi kutoa bil3 ghafla tu bila kuwa zilikuwa kwenye mchakato.

Kwa hiyo hapa ikulu ilifanya usanii wa hali ya juu kuwaaminisha watanzania kwamba kulikuwa na uzembe pale muhimbili wakati uzembe ulikuwa serikalini. Serikali ilishindwa kulipa deni kwa wakati.

Na inasemeka hili jambo halikumfurahisha Kikwete kwa sababu lilipeleka picha kwamba serkali yake ilikuwa goigoi.

Wakati yeye anasema amefanya juhudi kubwa kuiboresha Muhimbili. Na kwamba tatizo km la juzi linajulikana kwamba ni ukata na ufinyu wa bajeti ndio kikwazo.
.Safari za nje zimeiletea serikali fedha ambazo zimetumika kujenga barabara, kuboresha miundombinu ya umeme,ujenz wa bandari mpya, ujenzi wa chuo kikuu cha tiba na mambo mengi sana kwa juhudi za kikwete.
" kuna watu wamesafiri nje kuliko safari za kwenda kumsalimia mama yake" kauli hii ya magufuli haivumiliki na kauli iliojaa jeuri.

Kila kilichofanywa na kikwete kuonekana ni tatizo kwa mh magufuli.

Kikwete aliunda baraza kubwa la mawaziri ili kurahisisha kuwahudumia wananchi kuliko kuwa na wizara chache kwa watu. million 50
sasa magufuli kudai kunawizara nyingi atazifuta naona lengo ni kuonyesha kuwa utawala wa kikwete ulikuwa dhaifu .

Conclusion.
Haina haja kudhalilisha uongozi uliopita ili uonekane u nafanya kazi. rais kama unapitia hapa JF kuna wanachama hawako satisfied kwa namna unavoenenda.

asante.

Kwa akili ndogo uliyonayo, kama sio umetumwa ama unatafuta pa kula basi ujue tu kwamba kwa Tanzania ya leo tunahitaji mtu kama Magufuli, habari ya kumdhalilisha fulani haituhusu as long as anafanya yaliyo na tija na kufuata taratibu.

Magufuli endelea kufanya yako, bado nakusubiri sana na tamko la mbio za mwenge kufutwa, kuna mambo mengi yanaendelea chini ya kivuli cha mbio za mwenge ukiwemo utumiaji wa fedha za walipa kodi, uasherati uliokithiri kwenye vituo vya kulaza mwenge na hili linaongeza maambukizi ya virusi vya HIV,

Binafsi nilishawaza miaka mitatu kabla ya uchaguzi kuwa mtu pekee aliyekua amebaki na ambaye ni afadhali ndani ya ccm ni Dr John Pombe Magufuli, na ikawa inaniuma sana nikikumbuka kuwa uchaguzi ukiisha halafu ikashinda tena nyinyiem na aliyeteuliwa sio Magufuli basi watanzania wengi wangekata tamaa ya maisha. Muda wote wa awamu ya nne ulikua ni wa machungu kwa mtu mwenye kutafakari na kujua yapi yalipaswa kutekelezwa.

mwacheni Dr Magufuli afanye kazi yake, tumuombee na aendelee zaidi ya hapo mpaka kieleweke. tumechoka kuishi hohehahe ndani ya nchi ya asali na maziwa.

Dr John Pombe Magufuli, simama kwa imani, uwe na ujasiri siku zote, tuko pamoja tutakuombea kila wakati kila siku na kila saa Mungu akupe ulinzi na hekima na ujasiri wa kufanya maamuzi magumu yenye manufaa kwa watanzania.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu Ambariki Dr John Pombe Magufuli
 
Sina lengo baya Bali kama mtanzania nimeguswa na one man show anayofanya mh dk magufuli.
ushahidi.

Kutembelea muhimbili na kuzungumzia mambo mazito.

"" Juzi rais Magufuli alifanya ziara ya kushtukiza Muhimbili na kumwondoa mkurugenzi na bodi ingawa bodi ilishamaliza muda wake na mkurugenzi kahamishiwa wizarani tu wala hajafukuzwa.

Ikulu ikadai Magufuli alikasirishwa sana kukuta mashine za MRI hazifanyikazi ndio maana kaisimanisha bodi,Lakini jana kupitia Azam Tv Katibu mkuu wizara ya Afya Bw.Mbando alisema mashine haikutengenezwa kwa sababu Magufuli alisema bali ilikuwa tu kwamba akivyotenbekea pale mchakato wa kuikarabati mashine ulishakamilika.

Alisema tatizo lililokuwepo ni kwamba Phillips wanaidai serikali zaidi ya bil 7 ndio maana waligoma kuitengeneza hiyo nashine.

Sasa mchakato wa kupunguza deni ndio ulikuwa unaendelea na zilishapatikana bil3 kutoka hazina walizolipwa juzi hao Phillips ndipo wakakubali kuja kuifanyia mashine ukarabati.

Na hili linaleta maana zaidi kwa sababu wizara haiwezi kutoa bil3 ghafla tu bila kuwa zilikuwa kwenye mchakato.

Kwa hiyo hapa ikulu ilifanya usanii wa hali ya juu kuwaaminisha watanzania kwamba kulikuwa na uzembe pale muhimbili wakati uzembe ulikuwa serikalini. Serikali ilishindwa kulipa deni kwa wakati.

Na inasemeka hili jambo halikumfurahisha Kikwete kwa sababu lilipeleka picha kwamba serkali yake ilikuwa goigoi.

Wakati yeye anasema amefanya juhudi kubwa kuiboresha Muhimbili. Na kwamba tatizo km la juzi linajulikana kwamba ni ukata na ufinyu wa bajeti ndio kikwazo.
.Safari za nje zimeiletea serikali fedha ambazo zimetumika kujenga barabara, kuboresha miundombinu ya umeme,ujenz wa bandari mpya, ujenzi wa chuo kikuu cha tiba na mambo mengi sana kwa juhudi za kikwete.
" kuna watu wamesafiri nje kuliko safari za kwenda kumsalimia mama yake" kauli hii ya magufuli haivumiliki na kauli iliojaa jeuri.

Kila kilichofanywa na kikwete kuonekana ni tatizo kwa mh magufuli.

Kikwete aliunda baraza kubwa la mawaziri ili kurahisisha kuwahudumia wananchi kuliko kuwa na wizara chache kwa watu. million 50
sasa magufuli kudai kunawizara nyingi atazifuta naona lengo ni kuonyesha kuwa utawala wa kikwete ulikuwa dhaifu .

Conclusion.
Haina haja kudhalilisha uongozi uliopita ili uonekane u nafanya kazi. rais kama unapitia hapa JF kuna wanachama hawako satisfied kwa namna unavoenenda.

asante.

Hata kama JK ni babako au wewe ni beneficiary wa uzembe aliokuwa nao ni lazima ukubali kuwa haitawezekana tuchague rais aingie madarakani aendelee kuendesha nchi kama alivyokuwa akifanya aliyemtangulia. Hizo hadithi za faida za safari za JK mnazijua nyie watoto au beneficiaries wake. Tunaamini ni porojo za kuwapumbaza watanzania. JK alichagua kuimarisha sekta ya barabara kwa vile ndiko kwenye hela nyingi. Na ndiko walikopigia hela nyingi mnazotamba nazo leo!
 
magufuli ni ukawa full, asante Mungu kwa kujibu maombi yetu pamoja na figisufigisu za magamba. Asante Mungu
 
Sina lengo baya Bali kama mtanzania nimeguswa na one man show anayofanya mh dk magufuli.
ushahidi.

Kutembelea muhimbili na kuzungumzia mambo mazito.

"" Juzi rais Magufuli alifanya ziara ya kushtukiza Muhimbili na kumwondoa mkurugenzi na bodi ingawa bodi ilishamaliza muda wake na mkurugenzi kahamishiwa wizarani tu wala hajafukuzwa.

Ikulu ikadai Magufuli alikasirishwa sana kukuta mashine za MRI hazifanyikazi ndio maana kaisimanisha bodi,Lakini jana kupitia Azam Tv Katibu mkuu wizara ya Afya Bw.Mbando alisema mashine haikutengenezwa kwa sababu Magufuli alisema bali ilikuwa tu kwamba akivyotenbekea pale mchakato wa kuikarabati mashine ulishakamilika.

Alisema tatizo lililokuwepo ni kwamba Phillips wanaidai serikali zaidi ya bil 7 ndio maana waligoma kuitengeneza hiyo nashine.

Sasa mchakato wa kupunguza deni ndio ulikuwa unaendelea na zilishapatikana bil3 kutoka hazina walizolipwa juzi hao Phillips ndipo wakakubali kuja kuifanyia mashine ukarabati.

Na hili linaleta maana zaidi kwa sababu wizara haiwezi kutoa bil3 ghafla tu bila kuwa zilikuwa kwenye mchakato.

Kwa hiyo hapa ikulu ilifanya usanii wa hali ya juu kuwaaminisha watanzania kwamba kulikuwa na uzembe pale muhimbili wakati uzembe ulikuwa serikalini. Serikali ilishindwa kulipa deni kwa wakati.

Na inasemeka hili jambo halikumfurahisha Kikwete kwa sababu lilipeleka picha kwamba serkali yake ilikuwa goigoi.

Wakati yeye anasema amefanya juhudi kubwa kuiboresha Muhimbili. Na kwamba tatizo km la juzi linajulikana kwamba ni ukata na ufinyu wa bajeti ndio kikwazo.
.Safari za nje zimeiletea serikali fedha ambazo zimetumika kujenga barabara, kuboresha miundombinu ya umeme,ujenz wa bandari mpya, ujenzi wa chuo kikuu cha tiba na mambo mengi sana kwa juhudi za kikwete.
" kuna watu wamesafiri nje kuliko safari za kwenda kumsalimia mama yake" kauli hii ya magufuli haivumiliki na kauli iliojaa jeuri.

Kila kilichofanywa na kikwete kuonekana ni tatizo kwa mh magufuli.

Kikwete aliunda baraza kubwa la mawaziri ili kurahisisha kuwahudumia wananchi kuliko kuwa na wizara chache kwa watu. million 50
sasa magufuli kudai kunawizara nyingi atazifuta naona lengo ni kuonyesha kuwa utawala wa kikwete ulikuwa dhaifu .

Conclusion.
Haina haja kudhalilisha uongozi uliopita ili uonekane u nafanya kazi. rais kama unapitia hapa JF kuna wanachama hawako

satisfied kwa namna unavoenenda.

asante.

Hivi ya Mkapa ilikuwaje? I guess it is Karma which is going on
 
mkuu kwa hyo watu milion 50 wanahitaji wizara hamsini kuwahudumia? basi india na china wanahitaji wizara zaidi ya 2000 kila moja. hii kali kuliko zote
 
Acha jamaa apige kazi bana. Hii ndoa ndo kwanza iko honeymoon we unaitazama sawa na inayofanyiwa anniversary ya 50 years. Wapi na wapi!!???

Kama JK anaona ni kudhalilishwa si atasema!. Mbona jukwaani Magufuli alikuwa akichana live uzembe wa watendaji wa serikali ilokuwepo na JK hakusema chochote!!! Sasa wewe nani (au ni wewe mwenyewe Mh. Mstaafu Rais) kuleta majungu hapa?

Acha kitu kikunwe bana kabla kikunio hakijakwisha makali.
 
Tulitaka raisi dictator na tumempata. Anafanya kazi yake by presedential decrees kama ilivyo kwa dictator yeyote. Nafikiri kwa awamu hii approach ya JPJM ni nzuri. Ni vyema akajenga mfumo vizuri isionekane kuwa "one man show". Tumuunge Mkono na tumwombee ulinzi, maana anaweza kuwa anajiongezea maadui!
 
Sina lengo baya Bali kama mtanzania nimeguswa na one man show anayofanya mh dk magufuli.
ushahidi.

Kutembelea muhimbili na kuzungumzia mambo mazito.

"" Juzi rais Magufuli alifanya ziara ya kushtukiza Muhimbili na kumwondoa mkurugenzi na bodi ingawa bodi ilishamaliza muda wake na mkurugenzi kahamishiwa wizarani tu wala hajafukuzwa.

Ikulu ikadai Magufuli alikasirishwa sana kukuta mashine za MRI hazifanyikazi ndio maana kaisimanisha bodi,Lakini jana kupitia Azam Tv Katibu mkuu wizara ya Afya Bw.Mbando alisema mashine haikutengenezwa kwa sababu Magufuli alisema bali ilikuwa tu kwamba akivyotenbekea pale mchakato wa kuikarabati mashine ulishakamilika.

Alisema tatizo lililokuwepo ni kwamba Phillips wanaidai serikali zaidi ya bil 7 ndio maana waligoma kuitengeneza hiyo nashine.

Sasa mchakato wa kupunguza deni ndio ulikuwa unaendelea na zilishapatikana bil3 kutoka hazina walizolipwa juzi hao Phillips ndipo wakakubali kuja kuifanyia mashine ukarabati.

Na hili linaleta maana zaidi kwa sababu wizara haiwezi kutoa bil3 ghafla tu bila kuwa zilikuwa kwenye mchakato.

Kwa hiyo hapa ikulu ilifanya usanii wa hali ya juu kuwaaminisha watanzania kwamba kulikuwa na uzembe pale muhimbili wakati uzembe ulikuwa serikalini. Serikali ilishindwa kulipa deni kwa wakati.

Na inasemeka hili jambo halikumfurahisha Kikwete kwa sababu lilipeleka picha kwamba serkali yake ilikuwa goigoi.

Wakati yeye anasema amefanya juhudi kubwa kuiboresha Muhimbili. Na kwamba tatizo km la juzi linajulikana kwamba ni ukata na ufinyu wa bajeti ndio kikwazo.
.Safari za nje zimeiletea serikali fedha ambazo zimetumika kujenga barabara, kuboresha miundombinu ya umeme,ujenz wa bandari mpya, ujenzi wa chuo kikuu cha tiba na mambo mengi sana kwa juhudi za kikwete.
" kuna watu wamesafiri nje kuliko safari za kwenda kumsalimia mama yake" kauli hii ya magufuli haivumiliki na kauli iliojaa jeuri.

Kila kilichofanywa na kikwete kuonekana ni tatizo kwa mh magufuli.

Kikwete aliunda baraza kubwa la mawaziri ili kurahisisha kuwahudumia wananchi kuliko kuwa na wizara chache kwa watu. million 50
sasa magufuli kudai kunawizara nyingi atazifuta naona lengo ni kuonyesha kuwa utawala wa kikwete ulikuwa dhaifu .

Conclusion.
Haina haja kudhalilisha uongozi uliopita ili uonekane u nafanya kazi. rais kama unapitia hapa JF kuna wanachama hawako satisfied kwa namna unavoenenda.

asante.

Hapa kazi tu. ..kama wewe ni jipu utatumbuliwa tu na kwa hilo mhe.rais jpm hana mjadala na mtu...
 
Kila zama zina mambo yake. Rais Dkt Magufuli apige kazi kibandidu hivi hivi ili nchi inyooke...Usugu uliopo serikali sio wakusafishwa kwa dodoki tena...ni mwendo wa steel wire tu na Dkt Magufuli anajua hilo.

Wewe si ndiyo ulikuwa mpambe wa frontline wa JK leo hii umemtupa hana lake umehamia kwa Pombe, hivi Pombe anatinduaga huko. . .
 
Rais wa nchi kama spend 4 yrs nje ya nchi kwa miaka 10 ya utalala wake
 
Back
Top Bottom