Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,846
- 6,439
Binafsi sitarajii la maana kutoka kwa huyu kiberenge..Hakuna jipya hapo maana pesa zote za mifuko ya hifadhi ya jamii pesa zote ashazitumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi sitarajii la maana kutoka kwa huyu kiberenge..Hakuna jipya hapo maana pesa zote za mifuko ya hifadhi ya jamii pesa zote ashazitumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameanza, angalia azam na tbcsaa ngapi? maana nilivoona huu uzi nikaamka haraka kwenda kuwasha tv...naona TBC mapish tu
INAKUJIA HIVI PUNDE. RAIS WA WANANCHI NA MASKINI WA TANZANIA, DR JIOHN POMBE MAGUFULI KUKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI PAMOJA NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII KUZUNGUMZIA NA KUTATUA TATIZO LA KIKOKOTOO CHA MAFAO YA KUSTAAFU AMBACHO KIMELETA GUMZO KUBWA KATIKA SIKU ZA HIVI KARIBUNI HAPA NCHINI.
RAIS MAGUFULI AMBAYE NI RAIS MSIKIVU NA MCHUKUA HATUA NA MTEKELEZAJI WA KILE ANACHOKISEMA ATATOA KAULI KUHUSU KADHIA HII KUBWA KWA WAFANYAKAZI. STAY TURNED KUPATA HABARI MUBASHARA KUPITIA UZI HUU.