Rais Magufuli aagiza Wajumbe wa NEC kusafiri bure na ndege ya ATCL iliyokuwa inashikiliwa Canada bure kurejea Dar es Salaam

Wajumbe wa NEC Kesho saa 3 Asubuhi watapanda bure na Kurejea Dar es salaam kwa Kutumia Ndege ya ATCL iliyokuwa inashikiliwa Canada na Mabeberu.
Watasafiri Bure Kushuhudia Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM.
Tunatekeleza
Atakuja Rais mwingine mwenye uelewa mpana wa biashara ya ndege, ataziuza ndege hizi kwa bei ya hasara, ili kuokoa fedha za Watanzania kutokana na biashara hii isiyokuwa na faida yoyote ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanapanda kwa gharama ya ruzuku ya chama chetu au kodi za wanyonge?
Huyu jamaa hajui hata ufanyaji biashara unafanyikaje!

Lazima kwenye biashara yoyote, ufanye analysis, ya gharama utakazotumia na pesa utakayolipwa kwa Huduma hiyo, ili ukitoa gharama zako, ndiyo ujue umepata faida kiasi gani

Sasa hawa CCM wanaliendesha hilo shirika kisiasa, halafu kesho likifa, waseme wasaliti wakishirikiana na mabeberu wamefanya njama ili shirika lao life!

Ni hatari kwa nchi kuongozwa na watu wenye "zero brain"
 
Kosa ni kwamba; Laiti angelisema; Chama kitawalipia wajumbe wake wote wanaokwenda Darisalama nauli ya kwenda nyumbani kwa ndege yetu, Hapo tungemuelewa. Ndege hiyo sio ya chama ni ya watu wote.
Hao wajumbe wakipanda bure hiyo sio sahihi. Chama changu nu CCM.
 
Wajumbe wa NEC Kesho saa 3 Asubuhi watapanda bure na Kurejea Dar es salaam kwa Kutumia Ndege ya ATCL iliyokuwa inashikiliwa Canada na Mabeberu.
Watasafiri Bure Kushuhudia Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM.
Tunatekeleza
Wanapanda kwa gharama ya ruzuku ya chama chetu au kodi za wanyonge?
Kwani kuja ilikuwa inakuja kwa gharama za nani? Airway iliyokuwa ìpite katika anga la tanzania ikitokea canada kuja dar ni ile ile. Ni kama imepumzika siku 2 mwanza kisha inaendelea na safari ya dar.
 
Huyu jamaa hajui hata ufanyaji biashara unafanyikaje!

Lazima kwenye biashara yoyote, ufanye analysis, ya gharama utakazotumia na pesa utakayolipwa kwa Huduma hiyo, ili ukitoa gharama zako, ndiyo ujue umepata faida kiasi gani

Sasa hawa CCM wanaliendesha hilo shirika kisiasa, halafu kesho likifa, waseme wasaliti wakishirikiana na mabeberu wamefanya njama ili shirika lao life!

Ni upuuzi mtupu kuongozwa na watu wenye "zero brain"
Destinatìn ni dar es salaam sio mwanza. Dar ndio itaanza kupangiwa ratiba iende wapi na siku zipi.
 
Sikuamini masikio yangu
Huyu jamaa hajui hata ufanyaji biashara unafanyikaje!

Lazima kwenye biashara yoyote, ufanye analysis, ya gharama utakazotumia na pesa utakayolipwa kwa Huduma hiyo, ili ukitoa gharama zako, ndiyo ujue umepata faida kiasi gani

Sasa hawa CCM wanaliendesha hilo shirika kisiasa, halafu kesho likifa, waseme wasaliti wakishirikiana na mabeberu wamefanya njama ili shirika lao life!

Ni hatari kwa nchi kuongozwa na watu wenye "zero brain"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi mkuu lkn bado kuna watu wanalipongeza hilo jambo

Back
Top Bottom