Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
Unadhani hatumii wataalamu? Hiyo ni idara aliyo kaa na kuiweza kwa miaka,hata mkandarasi atakua anajua miaka mi3 ni mingi iwapo kila kitu kipo kwa nini apoteze mudaHivi kwa kuwaharakisha haiwezi kuleta athari hasi kwenye ufanisi na ubora wa kazi?
Ndo nawaza hapa. Kwanini wapewe kandarasi ya miaka minne halafu wao watumie mitatu? Hii nchi hii!!!Hivi kwa kuwaharakisha haiwezi kuleta athari hasi kwenye ufanisi na ubora wa kazi?
Mkataba unasemaje? Kubadili unilaterally terms & conditions za mkataba baada ya ku sign ni halali? Je, hakutakuwa na athari ya kifedha, ubora wa kazi?Mung amlinde Sana
Na kwanini wakati wa kusaini kandarasi walikubaliana miaka minne ilhali walijua ni possible kukamilika kwa miaka mitatu?Unadhani hatumii wataalamu? Hiyo ni idara aliyo kaa na kuiweza kwa miaka,hata mkandarasi atakua anajua miaka mi3 ni mingi iwapo kila kitu kipo kwa nini apoteze muda
Kwa kweli hapo lugha gongana tuNdo nawaza hapa. Kwanini wapewe kandarasi ya miaka minne halafu wao watumie mitatu? Hii nchi hii!!!
Halafu hili suala la Corona natamani akae kimya aachane na kulisemea semea. Watu wanaumwa sana na wengine wanakufa sana tena ghafla ghafla tu na ushahidi upo ila yeye kusema kila siku haipo.
Good question, ngoja tusubiri wajuvi watufafanulieMkataba unasemaje? Kubadili unilaterally terms & conditions za mkataba baada ya ku sign ni halali? Je, hakutakuwa na athari ya kifedha, ubora wa kazi?
Ufipa hamna jema!Na kwanini wakati wa kusaini kandarasi walikubaliana miaka minne ilhali walijua ni possible kukamilika kwa miaka mitatu?
Hapana mkuu ni swala la kueleweshana tu, hakuna haja ya kuitana majina ya kejeliUfipa hamna jema!
Jema kwenu huko Lumumba ni kuharakisha miradi ya miaka minne ijengwe kwa miaka mitatu bila kujali muda uliowekwa ni makusudi ili kulinda ubora wake. Au mmekosa chakuzindua mnawashwawashwa. Ila alisema akitoka madarakani kabla halijamalizika akija mwingine linaachwa. Anajua kabisa ni mradi ambao hauna tija tofauti na kuchezea hela za walipa kodi.Ufipa hamna jema!
Bado kuna zile Kota za magomeni zinazijengwa na hao Suma JKT, nina mashaka sana na ubora wake .JK aliomba suma JKT kupendekeza kujengwa nyumba aliyotakiwa kukabidhiwa taratibu isije ikaja kubomoka. Aliona mbali. Nimekumbuka pia zile hostel za chuo kikuu dar.
Hili la daraja hapana hata mimi napingana nalo hakuna potentialities zozote kwenye daraja hili na hasa kwa ukubwa wake na gharama zake za ujenzi , maana kwa hesabu ya kawaida serikali inatumia pesa nyingi sana kwenye daraja hili wakati sio daraja la kibiashara hivyo halita kuwa na return kiuchumi badala yake kupelekwa kivuko ambacho kingechangia sana pato la taifaUfipa hamna jema!
Halafu kuna haja gani ya kujenga kwa wakati mmoja kota 50+ ambazo zote ni 80% complete kuliko kuanza na batch ya kota 5 hivi ambazo mpaka sasa ungekuwa na over 40 kota complete unakusanya rent tu.Bado kuna zile Kota za magomeni zinazijengwa na hao Suma JKT, nina mashaka sana na ubora wake .
Kitu ambacho huwa kinanisikistisha wakati wote ni watawala kutumia pesa za umma kukidhi matamanio yao badala ya kushuhulika na vipaumbele na changamoto zinazo wakabili wananchi moja kwa moja katika mazingira yao.Jema kwenu huko Lumumba ni kuharakisha miradi ya miaka minne ijengwe kwa miaka mitatu bila kujali muda uliowekwa ni makusudi ili kulinda ubora wake. Au mmekosa chakuzindua mnawashwawashwa. Ila alisema akitoka madarakani kabla halijamalizika akija mwingine linaachwa. Anajua kabisa ni mradi ambao hauna tija tofauti na kuchezea hela za walipa kodi.
Dkt John Pombe Magufuli anaacha rekodi kubwa kuwahi kutokea - sasa sekta binafsi zione umuhimu wa kutumia miundombinu hiyo kwa ajili ya kukuza uchumiIngawa sina hakika kama daraja hilo kwa urefu huo ni potential kiasi hicho hadi litumie pesa nyingi kiasi hicho wakati bado kuna changamoto nyingi sana sekta ya afya na elimu ambazo ni potential zaid.
Nadhani Mh. Anapambana kuacha historia yenye kuvunja record.