Rais kuhutubia Bomang'ombe haitamsaidia lolote

Nimesikia na kuona Mtukufu Rais akihutubia wananchi kwenye eneo la Bomang'ombe huko Kilimanjaro, sina kipingamizi na hotuba yake, bali nina hoja kadhaa.

Bomang'ombe iko Jimbo la Hai ambako ndio anatokea mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe, mtu ambaye amebambikwa kesi ya uongo ya Ugaidi na serikali ya Huyohuyo Hangaya, kwa tafsiri ya haraka haraka ni kwamba Mtemi Hangaya alipita Bomang'ombe ili kujisafisha, hii ni kwa sababu alikoalikwa kwa sherehe za kimagumashi zilizoandaliwa na "watu wa serikali " ili kuwadanganya wachaga siyo Bomang'ombe , kulikuwa na haja gani ya kuhutubia hapo pasipohusika?

Nifupishe kwa kusema hivi, nadhani Hangaya mwenyewe ameona mwitikio aliopata, huu ni mwanzo tu, huko mbele ataona makubwa zaidi, kama umeamua "kumuua nyani " ya nini kumtazama usoni? Endelea kufanya kama ulivyoelekezwa na wapambe wako, hakuna haja ya kutafuta huruma, Dunia nzima inafahamu kwamba Mbowe siyo Gaidi, UNAPOTEZA MUDA WAKO TU.
Sio kila akuchekeae na kupiga makofi anakufurahia. Sauti zilikuwa kubwa kuitikia kila aongeapo, lakini za kinafki. Watu wametishwa kuchukuliwa hatua wasipofika apitapo Samia. Shughuli zimesimama si kuwa hiari, kuaogopa dola.
 
Nchi ina unafiki mwingi sana huyo Mbowe angekuwa muislam naamini kelele zisingekuwepo,watu wange muhukumu kwa dini yake.
Tukatae dhuluma inayofanywa na serikali dhidi ya yeyote bila kujali rangi, kabila, jinsia wala dini yake.
 
ifikie hatua watanzania tuwe na umoja kama taifa, haya mambo tukiendelea kuyafumbia macho hayatoleta matokeo chanya uko mbele, tumetoka kwenye dhama za wasiojulikana leo hii tupo kwenye dhama za ugaid .....tunaelekea wapi kama taifa? wapo watu wanaoshabikia sana swala hili kwa itikadi ya vyama na siasa za maji taka zinazoendelea ndani ya hili taifa lakin niulize swali moja tu " kama msalaba huu aliobebeshwa mbowe angekuwa amebebeshwa baba wa mtu fulan umu jukwaani uyo mtoto angefurahi? binafsi sina itikadi ya chama chochote cha siasa ispokuwa nimeguswa tu na ukatili huu anaofanyiwa Mh mbowe!!
Usihofu , Kila ubaya utalipwa
 
Nchi ina unafiki mwingi sana huyo Mbowe angekuwa muislam naamini kelele zisingekuwepo,watu wange muhukumu kwa dini yake.
Tukatae dhuluma inayofanywa na serikali dhidi ya yeyote bila kujali rangi, kabila, jinsia wala dini yake.
Ya Uamsho tuliyoyapigania kwa zaidi ya miaka 8 hukuyasikia au ndio mkilipwa mnajitoa ubongo ?
 
Wachaga sio wajinga mumuibie kura na bado mnataka kumfunga malizeni mliyopanga kumfanyia msisahau hata Ben Saanane hayupo wachaga wanamlilia sana. Msiende uchagani mnajichumia laana.
Why wachaga na sio watanzania,why wachaga na sio wanachadema.kwani hapo bomang'ombe ni wachaga pekee ndo wanaompenda Mbowe?.au mnakubali ukweli kuwa CHADEMA ni chama cha wachaga.
 
Nimesikia na kuona Mtukufu Rais akihutubia wananchi kwenye eneo la Bomang'ombe huko Kilimanjaro, sina kipingamizi na hotuba yake, bali nina hoja kadhaa.

Bomang'ombe iko Jimbo la Hai ambako ndio anatokea mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe, mtu ambaye amebambikwa kesi ya uongo ya Ugaidi na serikali ya Huyohuyo Hangaya, kwa tafsiri ya haraka haraka ni kwamba Mtemi Hangaya alipita Bomang'ombe ili kujisafisha, hii ni kwa sababu alikoalikwa kwa sherehe za kimagumashi zilizoandaliwa na "watu wa serikali " ili kuwadanganya wachaga siyo Bomang'ombe , kulikuwa na haja gani ya kuhutubia hapo pasipohusika?

Nifupishe kwa kusema hivi, nadhani Hangaya mwenyewe ameona mwitikio aliopata, huu ni mwanzo tu, huko mbele ataona makubwa zaidi, kama umeamua "kumuua nyani " ya nini kumtazama usoni? Endelea kufanya kama ulivyoelekezwa na wapambe wako, hakuna haja ya kutafuta huruma, Dunia nzima inafahamu kwamba Mbowe siyo Gaidi, UNAPOTEZA MUDA WAKO TU.
Mbona mie nimeona tafauti? Watu wamefurika huku na huku, umati tangu unaingia mjini tokea KIA hadi Gulio la Kwa Sadala. Na ile junction ya kwenda Kibong'oto kuna umati hadi Jiweni. Na tumemuona Mbunge Saasisha akiunguruma kutetea irrigation network na stendi ya Kikafu, Mama akaahidi. Nadhani ndugu yangu haya ni ema ya kumbiwa au chuki binafsi umeyatapika kwa hasira. Pole
 
Mkoa wa Kilimanjaro uliachana miaka mingi sana na mambo ya uchief, huko kuna watu walioelimika na kustarabika. wao bishahara na mafaniko ndiyo kiu yao. kama Hangaya anataka kutumia mambo ya uchief basi aje kanda ya ziwa ambako pia machief hawana maana yoyote.
 
Hii movie wameitengeneza makusudi ili wajue uhalisia wa mambo ukoje field, naamini majibu yao wameyapata, walidhani watu wa HAI ni kama Ndugai waliyemkokota akaenda kuongea na Samia huku amenuna.
Ingekuea jpm, maendeleo mgeyasikia kwenye majira,, na waluojenga karibu na barabara wangenyooka[emoji23]
 
Hotuba ya Rais,in kwa ajili ya wananchi wote Watanzania,popote tulipo,vyombo vya habari vimerusha,TV,Radio,magazeti,mitandao,wengi tumeisoma,tumeisikiza,tumeiona.Kwa hiyo usihesabu watu waliopo eneo husika aliliopo,hesabu na walio nje ya hapo.
 
Ya Uamsho tuliyoyapigania kwa zaidi ya miaka 8 hukuyasikia au ndio mkilipwa mnajitoa ubongo ?
Kwahiyo wewe unalipwa na Mbowe ndio maana kila siku unamzunguzia? Wengine tupo huru kukosoa au kupongeza upande wowote.
 
Mbowe ana tuhuma za uhalifu kama Sabaya tu hawana tofauti. Mbowe sio mfalme wa Hai kama alivyo Kwa wajinga MaCHADEMA.

Samia hahitji watu wa wilaya fulani tu bali watanzania wote Na tunampenda sana Na ataendelea mpaka 2030 Mungu amlinde na husuda kama za MaCHADEMA.

Umeandika nyongo tu uliyonayo Kwa Rais Na kupenda kushabikia wahalifu. Igeni ACT wenye hoja za maana maCHADEMA hopelessly kazi kukaa mahakamani kila siku badala ya kushughulika na shida za wananchi.

#MBOWE NI MTUHUMIWA KAMA SABAYA#
Kwani jiwe hakulindwa na husda za chadema hadi akaenda?
 
Nimesikia na kuona Mtukufu Rais akihutubia wananchi kwenye eneo la Bomang'ombe huko Kilimanjaro, sina kipingamizi na hotuba yake, bali nina hoja kadhaa.

Bomang'ombe iko Jimbo la Hai ambako ndio anatokea mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe, mtu ambaye amebambikwa kesi ya uongo ya Ugaidi na serikali ya Huyohuyo Hangaya, kwa tafsiri ya haraka haraka ni kwamba Mtemi Hangaya alipita Bomang'ombe ili kujisafisha, hii ni kwa sababu alikoalikwa kwa sherehe za kimagumashi zilizoandaliwa na "watu wa serikali " ili kuwadanganya wachaga siyo Bomang'ombe , kulikuwa na haja gani ya kuhutubia hapo pasipohusika?

Nifupishe kwa kusema hivi, nadhani Hangaya mwenyewe ameona mwitikio aliopata, huu ni mwanzo tu, huko mbele ataona makubwa zaidi, kama umeamua "kumuua nyani " ya nini kumtazama usoni? Endelea kufanya kama ulivyoelekezwa na wapambe wako, hakuna haja ya kutafuta huruma, Dunia nzima inafahamu kwamba Mbowe siyo Gaidi, UNAPOTEZA MUDA WAKO TU.
QUEEN NZINGA
 
Back
Top Bottom