Chui Jike....!Chifu Fundikira....
Mama nae...
Chui Jike....!
Kilimanjaro wametoa
Chui dume....!
Kweli wewe ni fisi.Mbowe ana tuhuma za uhalifu kama Sabaya tu hawana tofauti. Mbowe sio mfalme wa Hai kama alivyo Kwa wajinga MaCHADEMA.
Samia hahitji watu wa wilaya fulani tu bali watanzania wote Na tunampenda sana Na ataendelea mpaka 2030 Mungu amlinde na husuda kama za MaCHADEMA.
Umeandika nyongo tu uliyonayo Kwa Rais Na kupenda kushabikia wahalifu. Igeni ACT wenye hoja za maana maCHADEMA hopelessly kazi kukaa mahakamani kila siku badala ya kushughulika na shida za wananchi.
#MBOWE NI MTUHUMIWA KAMA SABAYA#
Akili zako hazina akili. Ndio maana mnajiita vidudu mara chawa ohh viroboto sijuhi kupe. Takataka tupu.Mbowe ana tuhuma za uhalifu kama Sabaya tu hawana tofauti. Mbowe sio mfalme wa Hai kama alivyo Kwa wajinga MaCHADEMA.
Samia hahitji watu wa wilaya fulani tu bali watanzania wote Na tunampenda sana Na ataendelea mpaka 2030 Mungu amlinde na husuda kama za MaCHADEMA.
Umeandika nyongo tu uliyonayo Kwa Rais Na kupenda kushabikia wahalifu. Igeni ACT wenye hoja za maana maCHADEMA hopelessly kazi kukaa mahakamani kila siku badala ya kushughulika na shida za wananchi.
#MBOWE NI MTUHUMIWA KAMA SABAYA#
Wanatafuta på kumpatia JAMBAZI mwenzao Sabaya msamaha wanaona wamtumie mzee Mbowe.. MaCCM akili zao hazina akili.Kweli wewe ni fisi.
Sabaya yule aliyetenda vitu bayana, umlinganishe na mbowe anayebambikiwa kesi, kwa kupishana tu Rais kuhusu upatikanaji wa katiba mpya.
Sasa Mbowe kila siku yuko jela anawezaje kunilipa ?Kwahiyo wewe unalipwa na Mbowe ndio maana kila siku unamzunguzia? Wengine tupo huru kukosoa au kupongeza upande wowote.
Nimeleta ili ujinga huo usirudiwe tenaSasa wewe kuleta humu itakusaidia nini hasa?
Kwani jela kafungiwa na pesa zake? Si mnasema ni tajiri sana hadi anakikopesha chama na deni lake haliishi yeye analipwa kila siku na mtu anayehoji hilo deni anakuwa adui wa chama!Sasa Mbowe kila siku yuko jela anawezaje kunilipa ?
Unateseka ukiwa wapi ?Kwani jela kafungiwa na pesa zake? Si mnasema ni tajiri sana hadi anakikopesha chama na deni lake haliishi yeye analipwa kila siku na mtu anayehoji hilo deni anakuwa adui wa chama!
Hivi inakuwaje mtu anatesa wenzako kwa story za kusikia Vijiweni?
Kunywa soda bili kwangu 🥂🥂😀Mbowe ana tuhuma za uhalifu kama Sabaya tu hawana tofauti. Mbowe sio mfalme wa Hai kama alivyo Kwa wajinga MaCHADEMA.
Samia hahitji watu wa wilaya fulani tu bali watanzania wote Na tunampenda sana Na ataendelea mpaka 2030 Mungu amlinde na husuda kama za MaCHADEMA.
Umeandika nyongo tu uliyonayo Kwa Rais Na kupenda kushabikia wahalifu. Igeni ACT wenye hoja za maana maCHADEMA hopelessly kazi kukaa mahakamani kila siku badala ya kushughulika na shida za wananchi.
#MBOWE NI MTUHUMIWA KAMA SABAYA#
Wewe jibu swaliSwali la kijinga la kufungulia mwaka
Huyu Godbless Lema huwa ni ki.laza.Hivi inakuwaje mtu anatesa wenzako kwa story za kusikia Vijiweni?
Kiti cha uchifu?Chief hangaya aachie kiti
Hakuna Familia inayoongozwa na Mama angali Baba yuko hai na ikabaki Salama...kamwe Mama hawezi kuwa kichwa Cha Familia hata wao wenyewe wanajua.Hivi inakuwaje mtu anatesa wenzako kwa story za kusikia Vijiweni?
Tume mpya anayoitaka Zitto Kabwe itakuwepo!? Majeshi yanayobeba kura kwenye maboksi hayatakuwepo!?Tukutane 2025 ndio utajua hujui!