Rais kuhutubia Bomang'ombe haitamsaidia lolote

Rais kuhutubia Bomang'ombe haitamsaidia lolote

Historia yako pungufu sana. Usiandike jambo ambalo hulifahamu. Mwingireza alipoanza kutawala Tanzania aliwatoa Ma Chief wote ambao alidhani walikuwa hawamuungi mkono kutoka kwenye makabila yao ili kuwashikisha adabu. Sapi, baba yake Adam Mkwawa, kwa mfano alihamishiwa Mwanza, Lupembe wa Njombe alihamishiwa Iringa. Hiyo indirect rule haikuwa ni ushirikiano kati ya Ma Chief na Mwingireza ilikuwa ndiyo njia muafaka kwa upande wa Mwingereza kwa sababu hakuwa na watu wa kutosha kutawala makoloni mengi yaliyokuwa chini yake!

Machief ni colonial na mfumo uliotumiwa na Uingereza kila mahali hata India walifanya hivyo, iko documented kila mahali.

Ofcourse kuna exceptions, lkn machief wengi kama akina Mareale ni 100% colonial products, na ndio maana sasa hivi anatumika pia.
 
Mbowe ana tuhuma za uhalifu kama Sabaya tu hawana tofauti. Mbowe sio mfalme wa Hai kama alivyo Kwa wajinga MaCHADEMA.

Samia hahitji watu wa wilaya fulani tu bali watanzania wote Na tunampenda sana Na ataendelea mpaka 2030 Mungu amlinde na husuda kama za MaCHADEMA.

Umeandika nyongo tu uliyonayo Kwa Rais Na kupenda kushabikia wahalifu. Igeni ACT wenye hoja za maana maCHADEMA hopelessly kazi kukaa mahakamani kila siku badala ya kushughulika na shida za wananchi.

#MBOWE NI MTUHUMIWA KAMA SABAYA#
Hivi unazijua sifa za fisi?
 
Back
Top Bottom