Rais kuhutubia Bomang'ombe haitamsaidia lolote

Mbowe ana tuhuma za uhalifu kama Sabaya tu hawana tofauti. Mbowe sio mfalme wa Hai kama alivyo Kwa wajinga MaCHADEMA.

Samia hahitji watu wa wilaya fulani tu bali watanzania wote Na tunampenda sana Na ataendelea mpaka 2030 Mungu amlinde na husuda kama za MaCHADEMA.

Umeandika nyongo tu uliyonayo Kwa Rais Na kupenda kushabikia wahalifu. Igeni ACT wenye hoja za maana maCHADEMA hopelessly kazi kukaa mahakamani kila siku badala ya kushughulika na shida za wananchi.

#MBOWE NI MTUHUMIWA KAMA SABAYA#
Sabaya ni mhalifu aliyethibitishwa na Mahakama. Ndio maana amechezea miaka. Mbowe amehukumiwa miaka mingapi!?

Husuda za Chadema ndio zilimtoa Jiwe!? Hawa WaTanzania wanaonampenda Samia ndio hawa hawa wanaopigwa na matozo , bei za bidhaa kupanda kiholela huku wao wakipanga urefu wa kamba kadiri wanavyotaka!? Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi.
 
Ikiwa Mbowe ana tuhuma kama Sabaya mbona mna ushahidi wa magumashi?
Mnajiuma uma nini?
Hadi sasa mashahidi waliohojiwa hakuna hata mmoja mwenye uthibitisho juu ya tuhuma za Mbowe...
Wewe ni taahira tu kama huyo Chief wako

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nimesikia na kuona Mtukufu Rais akihutubia wananchi kwenye eneo la Bomang'ombe huko Kilimanjaro, sina kipingamizi na hotuba yake, bali nina hoja kadhaa.

Bomang'ombe iko Jimbo la Hai ambako ndio anatokea mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe, mtu ambaye amebambikwa kesi ya uongo ya Ugaidi na serikali ya Huyohuyo Hangaya, kwa tafsiri ya haraka haraka ni kwamba Mtemi Hangaya alipita Bomang'ombe ili kujisafisha, hii ni kwa sababu alikoalikwa kwa sherehe za kimagumashi zilizoandaliwa na "watu wa serikali " ili kuwadanganya wachaga siyo Bomang'ombe , kulikuwa na haja gani ya kuhutubia hapo pasipohusika?

Nifupishe kwa kusema hivi, nadhani Hangaya mwenyewe ameona mwitikio aliopata, huu ni mwanzo tu, huko mbele ataona makubwa zaidi, kama umeamua "kumuua nyani " ya nini kumtazama usoni? Endelea kufanya kama ulivyoelekezwa na wapambe wako, hakuna haja ya kutafuta huruma, Dunia nzima inafahamu kwamba Mbowe siyo Gaidi, UNAPOTEZA MUDA WAKO TU.
Chadema wanaamini zaidi siasa za ukanda na ukabila ndio maaana kila siku ni lazima kuwepo na mjadala unaohusu ukanda na ukabila ,na ukifuatilia kwa karibu ni hawa hawa wapuuzi wa chadema wanakuwa wameanzisha uzi husika .
 
Sabaya ni mhalifu aliyethibitishwa na Mahakama. Ndio maana amechezea miaka. Mbowe amehukumiwa miaka mingapi!?

Husuda za Chadema ndio zilimtoa Jiwe!? Hawa WaTanzania wanaonampenda Samia ndio hawa hawa wanaopigwa na matozo , bei za bidhaa kupanda kiholela huku wao wakipanga urefu wa kamba kadiri wanavyotaka!? Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi.
Subirini Lema arejee toka Canada anaweza wasaidia
 
Ikiwa Mbowe ana tuhuma kama Sabaya mbona mna ushahidi wa magumashi?
Mnajiuma uma nini?
Hadi sasa mashahidi waliohojiwa hakuna hata mmoja mwenye uthibitisho juu ya tuhuma za Mbowe...
Wewe ni taahira tu kama huyo Chief wako

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ikiwa Mbowe ana tuhuma kama Sabaya mbona mna ushahidi wa magumashi?
Mnajiuma uma nini?
Hadi sasa mashahidi waliohojiwa hakuna hata mmoja mwenye uthibitisho juu ya tuhuma za Mbowe...
Wewe ni taahira tu kama huyo Chief wako

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
chadema wanaamini zaidi katika siasa za mtu ,ndio maana leo hii baada ya miaka ishirini Mwenyekiti amekuwa ni mmoja tu
 
Wanatumia nguvu kubwa kweli kulitetea Gaidi Mbowe. Kama halina hatia si lijitetee lenyewe mahakamani? Mbona mwamba Ole Sabaya anapambana?
Kabisa ,kama halikuwa na Ugaidi iweje walete mapingiza zaidi ya kumi kwenye kesi husika ?walikuwa wanaogopa nini ?
 
Na Professor Issa Shivji

Kwani uchifu ni utamaduni wetu? Makabila mengi hawakuwa na wachifu. Waliwekwa na wakoloni kwa maslahi yao (km Wazanaki). Uchifu ulipigwa marufuku na sheria mnamo 1962. Machifu waliyokuwepo (km Adam Sapi, Fundikira, Kunambi nk) waliingizwa Serikalini katika nyadhifa mbalimbali.

Ufutaji wa uchifu ulitusaidia sana kujenga umoja wa kitaifa.Nchi zingine Za Afrika (kmNigeria, Ghana nk) wamepata shida kujenga umoja wa kitaifa. Sababu mojawapo ni machifu kulinda himaya zao kwa kukuuza ukabila badala ya utaifa. Tunachotakiwa kusisitiza ni utamaduni wa kitaifa.
Tunafanyaje hii sauti ifike mbali? Tunaongozwa na viongozi wasioijuwa Tanzania kbs and this is very bad. Wanataka kutumia kila nafasi wanayoipata kama mtaji wa kisiasa pasipokujali utaifa wetu. Makabila mengi sana hayana kabisa hayo mambo ya kichifu sasa unaposema serikali itashirikiana na machiefu unataka makabila yasiyokuwa nao wafanyeje wawachonge? Badala ya kutuunganisha unaendelea kutugawa.
 
Mbowe ana tuhuma za uhalifu kama Sabaya tu hawana tofauti. Mbowe sio mfalme wa Hai kama alivyo Kwa wajinga MaCHADEMA.

Samia hahitji watu wa wilaya fulani tu bali watanzania wote Na tunampenda sana Na ataendelea mpaka 2030 Mungu amlinde na husuda kama za MaCHADEMA.

Umeandika nyongo tu uliyonayo Kwa Rais Na kupenda kushabikia wahalifu. Igeni ACT wenye hoja za maana maCHADEMA hopelessly kazi kukaa mahakamani kila siku badala ya kushughulika na shida za wananchi.

#MBOWE NI MTUHUMIWA KAMA SABAYA#
Umenena mkuu ,mipuuzi ya chadema inajiona kama hai ndio Tanzania ,ndio maana hiki chama kimeshindwa kabisa kukubalika ndani ya mioyo ya watanzania ,kila siku wao ni kuhusu UKANDA ,
 
Nimesikia na kuona Mtukufu Rais akihutubia wananchi kwenye eneo la Bomang'ombe huko Kilimanjaro, sina kipingamizi na hotuba yake, bali nina hoja kadhaa.

Bomang'ombe iko Jimbo la Hai ambako ndio anatokea mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe, mtu ambaye amebambikwa kesi ya uongo ya Ugaidi na serikali ya Huyohuyo Hangaya, kwa tafsiri ya haraka haraka ni kwamba Mtemi Hangaya alipita Bomang'ombe ili kujisafisha, hii ni kwa sababu alikoalikwa kwa sherehe za kimagumashi zilizoandaliwa na "watu wa serikali " ili kuwadanganya wachaga siyo Bomang'ombe , kulikuwa na haja gani ya kuhutubia hapo pasipohusika?

Nifupishe kwa kusema hivi, nadhani Hangaya mwenyewe ameona mwitikio aliopata, huu ni mwanzo tu, huko mbele ataona makubwa zaidi, kama umeamua "kumuua nyani " ya nini kumtazama usoni? Endelea kufanya kama ulivyoelekezwa na wapambe wako, hakuna haja ya kutafuta huruma, Dunia nzima inafahamu kwamba Mbowe siyo Gaidi, UNAPOTEZA MUDA WAKO TU.
Ziara ya Rais aina uhusiano na kesi ya Mbowe
 
Tunafanyaje hii sauti ifike mbali? Tunaongozwa na viongozi wasioijuwa Tanzania kbs and this is very bad. Wanataka kutumia kila nafasi wanayoipata kama mtaji wa kisiasa pasipokujali utaifa wetu. Makabila mengi sana hayana kabisa hayo mambo ya kichifu sasa unaposema serikali itashirikiana na machiefu unataka makabila yasiyokuwa nao wafanyeje wawachonge? Badala ya kutuunganisha unaendelea kutugawa.
Mpuuzi wewe ,asilimia zaidi ya tisini ya viongozi wa vyama vya upinzani wanatoka mkoani Kilimanjaro mbona hukemei huu upuuzi
 
Mpuuzi ni yule anayelebal watu kwa makabila yao.
 
Sawa lkn haibadilishi lengo, alipigana (Mkwawa) Vita dhidi ya Uvamizi wa Wajerumani hakuna chief wa Ukoloni wa Uingereza aliyepigana Vita kupinga Ukoloni kwani walikuwa ni sehemu ya Ukoloni ya Uingereza, na hiyo ndiyo tofauti!
Historia yako pungufu sana. Usiandike jambo ambalo hulifahamu. Mwingireza alipoanza kutawala Tanzania aliwatoa Ma Chief wote ambao alidhani walikuwa hawamuungi mkono kutoka kwenye makabila yao ili kuwashikisha adabu. Sapi, baba yake Adam Mkwawa, kwa mfano alihamishiwa Mwanza, Lupembe wa Njombe alihamishiwa Iringa. Hiyo indirect rule haikuwa ni ushirikiano kati ya Ma Chief na Mwingireza ilikuwa ndiyo njia muafaka kwa upande wa Mwingereza kwa sababu hakuwa na watu wa kutosha kutawala makoloni mengi yaliyokuwa chini yake!
 
Mbona mnatumia nguvu nyiingi kumtetea mbowe?
Shahidi ni wa tisa sasa lakini hata chembe ya uthibitisho wa ugaidi wa Mbowe hamna,zaidi ya vilaza na misukule wa yule mmiliki wa lodges kadhaa (mhalifu ndani ya sare) humu JF kupiga domo tuu.
Hata mjukuu wangu wa grade 2 anayefuatilia hii kesi ya Mbowe anashangaa huo ushahidi wa ugaidi unaotolewa na hao waitwao "walinda amani na usalama" .
 
Raisi hahitaji msaada, watu wa boma ndio wanahitaji msaada na kutatuliwa matatizo yao.. Acha misisimko isiyo na tija
 
Back
Top Bottom