Rais Kim Jong Il aaga dunia

Rais Kim Jong Il aaga dunia

Ni kweli kabisa, hawa jamaa North Korea ni kiboko. Pamoja na matatizo yao ya kiuchumi lakini jamaa wako pamoja muda wote. Wana ndugu zao South Korea lakini wapi, hapewi mtu info.

Nasikia jamaa alikuwa kiboko! Alikuwa na uwezo mkubwa kukariri. Aliwahi kuwataja wageni zaidi ya kumi kwa majina na sehemu walizotoka,wakati alitambulishwa siku hiyohiyo ya mkutano!
 
Nasikia jamaa alikuwa kiboko! Alikuwa na uwezo mkubwa kukariri. Aliwahi kuwataja wageni zaidi ya kumi kwa majina na sehemu walizotoka,wakati alitambulishwa siku hiyohiyo ya mkutano!

aisee we ni kiboko zaidi yake! wageni kumi?
 
intelijensia yetu iko mstari wa mbele kuwafuatilia wana JF kwa udi na uvumba! Ndo matatizo ya kufanya intelijensia katika nchi zilizojaa fitina . Wenzao North Korea wanafanya mambo ya usalama wa nchi yao kama nchi...sio majungu na kutafutana uchawi!!!
 
_57437050_013560623-1.jpg

Kim Jong-un, the youngest son and chosen heir of the leader, paid his respects at his father's coffin. Kim Jong-il died on Saturday of a heart attack caused by overwork and stress at the age of 69, state media said.

_57437180_013560465-1.jpg

People filing past the coffin of the "Dear Leader" wept openly

_57436980_013560798-1.jpg

Wreaths were delivered for the man who had led the tightly controlled communist state since 1994

_57436984_013560769-1.jpg

_57437118_013560742-1.jpg

Hapa Marekani pamoja na mbinu zote licha ya kuwatumia south korea wamekoma ubishi kwa siri za Korea.

Sasa hebu angalia Watanzania tulivyokuwa na akili, tutaanza kumsifia huyu dikteta na kudai afufuliwe. Hii itakuwa mwendelezo ulioanza na kuwaomboleza; Habyarimana, Osama, Ghadaffi.
 
aisee we ni kiboko zaidi yake! wageni kumi?

Mbona inawezekana..

Nimejaribu kutafakari uwezo wa kuficha msiba mkubwa hivyo kwa siku mbili nzima nimekosa jawabu, ina maana familia yake iliwekwa mahali isiwasiliane na mtu yeyote kwa hizo siku mbili ama nayo haikutaarifiwa?

Wanastahili pongezi kwa kweli..
 
Marekaniiiiiiiiiiiii!hamna cha FBI wala CIA,imekula kwao kama walikuwa wanataka divide and rule.
 
Wana uzalendo wa hali ya juu..wacha hapa njaa njaa tu,,,North Korea is the most secretive states in the world...with the biggest and committed army in Asia as well...wana nhuklia arsenal yani ukimangamanga wanakupa tifu la kutisha..wao wana intercontinental Ballistic missile zinazofika Nevada na Mississipi bila shida yeyote...
 
Duh!Hawa jamaa wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kuwa brainwash wananchi wao...

Viongozi wetu wangependa sana hii, tatizo tumeshakuwa too much "knowledegewise" exposed to the so called "free world" and its democracies...
 
Bora kuwa dicteta nchi ikaenda kuliko watu kubadilishana dhahabu kwa chandarua !
 
Wanamlilia kwasababu wameambiwa kafa kwasababu ya kujioverwork kwaajili yao. Hivyo wanadhani kafa kwaajilia yao.
Kwani uongo? Nchi yenye challenges nyingi kama ile unaweza kulala tuu, na kutwitt!!
 
Mbona inawezekana..

Nimejaribu kutafakari uwezo wa kuficha msiba mkubwa hivyo kwa siku mbili nzima nimekosa jawabu, ina maana familia yake iliwekwa mahali isiwasiliane na mtu yeyote kwa hizo siku mbili ama nayo haikutaarifiwa?

Wanastahili pongezi kwa kweli..

Hicho ndicho kimenishtua hata mimi, maana mkuu wa nchi muda wote ana wengi wanaomzunguka na kushughulikia, lakini wote hao wamediriki kutunza siri hata kuivujisha kwa watu wengine ndani ya nchi? Possible hata ugonjwa wake ulikuwa siri kubwa.

Labda alikuwa anaishi kimzuka, maana dunia hii si ndogo kwa wanaotafutwa na mabepari.
 
Mbona inawezekana..

Nimejaribu kutafakari uwezo wa kuficha msiba mkubwa hivyo kwa siku mbili nzima nimekosa jawabu, ina maana familia yake iliwekwa mahali isiwasiliane na mtu yeyote kwa hizo siku mbili ama nayo haikutaarifiwa?

Wanastahili pongezi kwa kweli..

Sasa hapa la kusifia ni nini? Kuficha msiba? Kuna uwajibikaji kwa wananchi kweli kama basic and simple information kama hii inafichwa? Wanaogopa nini katika kuficha msiba? Tatizo la dictatorial regimes huwageuza viongozi wao kuwa cult. Yaani wanatamani hata kungekuwa na uwezekano wa kutangaza kuwa raisi kaenda kupumzika jupiter badala ya kusema kafariki.
 
Eti mental disability ndio ugonjwa uliomwua hahahhaha JF inafurahisha sana. Nimeshangaa kuona watu wazima wanalia kama watoto. Kweli walimpenda kiongozi wao na mapungufu aliyokuwa nayo. Hii ni maajabu 7 ya dunia!

Kwani Nyerere alipokufa, watu walicheka? Kuna watu walijua ndiyo mwisho wa dunia, wengine walilia hadi kuzimia. Rejea mzee Masako alivyokuwa anareport kutoka eneo la mazishi jinsi people walivyofurika.

Na ndivyo hali ilivyo PyongYong! people zilishalishwa zumu ya Kim muda mrefu haziambiliki wala haziamini watu wengine.
 
Tatizo la marekani na mataifa mengine ya west, wasiwasi wao ni kwamba hawajui ni kichaa yupi atakabidhiwa rungu, sasa inabidi wawategemee sana wachina kwasababu hawa NK ni very secretive.
Wao Waamerika walipo piga atomic bomb pale Hiroshima/Nagasaki akili zao walimpa nani awashikie ?!!
 
Duh!Hawa jamaa wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kuwa brainwash wananchi wao...

Viongozi wetu wangependa sana hii, tatizo tumeshakuwa too much "knowledegewise" exposed to the so called "free world" and its democracies...

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom