Last edited by a moderator:
Kwani Nyerere alipokufa, watu walicheka? Kuna watu walijua ndiyo mwisho wa dunia, wengine walilia hadi kuzimia. Rejea mzee Masako alivyokuwa anareport kutoka eneo la mazishi jinsi people walivyofurika.
Na ndivyo hali ilivyo PyongYong! people zilishalishwa zumu ya Kim muda mrefu haziambiliki wala haziamini watu wengine.
naona mazishi ya kim jong ill yameshaanza,(unaweza kuyaona kwenye ccn,bbc,)
wanachonishangaza ni kuwepo wanajeshi wengi kwenye haya mazishi kuliko raia wa kawaida,
wanajeshi na raia wa kawaida wanalia hadi wanasikitisha,sijui huyu mzee alikuwa amewapa kitu gani
Halafu wapo watu hapa duniani wanataka kutuaminisha kwamba jamaa alikua hapendwi na wananchi anaowaongoza....uongo mtupu!
Hizo taarifa unazipata kwenye magazeti ya udaku au unaifahamu peninsula ya korea? kabla hujaandika maoni fanya utaratibu kajionee mwenyewe Korea kaskazini ikoje au kama huwezi tafuta wakorea kaskazini wakwambie kinachoendelea. Usishabikie kama kasuku.