Rais Kim Jong Il aaga dunia

New KIM
  • 48e7f1436ab0be1c010f6a706700cdc4.jpg

b
Though huyu dogo anaokana hakuandaliwa muda mrefu, kwa mujibu wa Aljazeera dogo alisoma Swiss with a fake name. I am sure his father prepared him to be his successor tofauti na watu wengi wanafyokiri ndio maana always hakupenda hafamike mapema na maadui zake. From Swiss he went straight military academy
and currently is among of high ranking army officials.
 
Na kwa kuongezea tu huyu dogo anasumbua sana vichwa vya wamarekani cuz they know very little about him,kwa mfano so far hawajui hata ana umri gani,kweli nchi za kijamaa kwa siri naziamini,hii hata sisi hapa bongo ilikuwepo enzi za nyerere kila kitu siri ya serikali..!
 
Yule kiongozi dictator wa Korea Kaskazini amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo. Sababu bado kujulikana.
source ni ABCNEWS

Sijui waafrika tuna matatizo gani. Yaani kwa sababu wazungu wanamwita dikteta basi na sisi tunaimba tuu kama kasuku.
Hatujiulizi kwa nini Wale marafiki wa wazungu kule uarabuni na kwingineko hawaitwi madikteta.
Kiongozi yeyote ambaye haendani na maslahi ya wazungu lazima atakuwa dikteta hata kama wananchi wake wanampenda.

Kabla hatujaimba wimbo tusioujua ingekuwa vema tusome katiba ya Korea Kaskazini inawezekana ikawa inaruhusu viongozi kurithiana kama wafalme...
 
Eti mental disability ndio ugonjwa uliomwua hahahhaha JF inafurahisha sana. Nimeshangaa kuona watu wazima wanalia kama watoto. Kweli walimpenda kiongozi wao na mapungufu aliyokuwa nayo. Hii ni maajabu 7 ya dunia!
Wangekuwa kama walibya NATO wangeshatia timu loong time, inaonyesha hakuna ukabila huko kwao...

Ukabila kitu mbaya sana!
 
Wangekuwa kama walibya NATO wangeshatia timu loong time, inaonyesha hakuna ukabila huko kwao...

Ukabila kitu mbaya sana!
NATO hawawezi kupeleka mchezo huko kwa sababu kufanya hivyo itakuwa ni kwenda kumchokoza mchina waziwazi, na pia NK wana nuklia sasa hivi. Kwa hiyo lazima wapige mahesabu kwanza la sivyo wanaweza kuisababishia South Korea ikageuzwa kuwa majivu.
 
nato hawawezi kupeleka mchezo huko kwa sababu kufanya hivyo itakuwa ni kwenda kumchokoza mchina waziwazi, na pia nk wana nuklia sasa hivi. Kwa hiyo lazima wapige mahesabu kwanza la sivyo wanaweza kuisababishia south korea ikageuzwa kuwa majivu.

nato na us wanaoneaga nchi zisizo na vinu vya nyuklia kama iraq ya sadam na libya ya ghadaffi,ukiwa na nyuklia wanakubembeleza muwe marafiki tena mpaka hela wanakupa kununua urafiki,si unaona wapakistan wanavyowachuna wamarekani pesa za walipa kodi wao?karibu robo tatu ya bajeti ya pakistan kwenye mambo ya ulinzi wanalipa walipa kodi wa marekani!!!!na bado pakistan inaendelea kufadhili vikundi vya ugaidi vinavyoua wamarekani kila kukicha afghanistan na wamarekani wanajua hilo lakini hawana ujanja wa kuwakemea wanaogopa urafiki utavunjika na pakistan itawapa nyuklia magaidi wawaangamize,pakistan ili kuwatisha wamarekani wazidi kuona wao muhimu kwao pesa wanazopewa na wamarekani nao wanawapa magaidi wajiimarishe zaidi ili vita ya ugaidi iwe never ending story mkwanja wa mabwege walipa kodi wa marekani uzidi kumiminika pakistan!
 
huyu "dear leader"katesa sana watu wake kwa njaa+kuwanjima uhuru wa kujua mamabo mengi yanayoendelea duniani-
ngoja tuone mrithi wake atakuja na lipi jipya

waliowatesa wa North Korea na njaa ni watu wa west walipowanyima misaada/mikopo kwa sababu kiongozi wao alikataa kuwa puppet wa west.
 
Sijui waafrika tuna matatizo gani. Yaani kwa sababu wazungu wanamwita dikteta basi na sisi tunaimba tuu kama kasuku.
Hatujiulizi kwa nini Wale marafiki wa wazungu kule uarabuni na kwingineko hawaitwi madikteta.
Kiongozi yeyote ambaye haendani na maslahi ya wazungu lazima atakuwa dikteta hata kama wananchi wake wanampenda.

Kabla hatujaimba wimbo tusioujua ingekuwa vema tusome katiba ya Korea Kaskazini inawezekana ikawa inaruhusu viongozi kurithiana kama wafalme...

umesema kweli mtu mzima, Nyerere, Mugabe and co ni madikteta,ila Museveni, Omar Bongo, Paul Biya (na miaka yake karibu 30 kwenye urais), yule PM wa Ethiopia etc wao si madikteta....something smells really fishy here....
 
Kama watu wengine duniani walivyokuwa wanatushangaa tulivyokuwa tunagala gala barabarani kumlilia Nyerere wakiamini ndio alietuletea umaskini mkubwa na kutubana sana!
Safi sana mkuu bora wewe una mtazamo chanya, watu wengine wnachangia humu kwa hisia na hasira zidi ya marekani lakini ukweli ni kuwa Korea kaskazini kwa sasa wako kama tulivyokuwa sie miaka ya sabini. Hawajitambui kabisa wanakufa njaa sana, wamenyimwa vitu vingi sana, mwaka 2007 kulikuwa na wakorea kaskazini 20,000 tu waliokuwa wanamiliki simu za mkononi.
 
Kama nilivyodhani, Miss Clinton katoa rambi rambi kwa wananchi wa NK na huku akiendelea kudai mabadiliko ni muhimu, wamarekani bana!
 
Back
Top Bottom