Rais Kim Jong Il aaga dunia

Rais Kim Jong Il aaga dunia

huyu "dear leader"katesa sana watu wake kwa njaa+kuwanjima uhuru wa kujua mamabo mengi yanayoendelea duniani-
ngoja tuone mrithi wake atakuja na lipi jipya
 
Kim-Jong_052912.jpg
kim_uni.jpg


Bofya hapa kupata habari zaidi North Korean leader Kim Jong Il dies

North Korean leader Kim Jong-il died of a heart attack while on a train trip, state media reported on Monday, sparking immediate concern over who is in control of the reclusive state and its nuclear program.

A tearful television announcer dressed in black said the 69-year old had died on Saturday of physical and mental over-work on his way to give "field guidance" - a reference to advice dispensed by the "Dear Leader" on his trips to factories, farms and military bases.


Kim Jong-un, Kim Jong-il's youngest son, was named by North Korea's official news agency KCNA as the "great successor" to his father, which lauded him as "the outstanding leader of our party, army and people." Video from Chinese state television showed residents of Pyongyang, the North Korean capital, weeping while KCNA reported people were "writhing in pain" from the loss.

"We will have victory in our revolution today and tomorrow because we have comrade Kim Jong-un," KCNA quoted 55-year-old Ho Song-chol as saying.
Though people were crying on the streets of Pyongyang, life appeared to be going on largely as normal with light traffic and an occasional tram or trolley bus passing by in weak winter sunshine. Little is known of Jong-un who is believed to be in his late 20s and was appointed to senior political and military posts in 2010.

KCNA said the elder Kim died at 8:30 a.m. on Saturday (2330 GMT on Friday) after "an advanced acute myocardial infarction, complicated with a serious heart shock." Kim had suffered a stroke in 2008, but had appeared to have recovered.
 
slide_201635_554352_large.jpg


In this Oct. 10, 2010 file photo, North Korean leader Kim Jong Il's son Kim Jong Un attends a massive military parade marking the 65th anniversary of the communist nation's ruling Workers' Party in Pyongyang, North Korea. (AP)
 
Hivi huyu dogo anayerithishwa ana miaka mingapi? Amefikisha hata 30 kweli? Can you imagine nuclear codes on hands of a 20 old man? How safe is the Korean Penisula, Asia & the world as whole now?
 

Taarifa rasmi ni kwamba yule Mjamaa
Taarifa fupi ya shirika rasmi la serikali inasema: Kim died due to "overwork" after "dedicating his life to the people". Kim, 69, died at 8:30 a.m. Saturday, state TV said.

Je dunia itegemee mabadiliko gani? Kazi kwenu great thinkers kudadavua.

Sourse: Mashirika ya Habari ya Kimataifa.


Huu overwork ndio ugonjwa gani? Madikteta huwa wanapenda kujionesha wao kama vile miungu wasioweza kuugua ama kufa. Sasa overwork ndio ugonjwa gani huu nyambafu wakorea hawa
 
Vituko vya wananchi wakiomboleza kifo cha shujaa....
_57405974_013555894-1.jpg



_57405980_013555779-1.jpg



_57407074_013556108-1.jpg



_57407072_013556090-1.jpg



_57406348_013555892-1.jpg
 
Mtoto wake wa pili alionyesha kuwa na huruma wakaamua wampe huyo dogo. South Korea wako tayari mpakani wanafuatilia kwa makini mienendo ya huyo dogo kama anaweza kuamua kufanya maamuzi ya kipuuzi wako tayari kwa vita. Itakumbukwa kuwa North Korea wanatumia kiasi cha 6bil USD wakati North korea wanatumia kiasi cha 24bil USD kama budget ya jeshi.
 
Si kweli North Korea imeendelea kuliko nchi zote za Afrika Mashariki kwa pamoja!
Hizo taarifa unazipata kwenye magazeti ya udaku au unaifahamu peninsula ya korea? kabla hujaandika maoni fanya utaratibu kajionee mwenyewe Korea kaskazini ikoje au kama huwezi tafuta wakorea kaskazini wakwambie kinachoendelea. Usishabikie kama kasuku.
 
Kim Jong Il (R.I.P)

I can assure you, you can never get an applause for socialism/communism countries development from pro-West capitalism 'democratic' countries unless that socialism/communism countries' leaders are Western nations puppet.
 
Vituko vya wananchi wakiomboleza kifo cha shujaa....

Watu wanaombeleza kifo cha mpendwa wao unasema wanafanya vituko!!!!. Huu sio utamaduni wetu wa kuwadhiaki wafiwa. Next time 'mind your language' vinginevyo ''bakora"

Najua hili neno bakora litazusha mjadala hata kama sio kwenye jamvi hili.
 
R.I.P. Kamanda! Aliongoza kwa mfano, hakubabaishwa na vitisho vya wababe wa dunia, bila shaka mrithi wake atafuata nyayo zake!
 
Wananchi wana mlilia sana kama tulivyofanya kwa mwalimu...
 
Back
Top Bottom