Rais Kikwete; Watanzania tukukumbuke kwa lipi ulilotufanyia?

hili swali Kikwete aliulizwa na Fm kibonde pale Serena wakati wa uchaguzi 2010, " unataka watanzania wakukumbuke kwa lipi?"
mh. akajibu "nimewatoa hapa nimewapeleka pale"
binafsi nilishtuka saana, yeye mwenyewe hana chochote cha kujivunia, ww utakaye msifia utamsifu kwa lipi. nyambafu....
 
Mimi nta mkumbuka kama raisi aliye shindwa kuongoza nchi, kama wakati anaingia madarakani deni la taifa ni trillion 5, leo ni trillion21,kama kiwango cha ufaulu kili kuwa zaidi ya asilimia themanini leo kipo arobaini na, je na wewe utamkumbuka kwa lipi?

Kiwango cha ufaulu leo ni 40?, juzi tume tangaziwa waliofaulu ni asilimia 5% na 94.,,,,,wamefeli hii ni jumla ya waliopata ziro asilimia 60 na 34 POINT kadhaa walipata ZOMBI, hivyo naomba urekebishe hiyo arobaini ya ufaulu na weka (5)TANO

1/ Binafsi nitamkumbuka kwa kuruhusu uhuru wa vyombo vya habari bila kujua vitamvua NGUO (u-KILAZA),
2/ Nitamkumbuka kwa UDHAIFU wake wa kushindwa kudhibiti UDINI na kupelekea mauaji.(amani kashaitia DOA sa hv kuna udini unaendelea chini kwa chini kama mtu hataki,anakasirishwa na maneno haya shauri yake),
3/ Matumizi mabaya ya majeshi hata kufikia hatua ya ku-ua raia na yeye kama mkuu wa nchi anashindwa kuli control hili kwa kufuata haki badala yake kageuka kuwa FIRAUNI.
3/ Nitamkumbuka kama raisi aliedanganywa na washauri wake kuliko ma-raisi wote.
4/ Nitamkumbuka kwa kuwa raisi wa kwanza asieweza kujieleza kwa wananchi wake kuliko raisi yeyote katika historia ya nchi yetu,hata kujua tatizo la umaskini hajui.......!?, U-KILAZA ugonjwa mbaya sana.
HATA Kilicho pelekea ZOMBI hakijui...!? ETI na yeye anashangaa aaaagh kweli huyu DHAIFU.
 
Mimi nta mkumbuka kama raisi aliye shindwa kuongoza nchi, kama wakati anaingia madarakani deni la taifa ni trillion 5, leo ni trillion21,kama kiwango cha ufaulu kili kuwa zaidi ya asilimia themanini leo kipo arobaini na, je na wewe utamkumbuka kwa lipi?

Mimi nitamkumbuka kwa kuiacha nchi ikiwa katika misingi imara ya KIDINI na KIKABILA/KIKANDA. Pia, kwa Usemi wake wa Maisha hovyo kwa kila Mtanzania!...na ahadi zake nyingi kuliko Rais yoyote yule aliyewahi kuwa madarakani.
 
Mkuu ni vyema ukasahihisha tread yako kabla hasira hazipanda, deni la taifa limefikia TRILLION 21 na siyo Billion 21 kama unavyo jaribu kupindisha ukweli. Usishtuke mkuu hiyo ndo habari ya mjini na Waziri wa fedha ametangaza rasmi wadanganyika tusiwe na wasi wasi bado tunakopesheka.

Kweli tunadanganywa, eti tunakopesheka wakati serikali ime- default - kulipa mabilion ya fedha za wastaafu iliyokopa kwenye mifuko ya jamii. Au hili sio deni? Kipimo kizuri cha kukopesheka ni tack record katika ulipaji madeni na sio track record ya kukopa kila kukicha.
 
binafsi nitamkubuka kwa kauli yake kuwa "wanafunzi wanapata mimba kwa kiherehere chao"

na kuwa rais wa kwanza kuicha nchi inatetereka akaenda kubembea jamaica
 
Nitamkumbuka kwa UDINI. kuchekacheka kumbe amejaa roho ya kiuwaji, Nitamkumbuka kwa kuunda Richimond alafu yeye mwenyewe hajui ni yanani, nitamkumbuka kwa kukamatwa kwa ridhione china na madawa ya kulevya na mr DHAIFU kuahidi kutoa gas ya wanamtwala. Nitamkumbuka kama raisi muuaji tena wakimya kimya huku anacheka, Nitamkumbuka kwa kutumia polisi vibaya kusababisha mauaji, nitamkumbuka kwa UKILAZA wake wa kusema akiwakamata walio husika nan EPA nchi itayumba.
 
Nitamkumbuka kwa kukenua meno hovyo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
ntamkumbuka kwa kufaurisha wanafunzi kwa daraja la ziro na kauri zake tata kama za kwenye ngoma za mdundiko eti ukitaka kula lazima uliwe. kwenda zako jk.
 
Nchi gani mkuu? Tunaongelea JK wa Tanzania na Tanzania hakuna barabara za lami. Hebu jaribu kwenda Mtwara, au Kigoma, au Rukwa, au Simiyu, au Katavi, au Tabora halafu uje utoe ripoti. Au mnadanganyika na propaganda za TBCCM?

Kaka wewe ndio unaleta propaganda, sisi tuliopo Kigoma tunamshukuru kwa kutuletea lami, mojawapo toka Mnanila hadi Kigoma mjini. Tushukuru jamani tusiwe wabishi kwa itikadi zetu, tuseme ukweli.
 
Nitamkumbuka kwa kuhudhuria misiba
Mimi nta mkumbuka kama raisi
aliye shindwa kuongoza nchi, kama wakati anaingia madarakani deni la
taifa ni trillion 5, leo ni trillion21,kama kiwango cha ufaulu kili kuwa
zaidi ya asilimia themanini leo kipo arobaini na, je na wewe
utamkumbuka kwa lipi?
 
Back
Top Bottom