Rais Kikwete; Watanzania tukukumbuke kwa lipi ulilotufanyia?

Mjanja sana yule. Mlimponda sana kumbe alikuwa anawaandalia kombora la Magu. Lazima mmkumbuke tu. Kufikia kuandika hii post lazma utakuwa umemkumbuka wacha unafiki soma number.
 
Mjanja sana yule. Mlimponda sana kumbe alikuwa anawaandalia kombora la Magu. Lazima mmkumbuke tu. Kufikia kuandika hii post lazma utakuwa umemkumbuka wacha unafiki soma number.
Hata Hitler anakumbukwa kuna mazuri aliyafanya, sasa kwanini JK asikumbukwe ninyi ndio wanafki amabo mmashindwa kujirudi na kuonesha japo ushauri kwa Magu, na namba unazisoma sana tu usijidanganye.
 
Kikwete ndo kiongozi mbovu aliyeweka masihara kwenye ofisi ya raisi na kupelekea kuharibu mchakato wa kupata katiba mpya ambayo ingetupeleka kuwa nchi ya demokrasia.. Pia kikwete kahusika kuingilia mchakato wa uchaguzi ndani ya ccm na kupelekea kupata kiongozi huyu na pia kaharibu uchaguzi mkuu wa raisi na wabunge na kupelekea upuuzi uliotokea zanzibar na bara.. Kwa hilo kikwete hana la kukumbukwa kabisa zaidi ya safari za ovyo.
 
Nakumiss sana Mh rais wangu mstaafu JAKAYA MRISHO KIKWETE,popote ulipo jua nakumiss sana na naamini tuko wengi sana,nakumbuka sana mambo yafuatayo;
1.Tabasamu lako na mvuto.
2.Hotuba zako zenye mvuto kupindukia
3.Ulifanana sana kama mzazi na mlezi wa wengi
4.Uvumilivu na ustaimilivu wako.
5.Vimaneno vyako vya kuchekesha na kuwafurahisha audiences wako.
HAKIKA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU WEWE NA FAMILIA YAKO.
 
Mh. Rais wangu,nikupongeze kwa kuchaguliwa kumaliza awamu yako ya pili na ya mwisho kabla hujaanza kuitwa mstaafu,ni ahadi nyingi sana ulizotuahidi watanzania mwaka 2005 na baadaye 2010.

Kwa mtizamo wangu kipingi ulichokaa madarakani ni kirefu zaid kuliko kipindi ulichobakiza kumalizia mda wako.

Hoja yangu ni kuwa kama ni vigumu kwa muda uliobaki kufanya lolote la kukumbukwa na watanzania,watanzania tumekata tamaa ya maisha,hakuna wa kutuma matumaini kwa siku zijazo baba umekaa kimya,nchi imekatikatika kwa mijadala isiyoisha.

Mh. Rais, 10yrs bila maendeleo ni jambo gumu ambalo athari zake kwa jamii ni kubwa!,kwa madogo uliyofanya kama kwenye michezo tutakukumbuka daima!

Naomba kuwasilisha.


KWA KUITAFUNA NCHI NA KUIACHA MIFUPA MITUPU. KUACHILIA VYUO NA SHULE ZA WATOTO WETU KUWA HOI, KUIFIRISI HOSPITAL YETU MUHIMBILI, NA PESA ZETU ZOTE KUPELEKWA INDIA APPOLO HOSPITAL. HATUNA LA KUFANYA KIKWETE ANGEKAMATWA BADALA YA TUNDU LISSU. MSEMA KWELI MPENZI WA MUNGU.
 
1. Hutuba za Kikwete zilikuwa stereotype
2. Wapiga dili walichomeka mambo kwenye hotuba zake, kisha kuzitumia kufanyia dili zao.
3. Wapiga dili wote walinufaika wakati wa utawala wa Kikwete na kuhadhirika wakati wa utawala wa JPM.
4. Kikwete hakushiriki kumwingiza JPM madarakani bali utawala wa JPM ni matokeo ya contradictions ndani ya CCM chini ya uongozi wa Kikwete.
 
KWA KUITAFUNA NCHI NA KUIACHA MIFUPA MITUPU. KUACHILIA VYUO NA SHULE ZA WATOTO WETU KUWA HOI, KUIFIRISI HOSPITAL YETU MUHIMBILI, NA PESA ZETU ZOTE KUPELEKWA INDIA APPOLO HOSPITAL. HATUNA LA KUFANYA KIKWETE ANGEKAMATWA BADALA YA TUNDU LISSU. MSEMA KWELI MPENZI WA MUNGU.
Inatakiwa ukapimwe mkojo c bure
 
Kwa kweli mimi nilikuwa nampenda sana kikweta hadi pale alipotoka marekani na kuwaambia watanzani kuwa zile pesa za ESCROW si za watanzania wakati huo huo akamshushua Tibaijuka ndo nikaprove kuwa kwekwete ni rais Dhaifu sana kutokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom