udini na ukabila
Ku-promote haki za wanawake- RCs, DCs etc
Mimi nta mkumbuka kama raisi aliye shindwa kuongoza nchi, kama wakati anaingia madarakani deni la taifa ni trillion 5, leo ni trillion21,kama kiwango cha ufaulu kili kuwa zaidi ya asilimia themanini leo kipo arobaini na, je na wewe utamkumbuka kwa lipi?
kwa sasa katiba mpya tanzania ni kama mauti kwa nafsi, kila nafsi lazma ionje mauti.msimuudhi, atafuta mchakato wa katiba ohooo!!!!