Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 57,606
- 96,621
Ndo hasara za kuandika mada kishabika Kwekete ndo raisi wa nchi gani?
Wewe ndio wale wenye akili kama mkizi, umesoma heading na thread? Au unawashwa?
Ndo hasara za kuandika mada kishabika Kwekete ndo raisi wa nchi gani?
Haraka za nini post kabla hujaiweka humu ipitie tena kuisoma, maana unaweza fikiriwa kuwa ni ujanja kama wa wachina kujaza bidhaa bandia kwa kuongeza herufi au kuondoa katika vile halisi na hivyo ukapotosha jamiiI thnk is typing error..kikwete....
Mkuu,Nilikuwa sahihi kabisa na ndicho kinachokwenda kutokea upande wa Ccm ila waamuzi wa mwisho ni Wananchi Ukawa vs Ccm.
Wewe ndio wale wenye akili kama mkizi, umesoma heading na thread? Au unawashwa?
Rudi darasani ukajifunze kuandika vizuri mpumbavu weweMaumivu ya homa huanza polepole wale wanaccm wasiomtaka Lowasa wajiandae kisaikolojia mwenyekiti wa Ccm ndugu JK ameyasema hayo mchini Africa kusini kusini kwenye mkutano wa AU akiwaambia marais wenzanke kwamba kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa Ccm yeye ana kura moja tu.
Source: Taarifa ya habari ya redio one saa 2 usiku huu.
My take:
Wenye akili timamu waelewe hii inamaanisha zengwe lolote ndani ya kamati kuu kura ndio zitaamuwa na ukweli ni kwamba kila mwana Ccm ana bei yake namuona Lowasa anavyowaachia manyoya wachovu wa kampeni waliobakia.
Nilikuwa sahihi kabisa na ndicho kinachokwenda kutokea upande wa Ccm ila waamuzi wa mwisho ni Wananchi Ukawa vs Ccm.
Kwekete ndio nani
Mipumbavuuu kama hiyo isikupotezee bundle yako bure, kwani yeye hamjui mwenyekiti wa Ccm ni nani?
Wewe utakuwa unawasha umesoma hapo ulichokiandika hapo juu au unakurupuka kama umefuniwa?Mi mwenyewe nimemsikia Jk akiongea, ni kweli amesema yeye ana kura moja tu, na akaongeza kwamba haoni shida kuona watia nia wameongezeka hivyo kwani inadhihirisha demokrasia imekua ndani ya ccm. Sasa cha ajabu ktk maneno haya ni kipi sijui!! timu fisadi wanashangilia nini sijui!!
For your information, maamuzi ktk kamati ya maadili na ktk CC yanafikiwa kwa concensus, hakuna kupiga kura ktk ngazi hizi, na mafisadi wote watachingiwa ktka vikao hivi viwili.
Huku kwenye NEC na MM ndo kuna kupiga kura, na yeye kama mwenyekiti wa vikao hivi ni kweli ana kura moja kama alivyosema. Kwangu mimi JK has spoken the obvious!!
Ni ktk hali ndo maana wale timufisadi wajanja wanasali usiku na mchana fisadi wao apite kwenye vikao hivyo viwili vya mwanzo ambavyo havina cha kupiga kura, ili aingie kwenye vikao vya kupiga kura (NEC na MM) akagawe bahasha apitishwe.
Jipeni tu matumaini kama slogan yenu but JK knows this game very well, kuruhusu jina la fisadi kufika NEC is a BIG blunder
Wewe ndo mpumbavu na lijinga umekosea unaambiwa unapaniki
Mkuu umetokea pori gan nduki au wewe ndye yule mteule wa joka la mdmu uliyeachiwa jimbo la Mtama ugombee...mbona naonaga unatumia mwanadiwan au una I'd fake nyingi. ...dawa ni chungu ila kaa vzuri sndano iingie. ..lowasa ndiye rais ajaye
Mkuu umetokea pori gan nduki au wewe ndye yule mteule wa joka la mdmu uliyeachiwa jimbo la Mtama ugombee...mbona naonaga unatumia mwanadiwan au una I'd fake nyingi. ...dawa ni chungu ila kaa vzuri sndano iingie. ..lowasa ndiye rais ajaye
Wewe utakuwa unawasha umesoma hapo ulichokiandika hapo juu au unakurupuka kama umefuniwa?