Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
Alijisahau!!!Ccm wanawezaje kusema Lowasa ni fisadi sasa wakati siku ya kutangazwa magufuli Kikwete alimsifia?!
Alijisahau!!!Ccm wanawezaje kusema Lowasa ni fisadi sasa wakati siku ya kutangazwa magufuli Kikwete alimsifia?!
Na wa kulaumiwa ni mwanamfalme riz one ambaye alisema rais hawezi kutoka kaskazini mpaka afeee
Atakayeiua ccm atatoka ndani ya ccm by mwalimu Nyerere.
nataka nimuone riz 1 akifa pale alipotamka rais hawezi kutoka kaskazini .alitumia lugha ya kiukabila na kimsingi hili lingekuwa rungu LA kumnyima kugombea ubunge tusiwe na wabunge wabaguzi.Kwa hili wakuu wake hawakuliona .
ccm wanawezaje kusema lowasa ni fisadi sasa wakati siku ya kutangazwa magufuli kikwete alimsifia?!