Rais Kikwete ndiye aliyempeleka Lowassa UKAWA

Rais Kikwete ndiye aliyempeleka Lowassa UKAWA

Huyo ni mhitimu wa sheria na mtoto wa rais lakini anaongea kama mtoto wa mtaani na kuna wakati mwingine ninajiuliza huyu kijana kama kweli yeye ni msomi au ndiyo hivyo tena aina ya watoto kama hawa huwa

Mbona watoto wa Marais waliomtangulia Kikwete hawakuwa na kauli za dharau kama hizi za hawa vijana exp. Riz I na kina Nape? Ni ulevi tu wa madaraka.
 
Back
Top Bottom