Rais Kikwete Naomba Waziri Wa Fedha Anirudishie Pesa Zangu

wiseboy.

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
2,932
4,534
Zaidi Ya Miaka Minne Nimefanya Kazi Ktk Kampuni Ya Barrick,kazi Ngumu Chini Ya Ardhi Na Nikikatwa Kodi Kubwa Sana Kuliko Hata Mafao Yangu Ya NSSF,kila Mwezi Nilikuwa Nakatwa Kodi Zaidi Ya Sh 250,000 Kwa Mwezi Na Mimi Kubaki Na Mshahara Wa Sh 800,000 Kodi Hiyo Ni Kubwa Sana Hasa Ukizingatia Maisha Yetu Yalivyo Duni,kilichonifanya Nidai Hiyo Pesa Ni Baada Ya Kuona Mawaziri Wako Kumbe Kodi Tunazolipa Wanagawana Wenyewe Tu Na Hazifanyi Maendeleo Kwa Taifa,hosp Nachangia,wanangu Nawasomesha,ni Kipi Serikali Yako Inanisaidia Kwa Kodi Kubwa Niliyokuwa Nalipa? Ktk Kila Laki Mbili Naomba Lakini Moja Tu,ina Maana Kwa Miaka Minne Niliyolipa Kodi Naidai Serikali Yako Mil 4.8 Naomba Pesa Zangu Tafadhali Maana Kina Muhongo Wamegawana Na Umemfukuza Kazi Tibaijuka Bila Kumpokonya Bil 1.6 Alizoiba Pesa Zetu Walipa Kodi,mimi Nitakuwa Mtanzania Wa Kwanza Kufungua Kesi Mahakamani Kudai Pesa Zangu,maana Huu Ni Ujinga Mh Rais,tunavuja Jasho Halafu Wengine Wanakwiba Mapesa Yetu,naomba Nirudishiwe Pesa Zangu,ushahidi Ninao.
 
You have a point. Nenda kafungue kesi, tupo wengi tutakokupa support. Tutakusaidia hata kumlipa wakili.

Ahsante Mkuu,inauma Sana Roho,yaani Serikali Haitusaidii Lolote And Yet Tunalipa Kodi Kubwa,mwisho Wa Siku Wanaiba Na Kugawana,kwa Point Ya Escrow Nitafungua Kesi Kudai Sehemu Ya Kodi Niliyokuwa Nalipa Na Ambayo Haisaidii Taifa Badala Yake Wanagawana Bila Aibu.
 
Haki ya nani, yaan tunalipa kodi araf kodi hizo zinatumika kuibakiza ccm madarakan? Wanakwiba ili watunishe mifuko yao ya kutoa rushwa! Ccm must quit..
 
Sio kwamba napinga ukataji kodi ninachopinga ni jinsi Kodi zetu zinavyotumika vibaya. Paye ni moja ya kodi ninazizichukia sana kwa mwezi nakatwa 728,000/= Lila mwezi, hospital nachangia maji nanunua, Shule nalipia Mara speed test,mlinzi, nikitaka barua Serekali ya mtaa nalipia 10,000 salsa najiuliza hizi Kodi zinafaida kwa wananchi?
 
Sijawahi jua paye inasaidia nini maana kila kitu nalipa na huduma mbovu kikwete rudisha pesa zetu,Mbaya zaidi rudisha paye ni kubwa kuliko tunacho save hifadhi ya jamii
 
kama wewe kwenye machimbo huko chini ya aridhi hata kura si haupigi?
unalalamika nini sasa
_na wafanyakazi wengi hawapigi kura!
 
Na cha kustaajabisha zaidi,kama unamiliki chombo cha usafiri kama gari au pikipiki nacho unakilipia kodi,ukinunua hata mkate dukani,nao unaulipia kodi,umeme nao unakatwa kodi,JAMANI,serikali gani hii?!
 
Sio kwamba napinga ukataji kodi ninachopinga ni jinsi Kodi zetu zinavyotumika vibaya. Paye ni moja ya kodi ninazizichukia sana kwa mwezi nakatwa 728,000/= Lila mwezi, hospital nachangia maji nanunua, Shule nalipia Mara speed test,mlinzi, nikitaka barua Serekali ya mtaa nalipia 10,000 salsa najiuliza hizi Kodi zinafaida kwa wananchi?
Mkuu kwa hiyo paye yako inaonekana kila mwisho wa mwezi unakamata mshahara bando kitita.
 
kama wewe kwenye machimbo huko chini ya aridhi hata kura si haupigi?
unalalamika nini sasa
_na wafanyakazi wengi hawapigi kura!

Acha Bangi Mkuu,sisi Ndo Silaha Ya Maangamizi Kwa Ccm,huku Hawana Chao,na Uchaguzi Wa Juzi Tumepiga Mitaa Na Vijiji Vyote Ni Chadema.Siku Hiyo Mgodi Mzima Uliruhusiwa Kwenda Kupiga Kura,na Hapa Mgodini Hakuna Mwana Ccm,kama Wapo Basi Hawazidi Kumi.
 
serikali zote duniani zinakusanya kodi, jukumu kubwa kutoa huduma kwa wananchi, kwa nchi nyingi za kiafrika tz ikiwemo, huduma pekee ni kununua bunduki, virungu na mabomu kuwashughulikia wananchi!
 
Back
Top Bottom