Katazame ilichojibu hiyo iliyo out of point. Jee, picha ya avatar yangu ndio point yenyewe?
Ni out of topic, siyo out of point.
Katazame ilichojibu hiyo iliyo out of point. Jee, picha ya avatar yangu ndio point yenyewe?
Nategemea kusikia Magamba wakifanya maandamano kumpongeza Kikwete kwa hotuba crapHaya fanyeni maandamano mnangoja nini?
Ngoja nimpige picha iiwekeView attachment 31629View attachment 31630
FaizaFoxy Acha kukurupuka wewe,ni miaka 5 yaani 2011/2012 hadi 2015/2016..
, lakini kiukweli niongee ukweli nimemsikiliza JK lakini sijapata flow nzuri ya kueleweka nini hasa alikusudia kutoa kwa wananchi kwa ujumla.
Nategemea kusikia Magamba wakifanya maandamano kumpongeza Kikwete kwa hotuba crap
Kaka usikurupuke mzee ni dola 650 kwa mwezi, nadhani unasinzia sana ! Tanzania bila CCM haiwezekani bana :majani7::majani7:
<br />Jamani tuangalie TBC 1 mhe! Anatoa hotuba afu yule mzee(LOWASSA) aliyetemwa ccm yupo pale mstar wa mbele....
...mention them!
Ni out of topic, siyo out of point.
Mbona hajataja majina ya viongozi wa dini wanaofanya biashara ya madawa ya kulevya na masaa 48 yanazidi kuyoyoma?
maandamano ya nini au yanahusu nini mbona akili yako kama umeshikiwa? sijawahi ona hata sikumoja unatoa point ni pumba tu au ndio kusema upeo wako umekomea hapo?Haya fanyeni maandamano mnangoja nini?
Kweliii eeenh?Mkuu anachambua kwa kina miradi ya kuboresha uchumi wa Taifa letu, kiongozi anaupeo mkubwa sana katika uchumi.
OK, zirekebishe hizo halafu ujibu.
we una kichaa,unajua maana ya par capita income? Tangu lini ikapimwa kwa mwezi? Ok una maana kwa kuwa kasema kwa sasa par capita income ya mtanzania wa leo ni dola 450 ina maana pato la mtanzania wa sasa ni sh.695,250/= ni kweli? Kwa iyo mtanzania anaishi kwa dola 450/30days =$15,sawa na sh.23,175 kwa siku? Sasa mbona takwimu za Tanzania zinasema Mtanzania anaishi chini ya dola1 kwa siku?yan chini ya sh.1545 kwa exchange rate ya leo? Je,anaposema mtanzania atapata dola 3000 ifikapo mwaka 2025 ana maana mtanzania atapata milion 4 laki6 na 35elfu kwa mwezi? Ujue tunadiscuss jambo la maana uache ushabiki !!
Wewe si unaona waliokuwa wanapiga makofi ni akina nani kwahiyo haina haja ya kushangaa kwa mtanzania mwelewa figures alizokuwa anatoa ni uongo kitu kingine Kikwete kitu anachoandikiwa anakisema hivyo hivyo bila kufanya uchunguzi ndio maana kila siku wasaidizi wake wanamdanganya
Karudie kusikiliza hotuba yake bana , na cha busara tafuta kitabu chenyewe ili uwe na uhakika bana, kwani waonyesha ulikuwa wasinzia wewe