Rais Kikwete na mipango ya uchumi kwa Tanzania miaka 5 ijayo



Kwa Taaarifa yako me sio Chadema me ni mwanachama wa CCM mapinduzi makini siko na hao wewe uanao wasupport mafisadi kama wakina EL,RA, Ntabaki kuwa Mwana CCM safi maisha yangu yote daima na ntapigania haki ya wanyonge humo humo ndani ya CCM.


Mkuu, Hawa vijana waliotumwa na Msekwa/Nape hawafikirii kwanza kabla yakujibu, inaonyesha jinsi gani waliowatuma hawajawapa strategy wao wanaparamia kila mtu. It is so easy kutofautisha post za mtu anayetumiwa/self interest na wengine walio na interest ya nchi. Hawa ni kuwa-ignore tu waendelee kujijibu wenyewe. Nape ataangaika we akichoka atagundua amepoteza nguvu na muda mwingi kwenye mambo ambayo sio ya msingi kabisa. Slowly time will tell!
 
Kilichoniudhi na sikuipenda ni pale alipoingia na wajumbe walisimama na wakiimba wimbo wa "Tanzania",alikuwa akitafunatafuna ,haipendezi hasa kwa mtu mzima na hasa kwa nafasi yake kufanya hivo,wimbo wa Taifa na wa kuisifia nchi yetu ni nyimbo ambazo zinahitaji kuonesha na kutabasamu na kusimama kwa unadhifu.Kwa maneno mengine ile dharau,hii ni sawa na baba kuongea na mwanae na ilhali anatafuna kitu ambapo haionesha kuheshimu,naomba kuwasilisha.SIKUIPENDA,TENA SANA.

Kwa sababu ndio anamalizia kipindi chake cha usanii hata Kama akifanya usanii ndani ya mambo muhimu hamna cha kufanya atafanya awezavyo.Badala ya kuzungumzia masuala yanayohusu nchi yetu yeye anapiga vijembe kwa Chadema juu ya maandamano!!!,shame on him
 
Itatuchukua muda sana Watanzania kufika kule tunataka tufike,imekuwa Kama ngonjera vile kiongozi wenu kurudia maneno Kama kasuku na anachofanya tu ni kubadilisha vichwa vya habari lkn maana ni ileile na hatutaenda kokote kwa usanii huu.
 
Mbona kama nguo zake kwenye itv zilikuwa zinaendana na kombati za cdm. Kweli ameanza kujivua gamba.
 
kweli nimeamini mswahili hapaswi kupewa ofisi kubwa, wao wanastahili nafasi za ulinzi!
 
try to think deep before jumping into the conclusion FaizaFoxy, Jk unayemtetea kwa nguvu zako zote amekuwepo serikalini toka awamu ya kwanza mpaka hii ya kwake ya 4. Tuligemea amejifunza mengi pamoja na experience ya kuwa waziri wa mambo ya nje ya nchi pamoja na kuwa waziri wa fedha kama kumbukumbu zangu ziko sawa kwa vipindi tofauti.
Nilitegemea anajua anachokwenda kufanya watz tukaweka matarajio makubwa kwake lkn ndio amevurunda kuliko wote! Na mpaka sasa ni rais pekee dunian anayeongoza nchi bila kujua ni kwa nini wananchi wake ni maskini wkt wanaraslimali za kutosha.

East Africa ni nchi ambayo thamani ya shilingi yake inazidi kushuka kwa kasi kadiri siku zinavyozidi kusonga mbele. Hakuna jitahada za dhati kutoka kwake wala kwa watendaj wake za kunusuru uchumi wa nchi ambao kwenye makaratasi yao wanadai umepanda ila kiuhalisi na kimantik umezidi kushuka huku nafasi kati ya aliyenacho na asiyekuwa nacho inazidi kuongozeka.

Unabenefit nini unapoona nchi inazidi kuwa gizani na wewe unaleta ushabiki wa kisiasa. bila umeme hata viwanda vichache tulivuyonavyo vitazalisha vipi? Hata vijana waliojiari kwa kazi na saloon na kama hzo ambazo zote zinategemea nishati adhimu katika nchi ya umeme wataendeshaje maisha. Hali ya maisha ya kila siku ya mtanzania wa kawaida kama mimi ni bora ya jana.Think big think twice

Bahati mbaya nipo mbali na desktop yangu na nnakujibu kutokea mobile. Nakuhahakishia pumba ulizomwaga zina majibu tena mazuri tu. Ntakurudia.
 
FaizaFoxy, Gambajipya, malaria sugu, Think twice n.k acheni kujiaibisha.. Kuweni great thinkers na kuja na hoja zenye mashiko badala ya kuwa kama KASUKU.. nilikuwa sijawa-note ila leo ndo nimewajua kwa undani.. au ndo mojawapo la kundi lilotumwa na NAPE kuja kwenye mitandao ya kijamii kujibu hoja. nawashauri mwendeni mkajipange ili mtoe vitu vyenye substances ndani yake.. nashangaa mmoja wenu anasema eti kipato cha mtanzania kwa wastani ni dola USD 650 kwa mwezi, jamani jamani jamani hata kama unatetetea jiulize kwanza kabla ya kuandika.
aidha kuna mfukunyuzi mmoja katoa analysisnzuri ya post za FAIZAFOXY kwamba leo kafikisha posts approximately 900 na amejiunga just one month ago ikiwa na maana ni post 30 per day. na zote ni HOJA NYEPESI sana.. sasa kwa nini upoteze muda.. watu wa JF ni waelewa sana.. au mnataka kujaza SERVER bure ili moderators/wamiliki washindwe kuendesha mtandao huuu kwa sababu ya HEAVY TRAFFIC..
badilikeni
 
Kwa sababu ndio anamalizia kipindi chake cha usanii hata Kama akifanya usanii ndani ya mambo muhimu hamna cha kufanya atafanya awezavyo.Badala ya kuzungumzia masuala yanayohusu nchi yetu yeye anapiga vijembe kwa Chadema juu ya maandamano!!!,shame on him

Unanshangaza! Kijembe? Maandamano? Chadema? Hee, unanini wewe?
 
FaizaFoxy, umejiunga JF tarehe 9/5/2011 na leo tarehe 8/6/2011 unatimiza siku 30 sawasawa na mwezi moja. Katika muda huo una posts zaidi ya 850 ikiwa na maana kwamba kwa siku moja (masaa 24) unatuma posts karibu 30 na zote ni katika kuitetea CCM. Napendekeza upewe tuzo maalumu na uongozi wa JF kwa kuweka rekodi katika uchangiaji kwenye mada hasa zile zinazomgusa Kikwete bila kulala, hongera sana !
good analysis
 
Poleni wana JF kwa kufuatilia nyimbo za "rahisi" ******. Hajaongea jipya japo amewakumbusheni kuwa alichotaka kusema mtakipata kwenye bunge la bajeti. Yaani muda wote huo kutoa taarifa tu! Anyway, si hoja make baadhi ya watanzania ma-Giant thinkers-wamemwelewa kama Dada Fai (malaria sugu), changing face. Next time akiongea Kikwete sitowaambia tumsikilize, make mtanilaumu kwa kuwapotezea muda. Tchao!
 
huu ni upuuzi sana yaani anaendesha nchi bila malengo yoyote.....hawezi kuwa analingalisha na maisha magumu yaliyopita tunataka maisha mazuri kwani linawezekana mbona watu wanachukua pesa katika serikali yake afu kawanyamazia??????????/ mpuuzi sana huyu tunataka maisha mazuri kikweeete
 
Leo jioni JK amewasilisha ripoti ya mipango ya nchi kwa miaka mitano,tafadhali atakayeipata atusaidie kuiweka jamvini ili tupate wasaa wa kuipitia,source TBC.

asanteni
 
Miundo mbinu,

Kuendeleza miundo mbinu ili kukuza uchumi na kuendeleza wananchi.

Anadai wanataka kuzalisha umeme wa kutosha ili tuweze kuuza nje km south africa na kenya, anadai malighafi zipo nyingi sana kama upepo wa singida, jua, maji, gas nyingi, bahari na gas nyingi chini ya bahari, anadai Tz itakuwa ni miongoni mwa nchi inayouza gas nyingi dunia.

Kwa hiyo sasa tutaanza kuuza umeme nje.



Mtawezaje kuuza umeme nje wakati hata mahitaji ya ndani ya nchi hamwezi kufikia?!!!! Nafikiri ni 10% tu ya watanzania wanapata umeme, tena wa mgao!! Hivi unaweza kweli kumsikiliza huyu chizi akipiga usanii na ukamwamini?!!
 
FaizaFoxy, Gambajipya, malaria sugu, Think twice n.k acheni kujiaibisha.. Kuweni great thinkers na kuja na hoja zenye mashiko badala ya kuwa kama KASUKU.. nilikuwa sijawa-note ila leo ndo nimewajua kwa undani.. au ndo mojawapo la kundi lilotumwa na NAPE kuja kwenye mitandao ya kijamii kujibu hoja. nawashauri mwendeni mkajipange ili mtoe vitu vyenye substances ndani yake.. nashangaa mmoja wenu anasema eti kipato cha mtanzania kwa wastani ni dola USD 650 kwa mwezi, jamani jamani jamani hata kama unatetetea jiulize kwanza kabla ya kuandika.
aidha kuna mfukunyuzi mmoja katoa analysisnzuri ya post za FAIZAFOXY kwamba leo kafikisha posts approximately 900 na amejiunga just one month ago ikiwa na maana ni post 30 per day. na zote ni HOJA NYEPESI sana.. sasa kwa nini upoteze muda.. watu wa JF ni waelewa sana.. au mnataka kujaza SERVER bure ili moderators/wamiliki washindwe kuendesha mtandao huuu kwa sababu ya HEAVY TRAFFIC..
badilikeni

Great minds discuss ideas, average minds discuss events, small minds discuss people.

Sasa tazama post yako/zenu halafu jiweke/mjiweke kundi stahiki katika hayo.
 
maandamano ya nini au yanahusu nini mbona akili yako kama umeshikiwa? sijawahi ona hata sikumoja unatoa point ni pumba tu au ndio kusema upeo wako umekomea hapo?

Haswaaaa, kwani yote yale mnayoyafanya ni ya nini? kama si ufukunyuku tu.
 
Tutumie historia kuboresha mambo na siyo kujitetea. Ukiitumia kujitetea maana yake tusitegemee zuri zaidi. Somo.
 
Back
Top Bottom