engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,437
CHANZO CHA UDIN TZ NI JK NA CCM YAKE. MWAKA 2005 ILANI YA CCM ILIYO MUWEKA MADARAKANI ILIKUWA NA KIPENGERE CHA MAHAKAMA YA KADHI AMBACHO MWAKA HUU AMETOA BAADA YA KUWAHUJUMU WAISLAM. SASA NI JAMBO LA AJABU KUONA KWAMBA MAHAKAMA YA KADHI HAIKUKIUKA KATIBA MWAKA 2005 LAKINI 2010 PIUS MSEKWA ANASEMA IMEKIUKA KATIBA WAKATI HATA HIYO KATIBA HAIJABADILIKA.
JK NDIYE CHANZO CHA UDINI NCHIN KWANI AMEWAGAWA HATA WAISLAM NA KUWATENGA KTK MAKUNDI MAWILI ;SHURA YA MAIMUM NA BAKWATA. KATIKA SHEREHE ZAKE NA MIKUTANO HAJAWAHI KUWAITA SHURA YA MAIMAMU:nono:
Mimi nasema yule aliyekuwa padri na katibu wa baraza la maaskofu aliyehamia chadema kuendeleza harakati zake ndo chanzo
Hivi hakuna muislamu mwenye busara azungumzie upuuzi huu?. Siamini na sitaki kuamini kwamba Jakaya Mrisho Kikwete ambaye aliungwa mkono Nchi nzima 2005 na hata huyo Kilaini kutamka kuwa ni chaguo la Mungu sasa atakuwa nyuma ya mambo ya kipuuzi na kishetani kama haya!!Waraka wenyewe huu hapo chini upitieni muone kilichomo...tunakoelekea si kuzuri sana.....
Hivi hakuna muislamu mwenye busara azungumzie upuuzi huu?. Siamini na sitaki kuamini kwamba Jakaya Mrisho Kikwete ambaye aliungwa mkona Nchi nzima 2005 na hata huyo Kilaini kutamka kuwa ni chaguo la Mungu sasa atakuwa nyuma ya mambo ya kipuuzi na kishetani kama haya!!
Mufti toa tamko. Jakaya toa tamko! Ila kama kweli haya ndiyo mapishi yako basi naogopa hata hatima yako!! pole sana!!
hata mimi najiuliza hivyo hivyo!!!..hawa walioandika waraka huu wanataka kuwaaminisha waislam mambo ya ajabu sana..
Kwa nini huu wakara unalenga zaidi kufananisha CHADEMA na mamabo mabaya?
Nani ambaye angependa CHADEMA kife kwa gharama yoyote?
nani anapandikiza mbegu ya chuki kwa CHADEMA?
Nani ni mpinzani mkubwa wa CHADEMA?
Kifo cha Mwandosya ni bahati mbaya?
Ni nani angependa watanzania waamini hivyo?
Na kwa maslai ya nani?
Ukipata jibu utajua huu waraka unatoka wapi???
wana JF, ndugu zangu waislamu wanatumiwa tu hapa....
TISS at work IGHONDU. yakichacha utatumia silaha zote za TISS.kama inavyotumiwa CDM na kanisa kama udini alianza kuupanda nyerere mkapa akaupalilia ila kwa upande wenu inawauma