engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,437
Nadhani sasa tunako kwenda ni pabaya zaidi,kwani naogopa sana issue ya dini inapozungumziwa mahali hapa, pia uelewa wa watu ktk threads ziwekwazo ni mdogo sana,hivyo tujalibu kuweka threads ambazo watu watazielewa kiurahisi na kuzichangia, mimi ni mwisilamu tena imani yangu si haba, alichokiongelea mtoa mada ni kuwa ktk kampeni mh alitumia fimbo ya udini kuingia madarakani kitu ambacho kimemsaidia yeye ila bado kimeacha matatizo kwa jamii,mtoa maada anasema hata mwinyi hakutumia kauli za dini kuingia ikulu, swala la kubaguliwa kwa mkristo ama muislamu sijaliona kwa mtoa mada, hivyo tusitoe maana nyingine ya thread hii na ikazidi kuleta utata tuielewe kama alivyo hitaji mtowa mada.
Chuki ya dini ni mbaya kuliko chuki ya kuchukuliwa mke,ndio maana baadhi wapo tayari kujitowa mhanga kwa ajili ya dini,tuache haya, tuendeleze kile mtoa hoja alichokikusudia
mapinduziiiiiiii daimaaaaaaaa
Chuki ya dini ni mbaya kuliko chuki ya kuchukuliwa mke,ndio maana baadhi wapo tayari kujitowa mhanga kwa ajili ya dini,tuache haya, tuendeleze kile mtoa hoja alichokikusudia
mapinduziiiiiiii daimaaaaaaaa