nafurahishwa sana na step iliyopigwa na cdm mpaka sasa kiasi kwamba mpaka makada wa ccm baada ya kushindwa kwenye malumbano ya majukwaani na cdm wameamua kuja under cover ya udini na kujidai vita vya cdm ni dhidi ya uislam. jaman kwa mujibu wa maelezo yaliyomo ndani ya huo unaoitwa waraka wa waislam ambao mimi naita ni fitina za makada wa ccm waliovaa sura ya uislam na kuwapotosha waislam.
kwa maelezo ya waraka huo, kimsingi waislam wengi wameonekana kuhodhi nafasi nyingi ktk jamhuri na idara zake zote hasahasa nafasi za ukuu, sasa kwa picha hiyo wakristo ndio wangekua ni wa kwanza kuclaim kuhusu distribution ya hiz nafas lakini wamekaa kimya siyo kwamba hawajaliona hili hapana , kikubwa wakristo wanaamini katika utawala bora na si dini bora ktk kuongoza dola bila kujali huyu kiongoz ni mkristo au muiislam.
nashindwa kufaham kwanini makada hawa wakimbilie kuuvaa uislam na kuufanya uonekane ni dini nyonge sana ktk nchi hii ki2 ambacho hata kipofu hawez sadiki habari hii coz nao wanawasikia watendaj wengi tu waserikali kwa majina yao ya kiislam bt stil wa2 wapo cool coz dini haingoz nchi bali m2 kwa ubara wake ,utashi na commitment yake ktk kuijenga nchi yake na si dini yake.
wametajwa viongoz wengi 2 wakikristo km sendoro, malususa, pengo na maparoko wengi + slah ktk kuonyesha au kujaribu kujustify tungo zao ktk waraka wao kwa kuonyesha connection ya viongoz hawa ktk jitihada za ku enssure viongoz wakiislam wanatolewa, haya ni madai tu ya masakala wachache wa ccm wakijitahidi kupambana na cdm kwa njia hii ya udini baada ya vita vya majukwaaani kushindwa kuwa productive kwa ccm na strategi zao za kusupress maandamano na mikutano ya cdm kuwa km ndio stimulus ya chuki dhid ya ccm so nw wanajitahidi kuja kwa style hii.
waislam makini wote najua hawawezi kusadiki hoja na madai yaliyowasilishwa ndani ya waraka huu wa haw makada wa ccm coz kila ki2 kimeonyesha wazi kua ni vita ya ccm na cdm. mwisho niseme tu kwamba pamoja na yote yanayofanyika au kusemwa kila m2 abaki palepale kwenye msemo usemao kichwa chako ndiyo serikali yako, tink big alwayz