Nasikitishwa sana na hali inayoendelea Tanzania, nawaonea huruma wananchi wa Tanzania kwa maana tunachokitaka hatuna uzoefu nacho wala mahala pa kukimbilia, lakini zaidi nawaonea huruma wakina mama na watoto. Nimekua nikiiangalia hii hali nasikitika sana, matusi yanayotolewa humu jamii forum kwa dini zote mbili naapa sikuwahi kusikia wala kuona kwa umri wangu wa miaka 37 niliyoishi hapa duniani na tanzania in particular. Kiukweli nimekata tamaa na nchi yangu na nimeshaona vita ya kidini hapo mbele.....tuliyopandikiziwa si sawa hata kidogo.
wa kulaumiwa ni nyerere kuifanya dini moja kuwa ndio ya taifa hili. mf. sikukuu za kikristo ofisi zote zinapambwa na HAPPY CHRISMAS HAPPY NEW YEAR. Serikali inatumia pesa za serikali ambazo ni kodi ya waislam na wakristo, leo waislam wameamka si waoga tena.
Udini ni uislam tu? Mbona nyerere na mkapa waliwabagua waislam na hatukusikia kilele? Huyo kikwete hana uislamu jambo musijidanganye kwani kikwete kawasaidia nini waislam tanzania?
Mbinu zenu chafu dhidi ya Uislaam zitazidi kukiweka chama cha Chadema mahala pabaya zaid kuendea uchaguzi wa mwaka 2015..
Kumbe mlitabiri zamani? kweli JF kisima cha maarifaDouglas umeniongezea hasira. Namchukia sana Kikwete kutokana na sera hii ya hovyo ya udini. I real hate this guy. Mwaka huu ameianzisha, mwaka 2015 itakua na mwisho wa siku tutafikia kuuana. Na hakuna vita mbaya na ngumu kama vita ya udini. Hii ni vita hatari mno. Inaboa sana kuwa na Rais mwenye akili kama hizi.
Nashukuru sana ila tujihadhari sana na mbegu hizi tunazozipanda humu. Leo hii kuna mada zaidi ya nne zinazozungumzia Ubaya wa Uislaam na mazuri ya Maaskofu ktk ukumbi wa SIASA mnategemea kuvuna nini? Na hasa wana Chadema wamekuwa mstari wa mbele sana kukashifu Uislaam bila hata kufiiri halafu wanajiita wasomi sielewi hizi shule tunazosoma ndizo zinatufunza haya?. Binafsi yangu naiona CUF ya mwaka 2008 na 2009 ikimwelemea Chadema, ni swala la muda tu..
Chadema imeingiliwa na kwa bahati mbaya sana inajiweka ktk wakati mgumu kupita maelezo. Kwanza ilikuwa ni mbinu za CCM kuwasha gari hili la Udini lakini sasa gari linajiendesha lenyewe, halafu kama unapingana na Ponda kwa nini isiwe Ponda?. Hivi mimi nikiwa napingana na Mtikila nina sababu gani ya kusema Ukristu uko hivi ama vile?.
Nikuambie kitu? Mkandara ni mtu makini sana tena msomi aliebobea mwenye exposure ya kutosha kabisa ila ukija kwenye suala la udini huyu anakuwa mbwiga kama msomi wa chekechea.Na hawa ndio wabaya sana sababu mfano Mkandara atue bongo leo akakae kijiweni atapewa heshima zote kama msomi na mtu mwenye exposure unafikiria akianza kusema bla bla za waislamu kuonewa watampinga? sana sana ataungwa mkono sana akishapandikiza sumu yake huyoooo anakwea BA kurudi majuu anawaacha mnaumizana.Mkuu Mkandara kumbe na wewe una fikra kuwa Waislamu wanaonewa, nimesikitika sana.
NEW YEAR nayo ni Ukristo, acha fikra potofu, kila mtu aamini na kuheshimu dini yake hakuma haja ya kulumbana.
Kumbe mlitabiri zamani? kweli JF kisima cha maarifa
Siyo siri kuwa muasisi wa siasa za maji taka hapa Tanzania ni JK na genge lake la wanamtandao. Mbinu hii aliizanza mapema kabla ya uchaguzi wa mwaka 2005, na wahanga wakubwa wa siasa hizi za kishenzi ni Fredrick Sumaye, Salim A. Salim, Prof.Mark Mwadosya na wengineo, na wahanga hawa walilengwa kwani walionekana kuwa tishio kwa malengo ya JK kuukwaa urais hivyo ilikuwa lazima wachafuliwe kiasi cha kutosha ili wanuke na wakati huo magazeti yakimpamba JK kwa sifa asizostahili, na kweli mbinu hii ya kishenzi ilifanikiwa na JK akawa rais.
Mwaka huu kwa vile kanuni za CCM zilikuwa zinamlinda JK asipate mpinzani toka ndani ya chama hicho hakuwa na haja ya kutumia mbinu hiyo na akawa anajiandaa kushinda kwa kishindo, lakini ghafla upepo ukabadilika baada ya mzalendo wa kweli Dr Slaa kuteuliwa na Chadema kugombea nafasi ya urais, JK baada ya kuona kuwa maji ni marefu kwake na chama chake akarudia tena mbinu yake ya maji taka na ndipo zikasikika habari za Dr Slaa kuchukuwa mke wa mtu, lakini kwa vile watanzania wa leo siyo wale wa mwaka 47, waliimpuuza JK na siasa zake hizo chafu wakaendelea kumuunga mkono Dr Slaa.
Baada ya JK na genge lake kuona kuwa mbini hii haifanyi kazi akaamua kutumia SILAHA YA MAANGAMIZI - UDINI.
Ukazushwa uvumi kuwa Dr Slaa ametumwa na Kanisa Katoliki, mbinu hii ilikolezwa na magazeti ya fisadi Rostam Aziz na mengine kama Habari Leo, AL HUDA, AL NUR, Uhuru na Mzalendo pia na kama haitoshi zikatumwa sms kwa mamilion ya wapiga kura kumchafua Dr Slaa na kuhusisha na udini.
Siyo siri kuwa silaha hii imeacha majeraha mengi miongoni mwa Watanzania na mfano hai ni hata hapa jamvini hangover ya siasa hizi za udini zilizo asisiwa na Kikkwete mwenyew e ipo. Dini ni jambo nyeti sana na likitumiwa vibaya linaweza kuilipua nchi nzima na hiki ndicho alichokifanya JK.
NATOA MWITO KWA WACHA MUNGU WOTE TUOMBEE NCHI YETU IONDOKANE NA SUMU ILIYOMWAGWA NA JAKAYA MRISHO KIKWETE
Mkuu wangu kwanza nashukuru unaposema UNAFIKIRI maana huna hakika kama nisemayo ni mawazo yangu ama ndio ukwlei halisi. Mimi ni mwanaJF toka imeanzishwa na kabla ya hapo ukirudi nyuma utanikuta nipo ktk mitandano kwa zaidi ya miaka 15. Na ujumbe wangu ukufikie mkuu wangu nokiatochi ya kwamba sigeuki kama kinyonga ktk hoja zangu nazungumzia hali halisi na ukweli kwa yale mnayoyafanya. nachoandika tayari kimeisha tokea hivyo situngi jambo.Hapo kwenye red nafikiri umekosea, wanaojenga hoja za kuuponda Uisalamu siyo Chadema, elewa Chadema wanatafuta kuungwa mkono na kila Mtanzania ili kufikia lengo lao kushika dola, hivyo wasingeweza ku commit political suicide kwa kuwatukana wapiga kura watarajiwa, hizo kashifa unazozizungumzia ni mpango mkakati wa CCM wakishrikiana kwa karibu na washirika wao wakubwa TISS ambao wamejaa hata hapa JF.
Mkuu wangu kwanza nashukuru unaposema UNAFIKIRI maana huna hakika kama nisemayo ni mawazo yangu ama ndio ukwlei halisi. Mimi ni mwanaJF toka imeanzishwa na kabla ya hapo ukirudi nyuma utanikuta nipo ktk mitandano kwa zaidi ya miaka 15. Na ujumbe wangu ukufikie mkuu wangu nokiatochi ya kwamba sigeuki kama kinyonga ktk hoja zangu nazungumzia hali halisi na ukweli kwa yale mnayoyafanya. nachoandika tayari kimeisha tokea hivyo situngi jambo.
Nimeyaandika hayo kwa sababu nawajua wanaChadema wengine wakitumia majna ya bandia na hata siku moja sijadiriki kumtaja mtu jiina lake la ukweli ama kulumbana hovyo. na wapo watu wasiokuwa wanachama wa Chadema bali wapenzi na wengine ni neutral kabisa. Kifupi utawagundua watu kwa utashi wao ktk kutafuta ukweli na mara zote washabiki na wenye uanachama huwa hawataki kukosolewa. Unapoikosa Chadema huwaingia moyoni kama vile umeigusa roho yao, nawale wasokuwa wanachama kujiuliza..
Vivyo hivyo ukienda kwenye DINI ni hulka ya Watanzania kutetea imani zao hata pasipo kupima hoja ina malengo gani. Wapo kina Ritz, Zomba na hata miye umeniona tukiutetea Uislaam huna sababu ya kuambia kwamba Mkandara ni Muislaam bali najitambulisha mwenyewe kwa yale nayoyaandika. Hivyo, nisome vizuri na utagundua ya kwamba hayo uloyasoma hapo juu yametokana na michango ya wanaChadema humu JF ambao kwa fikra zao wanafikiri wanakijenga chama, wanafikiri wanautetea Ukristu lakini wanachosahau ni kwamba wanaunganisha mahusiano ya chama na dini hiyo kuwa kitu kimoja. Chadema haina dini isipokuwa wanachama wake ndio wenye dini zao. wamo Waislaam , Wapan na hata Mabaniani hivyo mnapowatukana wenye imani nyingine ktk ukumbi huu wa SIASA mnawaonyesha ni wapi Chadema imesimama.
Ebu nikuulize Umewahi kusikia hata siku moja kiongozi au mwanachama wa CCM akitukana Uislaam au Ukristu iwe hapa JF ama kwenye vyombo vya habari?. Sidhani lakini juzi tu mwana Chadema Mohamedi Mtoi hapa JF kaandika kuhusu Uislaam kwa kutetea mfumo uliopo akiwananga wao ktk gazeti la Daima (Mbowe)..Hatua hiyo inaendelea kukiweka chama mahala pabaya sana na nakuhakikishia niloandika hapo juu utayaona madhara yake ujio mwaka 2015.
Sijasema CHAMA bali nimesema Wanachadema na nawasomi humu JF kila siku hivyo tafadhali usiyageuze maneno yangu. Sijamsikia kiongozi hata mmoja wa Chadema akizungumzia Udini isipokuwa hawa wanaojiita wanachama wa Chadema. Kisha usinitazame mimi nafikiri nini bali fikiria Watanzania wengi wanaosoma hoja zenu humu JF na ndivyo mimi hupima athari ya kauli zetu.Mukandara
Binafsi sikubaliani na wewe katika nyanja nyingi na maelezo yako mengi hasa kuunganisha Chama na dini. Siamini kama Chama kinatukana dini fulani bali mtu (wa dini nyingine au chama chochote) anaweza kutukana dini fulani. na tunapoongea mbegu ya udini Tanzania kwamba aliyeipanda ni Kikwete, hatupaswi kusema uislam baki Kikwete (as an individual) sababu ujue kuwa ukristo na uislamu utaendelea kuwepo hata kikwete akiwepo au asipokuwepo. hata akibadili dini, bado dini zitakuwepo! Hivyo mtu anayefanya maamuzi ya kutusi au kukejeli dini siyo vizuri kuunganisha na vyama vya siasa maana katika CCM wapo watu wa dini zote na wasio na dini vivyo hivyo CDM.
I wish you a positive thinking about the current and future Tanzania.
Sijasema CHAMA bali nimesema Wanachadema na nawasomi humu JF kila siku hivyo tafadhali usiyageuze maneno yangu. Sijamsikia kiongozi hata mmoja wa Chadema akizungumzia Udini isipokuwa hawa wanaojiita wanachama wa Chadema. Kisha usinitazame mimi nafikiri nini bali fikiria Watanzania wengi wanaosoma hoja zenu humu JF na ndivyo mimi hupima athari ya kauli zetu.
Binafsi yangu am good isipokuwa naiona hatma ya Chadema kuanguka kutokana na Udini uliopo nchini..Kila unaponisoma miye, take it as a wake up call.. Ujitazame wewe na ubadilike laa sivyo utasababisha makubwa mengine halafu mtaendelea kumlaumu JK kumbe wenyewe ndio mmesababisha yote haya. Mbegu ya Udini aloipandikiza ni Lowassa na MoU, huyo JK kawekwa tu pale hana ubavu huo na matendo yake nyanajionyesha wazi..hivyo jitambueni kwanza ktk hilo..