Rais Kikwete kweli watu wamekuchoka

Rais Kikwete kweli watu wamekuchoka

Aisee tuko wengi, alipoanza tu nikaanza kuangalia my recorded programs, acha akina Ifweero etc washangilie, umeona mijipovu imempa chati Mwigulu, si haba wakuu wa wilaya kama 3 wamtangulia, kufa kufaana wanaweza kujaza hizo nafasi endeleni kuimba zidumu fikra !
 
Nyerere alipokuwa anahutubia kila mtu alikuwa na hamu ya kusikiliza anasema nini, JK hasemi la maana hivyo naturally watu hawawezi kumsikiliza. Hata UN ukiwa na pumba kama JK wakati unahutubia ndio watu wanatoka kuvuta sigara[/QUOTE

Yaweza kua kweli ila sisi kama raia wenye uzalendo na heshima kwa taifa hatuna budi kumsikiliza kiongozi wetu tuliempa kazi ya kutuongoza.
Nimesema hivi vitu ni natural wala havilazimishi. Ni kama Chelsea wanavyocheza boring football watu wanakosa naturally hamu ya kuwaangalia. Sasa utasikiliza hotuba ya JK ya uswahili uta gain nini?
 
Wala sio heshima hata kuhisi tu kwamba kiongozi wako anaweza kuzungumza kitu kisicho maana. Hii tabia ya kuchukia viongozi wetu ni ya ajabu sana. Vijana tubadilike!
 
Wana JF,
Ndugu zangu nimeshuhudia watu wakizima TV na radio zao baada ya kuona JK anaanza kuhutubia. Wengine wanasema kumsikiliza huyu jamaa ni kujiumiza kichwa bure.Maana TV stations na redio mbalimbali zimeweka hicho kipindi, watu wanaona ni bora kuzima vyote na baada ya yeye kuhutubia ndo wawashe TV na radio zao.Hii inadhihirisha jinsi gani watu walivyomchoka rais Kikwete.
Kamanda upo wapi Ufipa au Tengeru?
 
Mimi ni kijana kwa hakika mkuu
Ulimsikiliza Kikwete? Kama umemsikiliza hoja yako ya vijana kutomsikiliza kiongozi wao wa taifa unaitoa wapi? Una hakika gani kuwa wasio vijana wamemsikiliza Kikwete? Je kuwapenda na kuwaheshimu viongozi wetu kunazuiaje kutochekwa na mataifa mengine kama matendo yao yanawaumbua?

2495864_orig.jpg

Hata majirani
Wamechoka kumuona...
Fungeni milango anakuja
 
Tatizo vijana wa sasa hatujui Mambo muhimu na pili watanzania hatuna uzalendo kabisaa. Mie si mfuasi wa vyama vya siasa ila ninajua kumsikiliza kiongozi wa taifa langu ni muhimu sana. Tuwapende na kuheshimu viongozi wetu tusijechekwa na mataifa mengine

Mpende wewe si lazma kulazamisha kila mtu ampende,uzalendo upo wapi kukuza gap ya masikini na tajiri.
 
Nimesema hivi vitu ni natural wala havilazimishi. Ni kama Chelsea wanavyocheza boring football watu wanakosa naturally hamu ya kuwaangalia. Sasa utasikiliza hotuba ya JK ya uswahili uta gain nini?

Kama huo ndo msimamo wako sawa ila si msimamo mwema kwa taifa lako. Nahisi kuna kitu chapaswa kurekebishwa kwetu watanzania.
 
Mimi leo nilipandia daladala maeneo ya tip top kuelekea ubungo, ile naingia tu, dereva akaweka hotuba halafu akahamisha.
Mi nikasema iache hapo kwa JK dereva wangu..
Dah! Wamenishambulia abiria utafikiri nimeua.

Siku ingine utapigwa kabisa
 
Kwa mimi nawashauri vijana wenzangu kuwa ili uweze kumchalleng mtu lazima umsikilize hoja zake na kujua msimamo wake. Huyu whether we like it or not he is our president so ni vizuri tukasikiliza hotuba yake hata kama ni pumba we have to. Unapomsikiliza rais ni rahisi kumuelewa ana malengo gani juu ya taifa letu.
 
Anatupa takwimu za shule na despensary na idadi ya wanafunzi,huyu raisi ni kituko!!
 
Kwa mimi nawashauri vijana wenzangu kuwa ili uweze kumchalleng mtu lazima umsikilize hoja zake na kujua msimamo wake. Huyu whether we like it or not he is our president so ni vizuri tukasikiliza hotuba yake hata kama ni pumba we have to. Unapomsikiliza rais ni rahisi kumuelewa ana malengo gani juu ya taifa letu.

Ana malengo ya kutugawa na kutuzidishia shida.
 
Haulazimishwi. Sikiliza tu hata rais wako mbowe. Huyo tuachieni sie wenyewe.
 
Wana JF,
Ndugu zangu nimeshuhudia watu wakizima TV na radio zao baada ya kuona JK anaanza kuhutubia. Wengine wanasema kumsikiliza huyu jamaa ni kujiumiza kichwa bure.Maana TV stations na redio mbalimbali zimeweka hicho kipindi, watu wanaona ni bora kuzima vyote na baada ya yeye kuhutubia ndo wawashe TV na radio zao.Hii inadhihirisha jinsi gani watu walivyomchoka rais Kikwete.
Nilikuwa naangalia Channel Ten, na walipojiunga kwenye hotuba jamaa nikaona wamejiunga kupitia TBC1 nikazima tv na kwenda jogging!!!!
 
Fungulieni tv arusha mumuangalie lema. Jk piga kazi watu wanataka kujifukia kimuhemuhe kimewashika.
 
Raisi wetu mtu wa ajabu sana eti anasema kesho jeshi litaonyesha mambo yake alafu hapo hapo anatishia wale watakao let's chochoko za muungano kukiona yani nime mshanga sana.
 
Mimi hotuba ilipoanza tu, nikaamua niiuze tv yangu kabisa ili ata watoto wasije wakaiwasha bahati mbaya.
 
Mie nimesikia kupitia BBC. Bora kusikiliza bongofleva utafarijika.
 
Back
Top Bottom