Rais Kikwete kweli watu wamekuchoka

Rais Kikwete kweli watu wamekuchoka

Wewe shetani peopo mbaya, unamdharau rais wako?? Wewe utakuwa unamdharau hata baba yako na mama yako

Raisi sio baba yake kima wewe, raisi anaweza kupatikana kwa rushwa lakini sio baba ccm jifunzeni kujibu hoja kwa hoja sio hoja kwa matusi hata kama ndivyo mnavyo fundishwa na NEC ya ccm.
 
Duh wewe kweli bweege maana hujafuatilia hata mjadala una kurupuka tu utadhani umetoka kunyaa.
 
Hatutegemei wale wafua nepi za junior wakapenda hotuba zake
 
Wana JF,
Ndugu zangu nimeshuhudia watu wakizima TV na radio zao baada ya kuona JK anaanza kuhutubia. Wengine wanasema kumsikiliza huyu jamaa ni kujiumiza kichwa bure.Maana TV stations na redio mbalimbali zimeweka hicho kipindi, watu wanaona ni bora kuzima vyote na baada ya yeye kuhutubia ndo wawashe TV na radio zao.Hii inadhihirisha jinsi gani watu walivyomchoka rais Kikwete.

yametokea leo ARUSHA .
 
Duh wewe kweli bweege maana hujafuatilia hata mjadala una kurupuka tu utadhani umetoka kunyaa.

rudi kwa bwana wako nepi hapo lb7 ufundishwe cha kuandika hapa jukwaani! Kwa huu uharo unastahiri kulipwa jero tu.
 
Bora kusikiliza taarabu au ze comedy kuliko kumsikiliza Kikwete.
 
nilifikiri ni mimi peke yangu ambaye sivutiwi kabisa na hotuba za huyu jamaa.
 
Wana JF,
Ndugu zangu nimeshuhudia watu wakizima TV na radio zao baada ya kuona JK anaanza kuhutubia. Wengine wanasema kumsikiliza huyu jamaa ni kujiumiza kichwa bure.Maana TV stations na redio mbalimbali zimeweka hicho kipindi, watu wanaona ni bora kuzima vyote na baada ya yeye kuhutubia ndo wawashe TV na radio zao.Hii inadhihirisha jinsi gani watu walivyomchoka rais Kikwete.

Nimsikilize Huyo kichwa Nazi aka rais Wa angani?
 
Msikieni tu wenye nafasi hiyo jamani. Ndo mkuu wa nchi yuyo. Zidumu fikra sahihi za M/Kitiiiiiii..sema.. Zidumu. Kwa heri zenu, naenda kulala mapema akimaliza niangalie Isidingo the need.

Hahahhaahhaha nafikiri hata mdogo wangu can have gud vision kuliko huyu jamaa
 
Wana JF,
Ndugu zangu nimeshuhudia watu wakizima TV na radio zao baada ya kuona JK anaanza kuhutubia. Wengine wanasema kumsikiliza huyu jamaa ni kujiumiza kichwa bure.Maana TV stations na redio mbalimbali zimeweka hicho kipindi, watu wanaona ni bora kuzima vyote na baada ya yeye kuhutubia ndo wawashe TV na radio zao.Hii inadhihirisha jinsi gani watu walivyomchoka rais Kikwete.

Hata mkizima Tv na Radio bado ataendelea kuwa Rais wenu!
 
Back
Top Bottom