Rais Kikwete kweli watu wamekuchoka

Rais Kikwete kweli watu wamekuchoka

Wana JF,
Ndugu zangu nimeshuhudia watu wakizima TV na radio zao baada ya kuona JK anaanza kuhutubia. Wengine wanasema kumsikiliza huyu jamaa ni kujiumiza kichwa bure.Maana TV stations na redio mbalimbali zimeweka hicho kipindi, watu wanaona ni bora kuzima vyote na baada ya yeye kuhutubia ndo wawashe TV na radio zao.Hii inadhihirisha jinsi gani watu walivyomchoka rais Kikwete.

Wewe shetani peopo mbaya, unamdharau rais wako?? Wewe utakuwa unamdharau hata baba yako na mama yako
 
Wana JF,
Ndugu zangu nimeshuhudia watu wakizima TV na radio zao baada ya kuona JK anaanza kuhutubia. Wengine wanasema kumsikiliza huyu jamaa ni kujiumiza kichwa bure.Maana TV stations na redio mbalimbali zimeweka hicho kipindi, watu wanaona ni bora kuzima vyote na baada ya yeye kuhutubia ndo wawashe TV na radio zao.Hii inadhihirisha jinsi gani watu walivyomchoka rais Kikwete.

JK hajawahi kuajiriwa nje ya maisha ya siasa .He knows nothing juu ya nidhamu ya kazi zaidi ya Chama .Eti alikuwa jeshini unataka niamini haya ? Simuoni kama mwanajeshi hata kidogo yeye maisha ya siasa na ndani ya CCM pekee sasa haya leo mnayashangaa kweli ?
 
Usituletee ugomvi wa mamaako alivyochokwa na babaako hapa.
 
KULIKO KUMSIKILIZA HUYU kikwete NI HERI UMFUNDISHE MMBWA WA KIKWERE KUFAGIA ATAKUELEWA NA KUFANYA UTAKAVYO. R.I.P ccm
 
Usituletee ugomvi wa mamaako alivyochokwa na babaako hapa.

Kama wewe ulivyochokwa na kichwa unachotembea nacho siku moja kitakuacha peke yako ndipo utakapojua umuhimu wa jicho, sikio, pua, ubongo, mdomo na nywele katika kichwa kilichokuacha. Endelea kulisha nguruwe wa jakaya kikwete
 
Pumba tu hiyo humereta kikwete Jembe wenye fanyeni mnatakacho mkihone cha moto -------- nyie ,msione selika mbili hinaherea ,himehundwaaaaaaaaaaaaa .Chama cha mapinduzi kidumu
lipumba njoo ukamate interahamwe huku halijui kuandika!
 
Kuna aunt mmoja, miaka ya zamani wakati nabonda serokali alikuwa mtu loyal sana wa kutetea serikali (enzi za Mkapa). Nimekuja kuongea naye kipindi cha Kikwete, hata sikuanzisha habari mie, yeye mwenyewe akawa anambonda Kikwete kisawasawa kwamba nchi imemshinda.

Nivyosikia mpaka huyu aunt naye anambonda Kikwete nikaona sasa hivi Kikwete ngoma yake ngumu.
 
Rais Jamhuri ya muungano wa Tanzania mh Dr. Jakaya Mrisho Kikwete is the best president ever!!
Mwenye wivu ajinyonge! Na ccm itaendelea kuongoza nchi.
Hatuwezi kuwapa nchi watu wahuni wa night clubs,
Wahuni hata ndoa zao zimewashinda kuziongoza sembuse nchi? Acheni mchepuko viongozi wa chadema, acheni kupora wake za watu.
 
Mkuu kama unazungumzia kuongoza nchi hadi October 2015 uko sahihi kabisa!
 
bonge la hutuba tupo hapa watu wanashangilia ile mbaya mheshimiwa ni rais wa karne

Du sio huyo hata mkewe akitoa hotuba huwa siwezi kumsikiliza yaani kwa ujumla wake kuanzia nape, kinana, mama wa mkulu, mkulu mwenyewe huwa kuna kitu nahisi kwenye moyo wangu nadanganywa sasa kwa nini kudhulumu nafsi nahamia station nyingine.
 
una uhuru wa kufanya hivyo
 
..hivi kuna watu wanaokaa kumsikiliza huyu msanii JK na hutuba zake siku hizi!!kweli mnakosa cha kufanya...mimi nikiona JK anahutubia huwa nabadili channel immediately...bora kumwekea binti yangu mdogo katuni aangalie..ama gemu acheze ajenge akili...kuliko kupoteza mda kumsikiliza rais bogus.....
 
Hivi hiyu raisi si yupo humu jf.atakuwa anajisikia vibaya sana aliposoma comment zetu
 
Mi nikiona hata picha yake kwenye gazeti nalichana hilo gazeti
 
Basi mi nikiona tu picha najihisi kichefuchefu...
 
JK hajawahi kuajiriwa nje ya maisha ya siasa .He knows nothing juu ya nidhamu ya kazi zaidi ya Chama .Eti alikuwa jeshini unataka niamini haya ? Simuoni kama mwanajeshi hata kidogo yeye maisha ya siasa na ndani ya CCM pekee sasa haya leo mnayashangaa kweli ?

kwamba hajawahi kulamba ajira zile zetu za kupeleka makaratasi kibao , wengine mnaita cv ? Mimi siamini bhana !
 
Back
Top Bottom