Rais Kikwete kuhutubia Taifa...

Rais Kikwete kuhutubia Taifa...

Status
Not open for further replies.
Dhaifu kasahau kuwa anatakiwa ahutubie Taifa, au kala kona, inaenda saa tano sasa.
Utajuaje? Labda kifafa kimemwingia akaangula kabla hajaanza kusoma. Subirini, labda atazinduka! Kama huwa anaanguka mbele ya hadhara kwanini asianguke kwenye faragha. LIWALO na liwe.
 
kuliko kuing`oa bora kuilekebisha kwasababu hatujawahi kuona vikiongoza yawezekana vikawa vibaya zaidi ya ccm
 
Mkuu wa nchi kuhutubia taifa ucku, kaa tayari kusikia atakachosema mkuu kwa maendeleo ya nchi.
Toa maoni na mapendekezo yako ya kitu ambacho mkuu wako wa nchi anatakiwa kukiongelea leo kwa manufaa ya kizazi cha leo na kesho. Aidha hotuba hiyo itarushwa live na vituo mbalimbali vya TV na radio, muda c mrefu tutaenda hewani wakuu msihofu

Waache wafu wazikane kwa wafu!!
 
TBC Tv ya wajinga - imeripoti DHAIFU atahutubia leo J'pili usiku. Je utaacha kuangalia Italy na Spain umsikilize mpaka PODA?
 
What!! Niache kuangalia game ya fainali, nisikilize hotuba ya JK? Hapana haiwezekani.
 
Atakuwa alitaka kumshambulia Uli ( maana walikuwa hawajamtaarifu kuwa hatakuwepo), alipogundua Uli hayupo ilibidi akabadili hotuba.


Chezea Mungu wa watu wa Mbeya weye!! Get wel soon Uli.
 
Siamini, sijaamini! Kwa mara ya kwanza Ikulu inatudanganya. Yaani wameshindwa hata kutoa taarifa kuwa Rais sasa atazungumza na Wazee wa Dar, kina Mzee Ibrahim Akilimali wa Yanga!
Ingawa sikuwa na mpango wa kuisikiliza hotuba ya Rais nasikitika hakuzungumza, Ikulu wamesababisha nimdanganye mke wangu, maana nilimpigia simu kuwa aangalie TV, Rais angehutubia Taifa.
Nasikitika na kuogopa kuwa hata mke na watoto wangu wataona Ikulu ni waongo.
Huku ni kumdhalilisha Rais.
 
Haa mlikuwa wapi ninyi?Mbona kahutubia kupitia ile redio ya wajahedeen Radio Imaan!!!
 
Sijui kwanini marais wa Tanzania huwa hawafi haraka. Ukiacha Nyerere, wengine wote wabishi kama dagaa. Hivi kwanini wasiige mfano wa Malawi, amabapo marais kila siku wanavuta.
Kwa nini na wewe bado unaishi?
 
Mkuu wa nchi kuhutubia taifa ucku, kaa tayari kusikia atakachosema mkuu kwa maendeleo ya nchi.
Toa maoni na mapendekezo yako ya kitu ambacho mkuu wako wa nchi anatakiwa kukiongelea leo kwa manufaa ya kizazi cha leo na kesho. Aidha hotuba hiyo itarushwa live na vituo mbalimbali vya TV na radio, muda c mrefu tutaenda hewani wakuu msihofu
sisi tutoe ushaurigani wakati hotuba imeshaandaliwa kuongelea mafaniko hewa?:sleepy::sleepy::sleepy:
 
Hotuba yenyewe ni hii: uchumi umekuwa kwa 7%! Uwezo wetu wa kuuza bidhaa nje umeongezeka kwa 25% toka mwaka jana. Mahakama ya kadhi ruksa na Tanzania tunajiunga na OIC. Kuhusu Iran na bendera zetu ruksa ni biashara inayoingizia taifa fedha za kigeni, sawa na 15%. Nitaongea na White House watatuelewa msiwe na hofu wananchi. CCM oyeeee, Mungu ibariki Tz. Asanteni kwa kunisikiliza.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom