I hope akianza kuhutubia wewe na wanafiki wenzio mtakesha mkituma post za kuponda hotuba yake kwani ndo kazi yenu kuu
nahisi we utakuwa ndo yule bibi wa bagamoyo mwenye ile tv ya asili anakokimbiliaga mkulu akishindwa mambo,, ebu niakikishie!
I hope akianza kuhutubia wewe na wanafiki wenzio mtakesha mkituma post za kuponda hotuba yake kwani ndo kazi yenu kuu
Nashauri atupe ufafanuzi huhusu, mgomo wa madaktar, kusulubiwa ulimboka,kuruhusu meli za iran kutumia bendera zetu, bilion300 alizoficha na wenzake majuu, kwanini ye ni zaifu,. Naitaji majibu yake kiofup juu ya hayo
mbona ahutubii sasa mpaka muda huu au kaugonjwa kuanguka kamemkuta nini?:behindsofa::behindsofa:
:behindsofa:
Duu kweli msanii ni dhaifu mpaka sasa hakuna kitu!Mbona ahutubii sasa mpaka muda huu au kaugonjwa kuanguka kamemkuta nini?:behindsofa::behindsofa:
:behindsofa:
Wakuu huto dhaifu anahutubia saa ngapi au anahutubia taifa gani
yaani mwenzenu nimekaa nasubiri hadi sa hizi sijamsikia basi kama kaingia mitini si aseme au hao wasaidizi wake, mambo gani kusubirishana hivyo?ah ni muhimu kumsikia pengine atalia kwa uchungu au anaweza tangaza kujiuzulu the world is full of surprises.