pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,030
- 15,232
Tupo wengi ambao hatufai
Too late!
Tupo wengi ambao hatufai
Acha ujinga wewe. Unafikiri Rais wa nchi atafanana na baba yako?
80% ya Watanzania wanamuona anawafaa, na kura za juzi zimethibitisha hilo.
Ikiwa 20% mnamuona hawafai inabidi msubiri sana.
kwani kikwete, nani alimuweka awe kisemeo cha mafisadi?Mleta mada, nani amekuweka uwe kisemeo cha watanzania.
Sijawahi kuona wala kusikia rais wa nchi yoyote duniani akiidharau noti au sarafu ya nchi yake. Ni Tanzania tu
Kenyatta anakuja vipi hapa?Naunga mkono hoja kwa asilimia mia moja. ukilinganisha hotuba zake na za Kenyatta ambaye ni junior sana kwake huwa najiuliza Nyerere alimaanisha nini aliposema mwaka 2005 kuwa huyu bwana BADO?
kwani kikwete, nani alimuweka awe kisemeo cha mafisadi?
Anatakiwa kufanana na nani?
Wewe unayefaa,umefanya nini japo hata mtaani unakoishi kwako .Tathmini yetu juu ya Rais Kikwete baada ya hotuba yake ya jana ni kuwa HAFAI kutuongoza Watanzania na tushukuru Mungu kuwa mwakani anamaliza muda wake!
Katika vita vyetu na Iddi Amin Daddah katika miaka 1970s, kama yeye angelikuwa ndio Commander-in-Chief kama alivyo sasa, basi Kagera leo ingelikuwa chini ya Uganda!
Chanzo: Zanzibar Ni Kwetu