Kazi yako ni nini hasa? Jamani mniwie radhi,hiki ki- j.i .bwa nakichukia sana,hakijawahi kuwa fare,kila kitu kinatetea tu. Hivi wewe ni mtanzania kweli?Wote hao changanya pamoja hawawezi kumpata Kikwete hata nusu ya utendaji wake uliotukuka.
Kazi yako ni nini hasa? Jamani mniwie radhi,hiki ki- j.i .bwa nakichukia sana,hakijawahi kuwa fare,kila kitu kinatetea tu. Hivi wewe ni mtanzania kweli?Wote hao changanya pamoja hawawezi kumpata Kikwete hata nusu ya utendaji wake uliotukuka.
Hakufai wewe .
JK, CAG na PAC nani muongo?
Hakufai wewe .
Ngida1
Anaekufaa ni yupi? Sisi wengine tunamuona anatufaa na hakuna Rais bora kama yeye. Na angekuwa yeye ni kamanda wakati huo unaosema asingeingia kwenye vita.
Hata Gaddafi na wema wote kwa Libya wako waliomuona hawafai sasa hivi wanajuta.
Heshima yako bibi, ila mi naona ingekuwa busara kama ungekubali kwanza kuwa hafai kwa muujibu wa muanzisha mada then ndio ufungue uzi mwingine uhoji Nani anafaa badala yake.
Kitendo cha kuanza kuuliza kuwa nani anafaa maana yake umekubali yeye hafai, sasa ni busara ukikubali direct kwanza na sio kinyume nyume kama unavyofanya hapa.
Wewe, hakuna wakati nchi hii ina fedha kama sasa, na mwakani ndiyo kabisa, misingi ya umasikini aliyoiwacha Nyerere, Kikwete ameshaibomoa yote. Na jana kasema yale mambo ya ujamaa hakuna tena.
Mi Gas, inaanza kutiririka, miumeme mitambo inakamilika Kinyererezi I, II, III na IV, ji-hospitali kubwa la kufundishia mambo ya tiba limeshaanza huko Mloganzila, yaani mambo yote mazuri Kikwete kisha tuwekea. Huyo ataekuja ashindwe mwenyewe tu kutekeleza.
Unataka kusema nini wewe? hakuna Rais aliyefanya mengi na mema kwa Tanzania kama Kikwete, tukianza kuyaweka hapa na kuyachambuwa hatuyamalizi leo.
sinema hizo tu hizo eti mi gas, rais wako msani tu na bora atoke tupumue.
anaiacha nchi ktk wakatI mgumu sana....maneno mengi ana bwabwaja tu
NaungA cha ono hoja kwa asilimia mia moja. ukilinganisha hotuba zake na za Kenyatta ambaye ni junior sana kwake huwa najiuliza Nyerere alimaanisha nini aliposema mwaka 2005 kuwa huyu bwana BADO?