Huyuu jamaa (Jakaya Mrisho Kikwete) ni mwizi tu, period!
Kwa matendo na kauli zake za jana katika hotuba yake ya kujiumauma,zinathibitisha hili.
Tulifikiri hii ishu imefika kwa mtu mwenyewe mwenye nchi - Rais na angezungumza km mwenye mamlaka juu ya nchi hii na mtu anayechukia uovu,wizi,rushwa,ufisadi ma matumizi mabaya ya madaraka na ofisi za umma badala yake akaanza kuanza kuleta narration ya story ambayo watu wanaijua pengine kuliko hata anavyojua na kujijua yeye mwenyewe!!. Ameonesha wazi kabisa kuwa yeye kwa maana ya Ikulu ndiye mratibu wa wizi huu, No doubt again about this!!
Huyu bwana asidhani kuwa "serikali" ina maana ni yeye. Na ajifunze kwa mwenzake wa juzi hapo Bukinafaso. Itafika wakati na wenzake ndani ya serikali watamchoka tu na watatupilia mbali utii na wataasi mamlaka yake na kuungana na umma!!
Amini nawaambia wana forum hii kwamba kwa kashfa hii ya Tegeta Escrow Account ni mwisho wa uvumilivu wa watanzania na kamwe haiwezi kuwa na mwisho kama ile ya Richmond hata PM wa wakati ule Ndugu yangu EDWARD NGOYAI LOWASSA kuamua kujitoa sadaka ya kulinda heshima ya mshkaji wake na hatimaye akabaki salama hadi leo hii.
Hii ilipaswa kuwa funzo na kutubu madhambi yake, lakini kumbe mwizi ni mwizi tu hawezi kuacha tabia na asili yake kirahisi!
This time ni zamu yake kubeba mzigo wake yeye mwenyewe, haiwezekani aendelee kuumiza watu wengine na wananchi kwa ujumla anymore bila sababu yeyote kunakosababishwa na uovu wake chini ya uratibu wa kundi dogo la marafiki zake na wateule wake maalumu kwa mwavuli wa "IKULU" kwa kuegamia kisingizio cha "KATIBA" inamlinda!.
He must go now, 2015 ni mbali mno, ataumiza wengi huyu....HAFAI,AMEKOSA MORAL AUTHORITY YA KUONGOZA DOLA NA WANA WA NCHI HII!!..
Tunajipanga....