Rais Kikwete azindua Sera ya Elimu na Maabara

Rais Kikwete azindua Sera ya Elimu na Maabara

Hii michango atalipa nani,,?
1. Caution money
2. Ulinzi
3. Afya
4. Ujenzi.
5. Thamani
6. Vifaa vya usafi
7. Mahafali.
6. Tour
7. Ukarabati
8. Mitihani ya MOCK, INTER SCHOOL
9. ETC.

Ulinzi watalinda askari,
Hakuna Tour,
ujenzi inajenga serikali,
mock bure kwanza siyo Lazima,
Hakuna mahafari,
Ukarabati kazi ya serikali,
Afya hospital zipo.
 
Mie ni mwl wa shule moja hapa jiji la mwanza.mwaka jana serikali ilitakiwa itume capitation(elfu ishilini ya kila mwanafunzi kama punguzo la ada toka elfu 40 ya zamani maana serikali iliwapunguzia wanafunzi wa kutwa na kubaki elfu 20).serikali inatakiwa itume kulingana na idadi ya wanafunzi walioko
shule,kwa idadi ya wanafunzi wetu ilitakiwa kwa mwaka jana tupate milioni 14 kwa mwaka kama ada toka serikalini lakini serikali ilituma tsh elfu 93 tu kwa mwaka.nambie mkuu au shule inaendeshwaje wadau mpaka chaki tuliazima shule ya jirani maana mkuu alinunua toka kwenye mshahara wake akachoka.
 
Hiki unachouliza ni sawa na kusema kuwa kwanini wewe ulisubiri ulisubiri mama yako akakuzaa wewe kwanini wewe ulisubiri mpaka akakuzaa wewe badala ya wewe kumzaa kwanza!

The greatest foolish thinker! Hapo ndo mwisho wako wa kufikiri!
 
Sera hii alikua nayo dr. slaa akaambiwa anaropoka tu hicho kitu hakiwezekani, kwa sasa inawezekana baada ya kukosa sera za kurudi kuombea kura.

nadhan sasa sera ya udini hamtoitumia baada ya vyama mliokua mnavipa sifa hiyo kama sera yenu kuu ya uchaguzi kuungana.
 
Hii michango atalipa nani,,?
1. Caution money
2. Ulinzi
3. Afya
4. Ujenzi.
5. Thamani
6. Vifaa vya usafi
7. Mahafali.
6. Tour
7. Ukarabati
8. Mitihani ya MOCK, INTER SCHOOL
9. ETC.
5. Thamani ?

Kama unamaanisha furniture ni SAMANI.
 
Kwa nini hakufanya hayo wakati akiwa kiongozi????
Ameondoka kazini anashinikiza bajeti ijayo kwa wenzake anastahili ...........!!!!!!! Huyu

kwani sasahivi yuko nyumbani kwako? au ameondoka ameenda wapi.
 
@Tea Bag huyo Rais ameanza kampeini mapema!!
Hiyo sio sera ya MaCCM, waliikataa alipoitaja Dr Slaa!!
Akapumzike Msoga salama atuachie nchi yetu salama!!
 
Sio tunaofundisha shule za serikali aka za kata tunajua hii ni siasa za kiwango cha juu sana njoo jaman mashuleni mjionee maajabu ya hizi shule mwaka jana 2014 na mwaka huu 2015 tumeletewa wanafunzi 157,JUMLA 314 wanatumia chumba kimoja wote tu kila kidato kwa maana watoto kidato cha kwanza chumba kimoja na kidato cha pili kimoja .anayeweza kusifu asifu tu lakn sie tunaotoa iyo taaluma tunajua ni siasa za kitanzania za kubadili mchanga kuwa sukari na watu wakasadiki
 
Ni rahisi mno kuwadanganya wtz mkoa mzima kuliko kumdanganya mkazi mwingine yeyote wa dunia asiye mtz, hapo wanacheza game ya kisiasa,mwaka utasikia kumezuka kamchango kaajabu ajabu kufidia hiyo ada. Kwa lugha nyepesi wameitolea mlango wa mbele muone halafu inarudishwa kwa mlango wa nyuma au dirishani,tuwe macho na wanasiasa
 
@Tea Bag huyo Rais ameanza kampeini mapema!!
Hiyo sio sera ya MaCCM, waliikataa alipoitaja Dr Slaa!!
Akapumzike Msoga salama atuachie nchi yetu salama!!

wewe ni mtu wa kuhurumiwa bila jk sijui kama ungekuwa unajitambua hata ungekuwa ulivyo leo.
 
Huyo tumeshamuzoe angemaliza kwanza ahadi zake za maisha bora kwa kila mtanzania alizotuahidi 2005 na 2010.Pia kwa bajeti ipi? tatizo kubwa ni nidhmu katika matumizi yetu.Ruzuku ya halmashauri kwa bajeti ya 2014/15 hata 15% haijazifikia halmashauri.Rais wangu maneno matupu hayafai tuambie kwa action pla zipi? pesa zitatoka wapi na kwa serikali ipi ambayo kila siku matumizi yake hayaendani na malengo tunayojiwekea kwenye bajeti.Tuweni wa kweli hiyo sera itawezekana kwa mipangao makini lakini siyo kwa serikali hii.
 
Juzi mlikataa haiwezekan leo inafaa maccm hamnazo ,mnatekeleza sera za wapinzan .Mlitudanganya kuwa haifai kusoma bure
 
Sera ya Elimu iliyozinduliwa na Rais Kikwete, ni nzuri lakini imeletwa wakati ambapo lengo lake ni kampeni ya Kiserikali ikitumia Raslimali za Serikali kwa manufaa ya CCM. Sababu ni kwamba Rais Kikwete ameisikika akisema, Elimu ya Sekondari itakuwa bure ifikapo mwaka 2016!!! na wakati huo huo Oktoba Mwaka huu 2015 ni Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani!!!. Hii ilitakiwa itamkwe kwenye Ilani ya CCM kabla na kutekelezwa, au ingetamkwa kwenye ilani ya CCM wakati wa Kampeni zijazo 2015.
Kwa Mazingira haya, Lengo zuri la Sera ya Elimu limeletwa katika Mazingira ya Kampeni za Kiserikali kwa manufaa ya CCM.
Nawasirisha.
 
  • Thanks
Reactions: 999
Lizaboni je wizi na ufisadi mtaacha??
Maana fedha nyingi walizoficha nje zinatosha kutoa huduma bure!!
Tunataka warudushe fedha zetu, Lowasa, Chenge wakiongoza!!
 
Last edited by a moderator:
Elimu bure sawa ni jambo jema,lakini kuna michango ambayo mzazi atalipa ambapo bado gharama zitarud pale pale,ni ngumu kunielewa ktk hili kama wewe huna mtoto anaesoma primary serikalini
 
  • Thanks
Reactions: 999
Back
Top Bottom