utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Rais Kikwete anazindua sera ya elimu na maabara nchini. Tukio hili linarushwa live kupitia television ya taifa TBC. Vijana wa shule za sekondari nchini wanaonyesha majaribio mbalimbali ya kisayansi kwa ustadi mkubwa kabisa.
Fuatilia uzi huu kwa updates zaidi...
Walioambatana na rais Kikwete ni waziri wa elimu Shukuru Kawambwa, naibu wake Anne Kilango Malecela, katibu mkuu wa wizara ya elimu pamoja viongozi mbalimbali wa kitaifa na kimataifa.
===========
UPDATES:
Fungua kiambatanisho hapa chini kusoma sera ya Elimu na Mafunzo.