mwakaboko
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,931
- 758
tutafika tu hata kama ni usiku. Ili kuinua na kuhamasisha watoto kusoma masomo ya sayansi, serikali na hasa wale jamaa waliosoma masomo ya art wakubali kutofautiana mishahara na waliosoma sayansi. waache kuwaonea wivu waliosoma sayansi wawe na mishahara mikubwa zaidi. vinginevyo hali itazidi kuwa mbaya
