chuse tbr
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 496
- 584
eddy kwako sawa ila asilimia themanini ya watanzania wanaongea kiswahili bila tabu na kuongezea tu kiswahili ndo lugha ya pili kwa ukubwa barani afrika nyuma ya kiarabu
kingereza hakitusaidii na hakito tusaidia maadam tuna mchanganyiko huwa wa lugha nyumbani asilimia mia tunazungumza kiswahili, shuleni mwalimu anafundisha kingereza kwa kutumia kiswahili wapi utajua lugha hii
tukisoma kiswahili walau nguvu kubwa ya ubongo wetu tutaitumia kuelewa na kutafakari kuliko kukalili na kujaribu kutafuta maana