Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

Wakuu poleni na shughuri, hii ni kwa wale wenye mahaba na mgombea Urais wa ukawa, jipangeni kuandamana muda si mrefu atafikishwa kizimbani kujibu mashtaka yanayomhusu. Haijarishi kuwa serikali imeshelewa kumpeleka mahakamani. Pia mmiriki wa Dowans nae pia atafikishwa mahakamani.

tuvumiliane katika kipindi hicho. :mad2:

Touch and hold your @ss dude. Deal la Richmond ni zigo la Mkwere. Iko siku ataomba dunia immeze. Afanye afanyavyo,UKAWA wasiingie madarakani,this conman will be crucified..
 
Lowassa anatafuta sasa huruma aseme ameonewa. Swahiba wake JK hakuweza kumfunga lakini Magufuli hacheki na mtu. Ngojeni muone! Mnaosema mbona hajapelekwa mahakamani msiingie humu kulialia akipelekwa mahakamani!

Subiri Lowassa aingie ikulu mtajuta.
 
JK mjanja sana. anajaribu kutaka kututoa kwenye topic ili ajibiwe malumbano yaendelee. hawezi tumeshaamua mabadiliko, wasubiri baada ya uchaguzi tutalishughulikia jambo hili na kujua mbichi na mbivu. kwa sasa kampeni kwa mbele


Lowassa alisema ''mamlaka za juu ziliagiza'' JK nae kasema ''huyo anayetembezwa na UKAWA kumwombea kura''.

Bado unajiuliza nani mhusika wa Richmond?

Jiulize swali lingine.
 
Hahahaaaaa. Mtahangaika sana. Lowasa si lolote wala chochote hapa nchini. Anahangaika na siku zake tu nanyi mnapiga dili maisha yaende mbele ili baada ya uchaguzi muwe na kumbukumbu kwamba uchaguzi huu mlipata nini.

Wapiga deal wasanii wanaopewa mihela ili watembee na makufuri kwenye kampeni zake! Tabora jani walianza kuimba saa moja asubuhi dah jamani!
 
This time andazi(Tanganyika) moto chai (znz)moto!, halafu wamepewa dk3 basi linaondoka ha ha ha!
 
Huyo JK miaka yote alikuwa wapi asitaje mhusika wa Richmond?. Ajitaje mwenyewe sasa, maana sisi.si wajinga kiasi hiki...
 
Huu ndio utawala unaozingatia sheria mtu hafunguliwi mashtaka kutokana na majungu ya walevi wa komoni. Ukiondoa kero za wananchi rushwa inakufa natural death, ukibadili mfumo wa utawala ufisadi unakufa natural death, chama kikitawala muda mrefu kinaanza kuongoza kwa mazoea, piga chini, tupa kule!
ni kweli kabisa Bwana Nzowa, lazima tukubali kuwa taifa letu linamatatizo mengi ambayo hatupaswi kuyaweka kando ili tupate nafasi ya kujadili Richmond. tunachotaka watanzania ni kuikomesha richmond kwa kuuchimba na kuung'oa mzizi uliozaa richmond na mengine ya kufanana na richmond. alafu hizo pesa zilizokuwa zinakwenda kuwanufaisha wachahche, ziingizwe kwenye huduma za afya, elimu, miundombinu, mikopo kwa wajasiriamali, umeme nk
 
Lowassa alimhusisha Kikwete na richmond kwa kutamka kuwa mamlaka yaliyo juu yake ndio iliyohusika na richmond. Hakuna mamlaka yaliyokuwa juu ya Lowassa zaidi ya ikulu iliyo chini ya Kikwete!

Naye Kikwete kajibu mapigo kwa kusema anaehusika na richmond ni yule anaetembea na Lissu kwenye majukwaa ya siasa! Hakumtaja mtu! Je, Lissu anatembea na nani?? Hakutajwa mtu!
 
Rais acha uoga! mtaje mtu huyo na umfikishe mahakamani haraka iwezekanavyo ili haki itendeke!

Kwa nini unaogopa wakati uwezo na mamlaka unayo? Acha kucheza na saikolojia zetu. Eti yule anayetembea na Lissu kwenye kampeni, je ni nani huyo? Tambwe Hizza? Sumaye? Masha? Mbowe? Msindai? Ama nani?
 
Baada ya EL kuachia ngazi, ni kwa nini hoja ya Richmond iliondolewa bungeni immediately?
 
Hana sera huyo ajiandaa kumukabiz ikulu lowasa tu
 
Kama ni Lowassa mtaje acha kuumauma maneno! Unamwogopa Lowassa? Kama hukuhusika na richmond uoga wa nini?

Hatudanganyiki! Lowassa hahusiki na richmond! Mabadiliko ni lazima! Hayaepukiki!
 
Fisadi hatakwenda ikulu, endelea kujiandaa kisaikoloji.Huu ni wakati wa hapa ni kazi tu,watanzania wataongea kwa sauti kuu October 25.


Zamani miaka ya 80's utawala wa Hayati Edward Sokoine kulikuwa na misamiati mfano: WALANGUZI, WAHUJUMU UCHUMI, pia kuliibuka msamiati mwingine WAHAINI.


je leo ndugu yangu tunapoongelea msamiati FISADI tunaelewa maana yake au tunashabikia kwa kuwa ni neno lakishwahili limetamkwa na sisi tunajua kiswahili???

TAFAKARI MAANA YA NENO FISADI, KISHA UKISAHJUA MAANA YAKE TAFAKARI KUNA MAFISADI WANGAPI TANZANIA??



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Lowassa alimhusisha Kikwete na richmond kwa kutamka kuwa mamlaka yaliyo juu yake ndio iliyohusika na richmond. Hakuna mamlaka yaliyokuwa juu ya Lowassa zaidi ya ikulu iliyo chini ya Kikwete!

Naye Kikwete kajibu mapigo kwa kusema anaehusika na richmond ni yule anaetembea na Lissu kwenye majukwaa ya siasa! Hakumtaja mtu! Je, Lissu anatembea na nani?? Hakutajwa mtu!

Tungo tata
 
Mfa maji haachi kujitapatapa, malofa tunamkubali huyo huyo mnayemwona fisadi huku mlikua naye. Piiiiipoooooooz.✌
 
Richmond=Richard Monduli.Walifanya wizi wa kimkakati(Strategic theft) jinsi ya kupata ushahidi beyond no doubt ni ngumu.Na sheria zilivyo najua huzijui ila Fisadi EL baada ya kukaa kwa muda inaonekana wamemshauri kwamba ukitaka kulikwepa sema "Wakupeleke mahakamani" wakati kama ni kweli yeye siyo MWIZI kwanini HAUMIZWI NA UFISADI na RUSHWA KABISA,Kwanini anagawa sana PESA na Kwanini UHALALI WA UTAJIRI WAKE NI SIRI KUBWA.Aseme jinsi alivyopata ili na sisi tunaotafuta tufuate nyayo zake.NI MWIZI TU.....

Wewe utajiri wako tunaujua?
Huyo Richard wewe unampata wapi?
kwenye MOU ya Richmond au wapi?
Pesa za Ridhiwan tunajua kapata wapi?
Pesa za Magufuli na zile Hotel tunajua anamiliki vipi?
Acha ushabiki kwenye Mambo ya Msingi.
Chenge amechuliwa hatua gani?
Mama Tibaijuka je?
angalia cha kudanganya, tayari tunauelewa kuliko wewe tumia akili nyingi kutushawishi labda tunaweza kukusikiliza lakini kwenye maamuzi hauwezi kutubadili kabisa.
Kura zote kwa Lowasa
 
Back
Top Bottom