Rais Kikwete akinunua samaki gengeni

CV yake unaijuwa au unahororoja tu? Hajawa mwalimu wa shule huyo wala mwandishi wa habari. Kama waliomtangulia. He was born a leader.

Nenda kawadanganye hao wanamsoga wenzako coz ni shemeji zako
Hana charma yeyote ile huyoo.
 
Muheshimiwa amesumbuka kutoa pesa maana hapo hata angeomba apewe bure angepewa wa kumtosha!
 
eti kamuiga obama, jamani kunya kwa tembo hakuigwi...

kwahyo route zote za marekani hilo la kununua ndio pekee aliombulia kujifunza ukiondoa kutibiwa tezi dume+kuomba misaada!
 
Nenda kawadanganye hao wanamsoga wenzako coz ni shemeji zako
Hana charma yeyote ile huyoo.


  • Sullivan Honor
  • 2007: The AAI African National Achievement Award (on behalf of Tanzania).[SUP][9][/SUP]
  • 2009: US Doctors for Africa Award.[SUP][10][/SUP]
  • 2011: Social Good Award from the United Nations Foundation[SUP][11][/SUP]
  • 2011: South-South Award for Global Health, Technology and Development[SUP][12][/SUP]
  • 2012: FANRPAN Policy Leadership Award from the Food, Agriculture and Natural Resources Policy Analysis Network.[SUP][13][/SUP]
  • 2013: Africa's Most Impactful Leader of the Year by the Africa Leadership Magazine[SUP][14][/SUP]
  • 2013: ICCF Mengha Award by the International Conservation Caucus Foundation[SUP][15][/SUP]
  • 2014: Icon of Democracy Award, from The Voice Magazine (Netherlands)[SUP][16][/SUP]
  • 2015: Leadership Excellence Award by the Pan-African Youth Union.[SUP][17][/SUP]
 
Kati ya tuzo hizo hakuna hata moja inayofahamika na wapiga kura wake ...zote ni za vichochoroni
 

FaizaFoxy, Hata kama angepewa tuzo 100, mimi binafsi katika uongozi wa Kikwete sijaona kipengere cha yeye kupewa tuzo hata moja.

Napenda kuungana na wadau wengine wanaomfananisha Kikwete mbwa asiyebweka wala kung'ata! Sizungumzii hayo kwa itikadi za kisiasa LA HASHA! Mimi binafsi SINAGA CHAMA.

Tuzo hizo kapewa tu kumsifia ili AVIMBE KICHWA na kujiona bora. Si hivyo tu urafiki wake na mataifa makubwa hususani Marekani umechangia sana kumpa hiyo danganya toto ya kumtunuku TUZO. Lengo lao ni kuweza kupata mpenyo wa kueneza propaganda zao kirahisi na kusighn mikataba FEKI iliyojaa ukandamizaji na unyonyaji.

Ikumbukwe pia kuwa mara nyingi hata mwanaume anapomtamani binti fulani ili kuwa naye kwenye mahusiano humlaghai kwa kumsifia kuwa kaumbika, ana shepu na sura nzuri, ana tabia nzuri, nk hata kama yule binti kajaa makunyanzi na hana umbile zuri.

Raisi Kikwete atazidi kulaumiwa kwa kushindwa kudhibiti: WIZI, RUSHWA, MFUMKO WA BEI, NA UHUJUMU MWINGI WA MALI ZA UMMA.
 

[TABLE="class: wikitable"]
[TR]
[TH]Year[/TH]
[TH]Country[/TH]
[TH="colspan: 2"]Order[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD] Uganda[/TD]
[TD="width: 80px"] [/TD]
[TD]Most Excellent Order of the Pearl of Africa (Grand Master)[SUP][4][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD] Comoros[/TD]
[TD="width: 80px"] [/TD]
[TD]Order of the Green Crescent of the Comoros[SUP][5][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD] Saudi Arabia[/TD]
[TD="width: 80px"]
[/TD]
[TD]Order of Abdulaziz Al Saud[SUP][6][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD] Jamaica[/TD]
[TD="width: 80px"] [/TD]
[TD]Order of Excellence[SUP][7][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2012[/TD]
[TD] Oman[/TD]
[TD="width: 80px"] [/TD]
[TD]Order of Oman (First Class)[SUP][8][/SUP][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 

Ulishawahi kuyaona haya kabla ya Kikwete:


Source: PCCB - Head Office, November, 2013.
 
fursa-soko-kijana
Duh! Nimemwona Raisi wangu akigawia watoto hela, akawaambia ni ya sikukuu! Sawa, lakini amenunua Samaki wa 120,000/= sikumsikia akiulizia changamoto wapatazo wavuvi au wachuuzi. Ila nimekujua anafahamu Samaki watamu!
 
Nauliza tu mpiga picha alikuwa ndani ya genge? kama ndio inamaansha hii pcha ilipangwa au?

hilo sio la kuuliza mkuu. . .lakini kwa mtazamo wangu ukiachilia itikadi zake za kisiasa rais B. OBAMA na MKEWE ndio wako social sana. . . ni vigumu sana kumuona mama Salma mtaani lakini kwa Michelle Obama iliishakuwa kawaida. . huku TZ wanafanya tu mbele ya camere ili tuwaone
 

Sasa kama rais anasema hapendi kudhulumu hadharani ni kwa nini anadhulumu utajiri wa Watanzania anapokuwa Magogoni? Wajinga ndio waliwao.
 
Last edited by a moderator:
fursa-soko-kijana
Duh! Nimemwona Raisi wangu akigawia watoto hela, akawaambia ni ya sikukuu! Sawa, lakini amenunua Samaki wa 120,000/= sikumsikia akiulizia changamoto wapatazo wavuvi au wachuuzi. Ila nimekujua anafahamu Samaki watamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…