C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,080
- 3,769
Mbona ma bodygurd wanaonekana kuchoka kuliko hata raisi wetu!! kwa hali hii bora hata wale wa Mugabe waliomwacha akagalagala chini.
Nenda wewe sasa ukamvamie ndio utajua kama wamechoka au lah
Mbona ma bodygurd wanaonekana kuchoka kuliko hata raisi wetu!! kwa hali hii bora hata wale wa Mugabe waliomwacha akagalagala chini.
Ila kuna njemba moja imevaa nguo nyeusi inatamani hata Rais ageuze kurudiNenda wewe sasa ukamvamie ndio utajua kama wamechoka au lah
Ila kuna njemba moja imevaa nguo nyeusi inatamani hata Rais ageuze kurudi
Angekuwa slaa angetapika mpaka sakaramenti ya upadre!
Unaona hana ulinzi wa kutosha kwa vile hujaonyeshwa lakini hapo ana ulinzi unaostahili kama kawaida, hukuona cruiser zikimfuata?Inaelekea JK naye ameamua kuachana na utaratibu wa walinzi wake wa kumpa ulinzi wa 'kufa mtu' hata pale anapofanya jogging!
Unataka kusema we mtoto.ikulu si ihamie Dodoma?Dar tupumue,maana mbanano umezidi
Nenda wewe sasa ukamvamie ndio utajua kama wamechoka au lah
Mkuu C.T.U kuna failure kadhaa nimezinotice hapo kwa hao close protection guys did you??
Wamevaa vibaya hadi wameshindwa kuweka baadhi ya vifaa muhimu vya kazi.
Na usiniambie their only assurance/cavalry is that single CAT SUV behind, its too far from the protectee
Cc. OLESAIDIMU
Even a simple walk like that one is usually planned ahead and all necessary precautions taken, any risk has been studied in advance. Hao sio wajinga, wanasomea kutambua na kutilia shaka pamoja na kumuondosha katika hatari. Technology iko juu siku hizi, huelewi kwanini hizo gari ziko hapo na pia huoni vingine ambavyo hukuonyeshwa.
Si mchezo mheshimiwa yuko fiti kwa kweli.
Hujui hata nnachoongelea dogo, so u better keep quiet.
Unadhani siyajui yote hayo?