Rais Kikwete akifanya mazoezi Dodoma

Rais Kikwete akifanya mazoezi Dodoma

Ina maana hiyo barabara iko isolated hivyo kiasi hakuna watembeaji wengine au imefungwa kwa muda ili Le Professer apite..?
 
Tezi ni lazima zipigishwe kwata walau mara mbili kwa siku...!
 
Nimeshindwa kufungua you tube. Nasoma mihadithi yenu tu. Haya baba rizione fanya zoezi.
 
Mimi nilidhani wataweka carpet jekundu barabara nzima anayopita!

Hongera zake kwa mazoezi Rais wetu
 
Ina maana hiyo barabara iko isolated hivyo kiasi hakuna watembeaji wengine au imefungwa kwa muda ili Le Professer apite..?
That is true.

Bila shaka,katika kuimarisha ulinzi,hiyo barabara itakuwa imefungwa kwa design wanavyofanyaga walinzi wa Obama, ambao huwa wanaziba barabara pande zote mbili,kwa kuyakita malori yaliyojazwa mchanga, kufanya hata kama wapo wanaotaka kujilipua, jaribio lao lishindwe kuwezekana.
 
Hivi marais huwa wana pewa ulinzi wa hali ya juukabisa ni kwasababu ya kuogopa gharama za uchaguzi au kuna kitu kingine??????.Kama ni hivyo mbona kuna rais wa nchi moja huko amerka kusini anaendaga mwenyewe shambani na pick up yake alafu anarudi na majani ya ng'ombe.
 
Wananchi wote walifukuzwa barabarani? Mbona hatuoni anasalimiana na wananchi na kupiga nao picha kama Obama?
 
JK yuko fit kweli kweli... Jamaa wanaoongozana nao utafikiri wao ndo wenye Tezi dume!!! Nitakuwa wa Mwisho kuamini kuwa JK alikuwa USA kwaajili ya Upasuaji wa Tezi Dume... Namshauri akimaliza muda wake aende Hollywood akaigize... atapendeza sana kwenye movies za kijasusi ...


Si mchezo mheshimiwa yuko fiti kwa kweli.
 
Last edited by a moderator:
mafisadi wote,mbona baba yangu kaisha vile wakati wao vitambi tu....
 
Lakini ni hatari sana maana naona walinzi ni mdebwedo sana hawana hata siraha zozote
 
Back
Top Bottom