MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,752
- 71,656
Huyo ashazoeleka kuropoka tangu enzi za JAKAYA.
View: https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0
General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao.
Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono serikali ya Congo, Rwanda iliwasamehe na kuwaacha wapite nchini Rwanda na kurudi makwao. Katika watu ambao waliruhusiwa kupita Rwanda ni pamoja na askari wa JWTZ ambao kuna video inaonesha wanasachiwa ili kurudi nyumbani.
Paul Kagame amesema, kama wale wanajeshi wangethubutu kutunisha misuli bila kusalimu amri basi wangeangamizwa wote. Tena kama kuna wengine wataendelea kufikiria kwamba wataitishia Rwanda basi watafuatwa hukohuko makwao.
Maneno ya Dikteta Paul Kagame yameanzia dakika ya 14 ya hii video niliyoambatanisha hapa. Ni ujumbe wa vitisho kwa mataifa ya SADC, ikiwemo Tanzania, Malawi na Afrika Kusini.
Kuna msemo husema hivi, "Usipokuwa makini, hata mbwa atakucheka"
Povu Ruksa, Karibu Sana......
Hii kauli inaonyesha jinsi gani wamejipanga. Vyombo vya Ulinzi na Usalama viwe macho muda woteTena kama kuna wengine wataendelea kufikiria kwamba wataitishia Rwanda basi watafuatwa hukohuko makwao.
Na wewe unavyoona Kagame anaweza kumuogopa Mama kweli?
View: https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0
General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao.
Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono serikali ya Congo, Rwanda iliwasamehe na kuwaacha wapite nchini Rwanda na kurudi makwao. Katika watu ambao waliruhusiwa kupita Rwanda ni pamoja na askari wa JWTZ ambao kuna video inaonesha wanasachiwa ili kurudi nyumbani.
Paul Kagame amesema, kama wale wanajeshi wangethubutu kutunisha misuli bila kusalimu amri basi wangeangamizwa wote. Tena kama kuna wengine wataendelea kufikiria kwamba wataitishia Rwanda basi watafuatwa hukohuko makwao.
Maneno ya Dikteta Paul Kagame yameanzia dakika ya 14 ya hii video niliyoambatanisha hapa. Ni ujumbe wa vitisho kwa mataifa ya SADC, ikiwemo Tanzania, Malawi na Afrika Kusini.
Kuna msemo husema hivi, "Usipokuwa makini, hata mbwa atakucheka"
Povu Ruksa, Karibu Sana......
Hiyo mikwara tu mkuu,kwa anayemjua huyo hapati shida.Hii kauli inaonyesha jinsi gani wamejipanga. Vyombo vya Ulinzi na Usalama viwe macho muda wote
View: https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0
Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono serikali ya Congo, Rwanda iliwasamehe
Ameshoma siasa za wabaya wake akajua raia wamegawanyika sana na hiyo ndio karata yake turufu.Hiyo mikwara tu mkuu,kwa anayejua huyo hapati shida.
Kipindi cha Jakaya alipiga mikwara sana aisee,JAKAYA akampiga mkwara wa askari wa mpakani kwa paredi akaufyata.
Sijui kwa nini Kagame unamwita dikteta MALCOM LUMUMBA
View: https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0
General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao.
Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono serikali ya Congo, Rwanda iliwasamehe na kuwaacha wapite nchini Rwanda na kurudi makwao. Katika watu ambao waliruhusiwa kupita Rwanda ni pamoja na askari wa JWTZ ambao kuna video inaonesha wanasachiwa ili kurudi nyumbani.
Paul Kagame amesema, kama wale wanajeshi wangethubutu kutunisha misuli bila kusalimu amri basi wangeangamizwa wote. Tena kama kuna wengine wataendelea kufikiria kwamba wataitishia Rwanda basi watafuatwa hukohuko makwao.
Maneno ya Dikteta Paul Kagame yameanzia dakika ya 14 ya hii video niliyoambatanisha hapa. Ni ujumbe wa vitisho kwa mataifa ya SADC, ikiwemo Tanzania, Malawi na Afrika Kusini.
Kuna msemo husema hivi, "Usipokuwa makini, hata mbwa atakucheka"
Povu Ruksa, Karibu Sana......
Kikwete aliwahi chimbwa mkwara Mbuzi kama huo na huyo kimbaumbau,au nyie Mlikuwa hamjazaliwa?Leo Mzee wetu anagombea Uraisi 2025-2030.Tanganyika is no more.
Naona wako macho dhidi ya chadema tuuuuHii kauli inaonyesha jinsi gani wamejipanga. Vyombo vya Ulinzi na Usalama viwe macho muda wote
Alichokifanya Kikwete ni kuwasumbua Watanzania wa Kabila la Watusi ambao wengi wao wapo Tanganyika Tangu ya miaka ya 1830sHiyo mikwara tu mkuu,kwa anayejua huyo hapati shida.