Guys!
U-bright ninao uzungumzia mimi ni zaidi ya ule unaoujua/fikiria ww (wa darasani), am talking here abt how they are focused and being determined kwa kile ambacho wao wana nuia iwe ktk miaka 20 au hata 100 ijayo (kwa faida ya wajukuu/vijukuu). Akili za darasani is one thing, na akili za maisha is another thng, kuwa na first class/au kwenda 'red brick' education institutions isn't such a guarentee ya ww kuwa kiongozi bora au mwenye maamuzi bora. Mzee wa vijisenti proves me am right on ths!
Am saying ths coz nimeishi nao, iwe nje au ndani ya darasa, ktk maisha ya kawaida kabisa na nimejifunza alot frm wao kitu ambacho kinatutofautisha sisi (the rest of east africans) na wao. Mind you, appreciation ktk maisha sio kwamba unajidharau ww na kuwatukuza/kumtukuza mwingine, pengine ni njia ya ww kujifunza mawili matatu from wao. Ain't saying ths on the basis to disrespect Hutu's, am sure they have their own potential traits as well!
Kuna mchangiaji hapo juu kasema wale ambao hamjui historia ya Rwanda that is to say Tsusi, that is to say historia ya Hutu, Gwa, na Tsusi mwaweza pinga my dictum, ila thats the fact, kwa kuanzia tafuteni kitabu; Comprehandling and Mastering African Conflicts- Prof. Adebayo Adedeji (Editor), then kwa kuanzia utaelewa nini namaanisha in as far as Tsusi are concerned!
Kama kuna mtu yuko interested zaidi na ninayo sema na pngine kutafuta proof/facst ya kile nichosema embu fwatilieni pale UDOM, hawa jamaa wanaka-association kao flani hvi, embu kufanyanyeni U-shushushu mtaamini kuwa wenzetu sio vilaza (sor for saying ths), kama wengi wetu sie!
Mfano ulioutoa sio wa kuigwa au hata kufikia kuita watu kuwa ni "bright"! Hiyo hali kama unavyosema ya kujitenga na kuwa na mikakati ya muda mrefu ndio ambayo imewafikisha kwenye machafuko na mifarakano iliyopo sasa. Fikiria kwa mfano kama kila kabila hapa Tanzania likianza kujitenga na kujiwekea mikakati ya kutawala makabila mengine, unadhani tunaweza kuishi kwa amani hapo baadae? Hakuna kabila au mtu aliye bora kuliko mwingine...hii ni kasumba ambayo imesababisha matatizo na maafa mengi hapa duniani. Kwahiyo kama hao unaowaita "bright" wataendelea na kasumba ya kubaguana na kuweka mikakati ya muda mrefu kwa wajukuu na vitukuu kama unavyodai; nasikitika kuwa mikakati hiyo hiyo itazidi kuwaponza kwa muda mrefu.