Elections 2015 Rais Jakaya Kiwete ashitakiwa Mahakama ya Kimataifa ya ICC

Kweli naamin chadema hamna uwezo wa kuongoza nchi. Hivi kwann viongoz wenu hawaachi kulalamika?

Lakn acha tusubir tuone
hapo kuna malalamiko yoyote. Hawa watu hawana mchezo watamwita uholanzi aanze kula kibano. hawatanii kabisa
 
nyie malofa naona mnatumia nguvu nyingi kutafuta visingizio
mnajitoa tu ufahamu

subirini mrudushiwe akili zenu muweze kufikiri na kutafakari....na Magufuli atawanyoosha watu wazembe kama nyinyi
FANYENI KAZI ACHENI UZEMBE
RAIS ANAEKUJA SIO HUYO KILAZA WENU

Code:
HAPA KAZI TU DKT MAGUFULI NDO RAIS WETU JMT
Hivi kwa nini ccm mnavimatusi vya reja reja sana. Sababu nini.!?
 
Kikwete aliapa kuilinda katiba ya nchi na ya ccm na aliahidi kuongoza kwa kufuata sheria.
Kaongoza uvunjwaji wa katiba ya chama chake wkt wa kumpitisha mgombea urais. Sasa ameanza tena kuingilia na kuvunja sheria halali za kimataifa za uchaguzi. Eti sio kazi ya wananchi kulinda kura.
Sijuitumuweke kwenye kundi gani huyu rais wetu kipenzi.
MIMI NASEMA PIGA KURA LINDA KURA.
 
Na safari hii watakoma ubishi, na baada ya uchaguzi na vyama vyao vitakuwa vimefika mwisho, hivi wanadhani ICC ni mazuzu au wanadhani pia ICC ni wanasiasa, kwanza Mbowe na Lowasa ndo wanavunja sheria kimsingi ndo wanatakiwa kushitakiwa, wao ndo wanavunja sheria za tume kwa kuwambia vijana wasiondoke vituon baada ya kupiga kura.

Ndo shida ya ccm zoo! Wote mnaakili za wanyama.
Kikwete aliapa kuilinda katiba ya nchi na ya ccm na aliahidi kuongoza kwa kufuata sheria.
Kaongoza uvunjwaji wa katiba ya chama chake wkt wa kumpitisha mgombea urais. Sasa ameanza tena kuingilia na kuvunja sheria halali za kimataifa za uchaguzi. Eti sio kazi ya wananchi kulinda kura.
Sijuitumuweke kwenye kundi gani huyu rais wetu kipenzi.
MIMI NASEMA PIGA KURA LINDA KURA.
 
Kwikwikwikwikwikwi kweli akili hamna,,sasa hapa mmeshitaki au mmepeleka umbeya?? Mbona mnachuki sana na JK, amewafanya nini mkwere wa watu mbona yupo poa tu,, ikulu hii mbona mnaitafuta kwa nguvu sana wajameni??? Ikulu hatuendi kwa nguvu hiyo???
 
Ulaya mawakala wanaaminika sana huwa hawachukui Rushwa, huku Tanzania Membe na wahindi matajiri wamechanga mabilioni huku Membe akitoa yale mapesa ya Marehemu Gadafi kwa ajili ya kazi moja tu kuwanunua mawakala wote wa Ukawa na vyama vingine usifananishe Tanzania na ulaya wala kenya hii Tanzania ina vitabia vya kipekee ndiyo Maana ICC itawakamata watoa kauli pekee si wapiga kura au walinzi wa kura

Hamjawa tayari kupewa dola mkuu,, yaani mawakala wenu wananunulika??? sasa utawala wenu si ndio utakuwa balaa kwa rushwa,, maana wakala ni mtu muhimu sana kwenye uchaguzi, ina maana hivyo vyama vyenu havina wazalendo???
 
watanzania wengi ni wajinga wa kutupa.... eti tunaanza kushtakiana nje ya nchi si ujinga kabisa huu... hata wao ICC wanatushangaa kwa kweli...

mfia maji haachi kutapatapa

ICC is a toothless bulldog. Hata hivyo Kikwete is respected internationally. Hao chadema ndiyo wanaowatia wananchi hofu ili kuficha aibu yao Lowasa akishindwa. Tupige kura na tukubali matokeo. Rais Kikwete anaimarisha ulinzi ili wahuni wasituharibie Amani yetu.
 
Hamjawa tayari kupewa dola mkuu,, yaani mawakala wenu wananunulika??? sasa utawala wenu si ndio utakuwa balaa kwa rushwa,, maana wakala ni mtu muhimu sana kwenye uchaguzi, ina maana hivyo vyama vyenu havina wazalendo???

Kanunuliwa Professor Lipumba sembuse standard 7 level??

Siitaki ccm nitalinda kura yangu.
 
Huko ndio kunaitwa kutapatapa, mtaenda mpaka wapi, lakini nchi hamuipati, kama wapinzani wenyeweni hawa wapya akina mamvi,mr zero. nayule babu asiye meno etc, mjiandae upya 2020!
 
Aisee every move ya chadema inasababisha niichukie tu,think tanks wa CDM siku hizi ni Regina na mbowe
 
Huko ndio kunaitwa kutapatapa, mtaenda mpaka wapi, lakini nchi hamuipati, kama wapinzani wenyeweni hawa wapya akina mamvi,mr zero. nayule babu asiye meno etc, mjiandae upya 2020!

Dr Slaa ndiye angewakomboa sasa upinzani kwisha. Bahati haiji mara mbili.Tingatinga atarekebisha maovu yote ya ccm kwa urahisi baada makapi papa kuondoka. Yaliyobaki ndani yaanze kutubu na kurejesha Mali yetu.
 
Kweh! Kweh! Kweh! Mkwele, me siliongelei kwa sababu tayali lipo mahakamani.
 
hapo kuna malalamiko yoyote. Hawa watu hawana mchezo watamwita uholanzi aanze kula kibano. hawatanii kabisa

wamuite kwa makosa yapi? Mtakuja kudharaulika bure waka mashtaka yenu yanachambiwa na wafungwa vyyon
 
Ukifanikiwa kusoma malengo makuu ya uwepo wa mahakama hii ya ICC ndo utaelewa nn tunachozungumza

Unaongea km kiongoz wko JK,et mahakama hii tangu kuanzishwa kwake inakandamiza viongozi wa nchi za kiafrika,ww unafikir viongoz wa ulaya na Asia wanaropoka km hao viongoz wenu?ulishawahi ckia nchi zao wakigoma kuondoka madarakani km kina Nkurunzinza?uliwahi ckia wakigombania raslmali za nchi zao wenyewe?uliona kiongoz akivunja katiba ya nchi Yao?

Kuna upuuz mkubwa sana unaofanywa na viongozi wetu wa kiafrika ambao unakinzana na mkataba wa icc,hawajasoma vzr mkataba ule na kuuelewa

Fatue Bensudar Ana kazi ya ziada kwa viongoz wa afrika

Kiongozi angekua kama Mbowe unachosema kingefanana, lakini CCM ni Waungwana umemuona JK anaaga kila mahali.

Lakini Chadema haiwezi kushinda Uchaguzi Kampeni zenyewe hovyo Kiongozi/Mgombea wenu hawezi kujieleza mpaka asemewe Wilaya na Majimbo mengi hajafika.

1445311394098.jpg

Pia kundi mlilolenga kuwapatia Kura ni walevi na hamjafanya Tafiti, huwezi kudai tu kwamba Vijana watawapigia Kura CDM, lazima uwachambue ni Vijana wa kundi gani miaka 18/25 au 25/35 au 35/45 ni kundi gani la Vijana.
 
Umekosa cha kuandika
Rudi shulen mwalim wako wa uraia akakufundishe kazi kubwa moja ya mahakama ya ICC
Usidanganye watu
tukwambie kwamba rais wa nchi hii hana kashfa hata moja ya uhalifu wa kivita.
 
Ulaya mawakala wanaaminika sana huwa hawachukui Rushwa, huku Tanzania Membe na wahindi matajiri wamechanga mabilioni huku Membe akitoa yale mapesa ya Marehemu Gadafi kwa ajili ya kazi moja tu kuwanunua mawakala wote wa Ukawa na vyama vingine usifananishe Tanzania na ulaya wala kenya hii Tanzania ina vitabia vya kipekee ndiyo Maana ICC itawakamata watoa kauli pekee si wapiga kura au walinzi wa kura

Kwa hiyo mmewaanda Mawakala wenu kununuliwa na Membe, nyie wasemaji wa Chadema mbona hamueleweki? kujieleza tu hamuwezi Kesi mtashindaje?
 
Back
Top Bottom