Vipi ndugu tujuze eti kweli ukiweka coin sehemu uliochoma inanasa?!Kiongozi pambana uipate hata mimi nimefanikiwa kuipata nikiwa hapa Nairobi
Vipi ndugu tujuze eti kweli ukiweka coin sehemu uliochoma inanasa?!Kiongozi pambana uipate hata mimi nimefanikiwa kuipata nikiwa hapa Nairobi
Nidhamu ya woga! Asingediriki kuleta chanjo hiyo awamu ya 5 na hija hawakwenda!Rais wa Zanzibar mh Hussein Mwinyi amesema kuwa chanjo kwa Zanzibar ipo pale pale na kuongeza kuwa kama kina mtu hataki kupewa hiyo chanjo ni juu yake.
Na akasema kuwa isitokee watu wakaanza kuvumisha urongo kuwa hiyo chanjo imesababisha watu waliochanjwa kupoteza maisha.
Kama wazungu wananchanjwa inakuwaje sisi tuiogope kuchanjwa?
Hii hapa clip yake akiunguruma
View attachment 1801761
We anza kabixa safari usije chelewa bureKama Tanganyika watachelewa kuingiza chanjo binafsi nitaenda Zanzibar kudungwa
Kwanini mchawi asiwe huyo aliekuaminisha kwamba hio chanjo itakukinga na mdudu anayebadilika badilika..Huku nchi nilipo nisha chanjwa Mara zote mbili. Sasa huyo mchawi wenu endeleeni kumlindia legacy
Unamwita shetani. Unatembemea kwenye bararaba zake Amefanya kazi kuliko watangulizi wake wote.K wewe! Unadhani wote wanamsujudu shetani mtu wenu!
Mh Mwinyi tafadhali Sana tuwekee utaratibu mzuri watu wa bara wa kuja dungwa ,hatuwezi kaa na akina Kinjekitile hapa bara waletao Mambo ya nyungu ,KWA kauli yako anaetaka apate asietaka abaki na Mambo yake nyumbani ,alisema mwendazake , KWA gharama yoyote watu wangu wa karibu watachanjwaWe anza kabixa safari usije chelewa bure
Mjinga wewe hujui barabara ni mali ya serikali? Huyo shetani bado anadaiwa fedha za umma alizokwapua!Unamwita shetani. Unatembemea kwenye bararaba zake Amefanya kazi kuliko watangulizi wake wote.
Kwa hapa EU... subiri tu zamu yako!Naendelea kupambana
NILICHOKUWA NAMPENDEA RAIS WANGU JPM NI MISIMAMO THABITI,WALIOKO SASA HAWAJIELEWI ISSUE YA BARAKOA INAFANYIKA KINAFIKINAFIKI WAMEKWAMA NA HIYO CHANJO YAO SIJUI WATAMCHOMA NANI,WATU WAMETINGISHWA KIDOGO TU NA WHO WAMETIKISIKA.Aliaminisha vingi na bado vinaishi, alipinga barakoa na unaona huyo Mwinyi anavaa barakoa akienda nje ya nchi tu na huyo Samia utafikiri yeye ndio mwenye corona maana anapokuwepo yeye ndio watu huvaa barakoa ila asipokuwepo watu hawana time na barakoa.