Rais haramu ni yule anaye fanya wajibu usio muhusu na hata akifanya vizuri kwa mazingira kama haya hawezi kusifika kabisa ni haramu

Rais haramu ni yule anaye fanya wajibu usio muhusu na hata akifanya vizuri kwa mazingira kama haya hawezi kusifika kabisa ni haramu

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,560
Reaction score
7,914
Rais haramu ni yule anaye fanya wajibu usio muhusu na hata akifanya vizuri kwa mazingira kama haya hawezi kusifika kabisa ni haramu.

Raisi samia asifiki ni haramu kwenye hiyo nafasi ameuwa watanzania wengi sana na kuteka watu wengi sana kwenye utawala wake haijawai kutokea mtu kama huyu huwezi kumsifia hata akifanya vizuri vipi hasifiki kwakuwa amepatikana kwenye uharamu.
 
Japo sitetei mauaji, lakini napenda wana jf ambao they think right na wanapenda kuujua ukweli na kuzungumza ukweli

Kwanza kuna kitu kinaitwa halali, legally na kinyume chake ni haramu, illegal kama Muislamu kula ile nyama ya kile kipindi changu, KTMT.

Kuna kitu kinaitwa haramu kisheria sio illegal, bali illegitimate kama mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa, illegitimate child, mwanaharamu,

Kuna kitu kinaitwa haramu kama kwenye ndoa ndoa haramu, illegal marriages kama ndoa za maharimu, incest au same-sex marriages, ndoa za jinsia moja.

Kuna ndoa zinaitwa void marriages na voidable, ni ndoa batili na batilifu ambazo sio halali lakini sio ndoa haramu.

Uchaguzi unapaswa kuwa uchaguzi huru na wa haki, lakini hata usipokuwa uchaguzi huru na wa haki, sio uchaguzi batili wala haramu, anayechaguliwa anakuwa hajachaguliwa kwa haki, laikini sio haramu!.
Sii kweli,ubakaji ni kitendo haramu na kosa la jinai,ila ili
ubakaji huo uwe ni haramu na kuwa kosa la jinai,lazima haramu hiyo iharimishwe kwa aliyebakwa kutoa taarifa kuwa amebakwa!,ndipo hatua zichukuliwe,ukibakwa usipolalamika kuwa umebakwa,utahesabika umeridhia!hivyo ubakaji ule unakuwa ni halali, kinachohalalisha haramu ya ubakaji kuwa halali ni ukimya wa kutokurepoti ubakaji!

Na ukimbaka mtu ukamtia mimba,mtoto atakayezaliwa nje ya ndoa kutokana na ubakaji huo,ni mwanaharamu. Uharamu wa huyo mtoto ni mimba kutungwa nje ya ndoa。

Ikitokea ukambaka mwanamke tasa aliyeachwa kutokana na utasa,na kutokana na kuachwa kwa muda mrefu,hajazipata zile huduma,hivyo akafurahia kubakwa kwake na aka enjoy akafika hadi kupata multiple orgasm,hadi blocked fallopian tubes zikafunguka,badala ya kumlaam mbakaji akamshukuru,na akasema atakuwa anapita pita njia hiyo ili mbakaji ambake tena na tena.

Kumbe utasa wa huyo dada ulitokana na kutokushughulikiwa vizuri ipasavyo,fallopian tubes zika block,kufuatia shughuli pevu ya kubakwa,mirija iliachia,kitu kikapenya kisawasa akashika ujauzito!

Taarifa ya ujauzito kwa mwanamke tasa ni habari njema!,alimfuata mbakaji,akamuomba waoane,mke akagharimia kila kitu!kama zali la mentali,likafanyika bonge la harusi, mtoto akazaliwa ndani ya ndoa,ndoa hiyo ni ndoa halali japo ilitokana na haramu ya ubakaji,na mtoto aliyezaliwa ni mtoto halali kabisa,japo mimba ilitungwa kiharamu, uhalali wa mtoto unahesabika tarehe aliyozaliwa sio tarehe ya mimba ilipotungwa!.

Uchaguzi wa urais wa Tanzania ndio ule ubakaji,mbakaji ni INEC,mtoto aliyezaliwa kwenye ubakaji huo ni rais Samia,kitendo cha INEC kumtangaza Samia ndie mshindi,ni kutangaza ndoa,kuapishwa ndio kufunga ndoa,hivyo Rais Samia ndiye mtoto halali aliyazaliwa kwenye ndoa hiyo.

Hata kwa ndugu zetu Waislam,nyama ya ile kitu ni haramu,ikitokea kula bila kujua ni nyama ya nini,sio kosa,na ikitokea hakuna chakula kingine chochote isipokuwa hicho,them Waislamu wanaruhusiwa kula,inakuwa ni halal!

Hata kwenye ndoa,ili ndoa iwe ni ndoa halali,lazima ndoa hiyo iwe consumated,ikitokea jogoo ameshindwa kuwika na kupanda mtungini,ndoa hiyo inakuwa ni batili au batilifu, siku jogoo akiwika na kupanda mtungini,inageuka ni ndoa halali!

Hivyo ni mara kibao,vitu vingi tuu haramu,vinahalalishwa na kugeuka halali!.

Hivyo nawaomba sana msimwite Rais Samia ni Rais Haramu, anaweza kuwa hakuchaguliwa kwa haki lakini sio Rais Haramu!. PostGE2025 - Mnyika, Japo Uchaguzi Sio Huru, Wa Haki na Halali, lakini Usimwite Rais Haramu!. Baada ya Kuapishwa ni Rais Halali Kisheria japo Sio Ki Haki!

P
 
Japo sitetei mauaji, lakini napenda wana jf ambao they think right na wanapenda kuujua ukweli na kuzungumza ukweli

Kwanza kuna kitu kinaitwa halali, legally na kinyume chake ni haramu, illegal kama Muislamu kula ile nyama ya kile kipindi changu, KTMT.

Kuna kitu kinaitwa haramu kisheria sio illegal, bali illegitimate kama mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa, illegitimate child, mwanaharamu,

Kuna kitu kinaitwa haramu kama kwenye ndoa ndoa haramu, illegal marriages kama ndoa za maharimu, incest au same-sex marriages, ndoa za jinsia moja.

Kuna ndoa zinaitwa void marriages na voidable, ni ndoa batili na batilifu ambazo sio halali lakini sio ndoa haramu.

Uchaguzi unapaswa kuwa uchaguzi huru na wa haki, lakini hata usipokuwa uchaguzi huru na wa haki, sio uchaguzi batili wala haramu, anayechaguliwa anakuwa hajachaguliwa kwa haki, laikini sio haramu!.

P
This is comment is illigitimately legal.
 
Rais haramu ni yule anaye fanya wajibu usio muhusu na hata akifanya vizuri kwa mazingira kama haya hawezi kusifika kabisa ni haramu.

Raisi samia asifiki ni haramu kwenye hiyo nafasi ameuwa watanzania wengi sana na kuteka watu wengi sana kwenye utawala wake haijawai kutokea mtu kama huyu huwezi kumsifia hata akifanya vizuri vipi hasifiki kwakuwa amepatikana kwenye uharamu.
nonsense
 
Back
Top Bottom