Allan mapesa
Senior Member
- Jul 15, 2017
- 124
- 88
Kwanini aseme inawezekana???inamana hana uhakika nayote hii inatokea kwa7 anapnda misifa yule mzeeAcha kupotosha, amesema ''INAWEZEKANA''. Punguza chuki.
Kwa unatuhakikishia tuna rais anayechanganya ukweli na uongo kwenye hotiba moja?Kwahiyo wewe hotuba nziima.. ulicho ondoka nacho ndio hicho... Badilika huo ni uduanzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnachanganya mabomba ya Mafuta, Gas, Crude Oil, etc yote mnapigia hesabu humo humoBomba la kusafirisha mafuta la TAZAMA PIPELINE LTD kutoka DSM mpaka Ndola Zambia lina urefu wa Km 1705 je sii zaidi ya hilo la India?
Duuu...malkia Elizabeth wapenda lugha yako wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Rais akisema ni sheria.Katika hotuba yake kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta kasema kuwa "ameambiwa bomba refu duniani lipo india lina kilometa 600, na hivyo bomba la kutoka uganda kuja Tanga ndio litakua refu zaidi duniani"
Nadhani wasaidizi wake hawakuingia hata google fasta kupekenyua. Bomba refu duniani lina km4107 linatoka Urusi, poland mpaka Ujerumani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu shule hua mnaenda kufanya nini, hata kusiliza ukaelewa huwezi, kwa faida yako na wengine, rais hakusema ni refu bali alisema huenda likawa bomba refu zaidi duniani la aina hiyo(heated crude oil pipeline) yaani bomba la mafuta ghafi linalosafirisha mafuta wakati huo huo yanachemshwa. Na akasema kwa record zake bomba la aina hiyo lenye urefu mkubwa ni 600km lipo India, kwa maana hiyo hili la Uganda - Tanzania huenda likawa ndio refu kuzidi yote. Kwa msaada zaidi fungua link hapo chini.Katika hotuba yake kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta kasema kuwa "ameambiwa bomba refu duniani lipo india lina kilometa 600, na hivyo bomba la kutoka uganda kuja Tanga ndio litakua refu zaidi duniani"
Nadhani wasaidizi wake hawakuingia hata google fasta kupekenyua. Bomba refu duniani lina km4107 linatoka Urusi, poland mpaka Ujerumani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa huna akili ukimpa mwanao hizo hotubaHawa wasaidizi wanatakiwa ama wapimwe mkojo au wawe wanafanya jitihada mathubuti kuhakikisha mtukufu Rais anapata taarifa sahihi maana hotuba hizi ni muhimu ktk kumbukumbu za sasa na vizazi vijavyo.
OhoooKatika hotuba yake kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta kasema kuwa "ameambiwa bomba refu duniani lipo india lina kilometa 600, na hivyo bomba la kutoka uganda kuja Tanga ndio litakua refu zaidi duniani"
Nadhani wasaidizi wake hawakuingia hata google fasta kupekenyua. Bomba refu duniani lina km4107 linatoka Urusi, poland mpaka Ujerumani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika hotuba yake kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta kasema kuwa "ameambiwa bomba refu duniani lipo india lina kilometa 600, na hivyo bomba la kutoka uganda kuja Tanga ndio litakua refu zaidi duniani"
Nadhani wasaidizi wake hawakuingia hata google fasta kupekenyua. Bomba refu duniani lina km4107 linatoka Urusi, poland mpaka Ujerumani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Longest HEATED Pipe. Ingekuwa vizuri kama ukiwa una sikiliza kwa makini.
Nilikua namskiza mheshimiwa akisema kwamba bomba linalozinduliwa tanga ndo refu zaidi dunian.
Seriously? It was the very first page on google
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni Heated sio urefu tu. Hakuna bomba refu ambalo ni HEATED kama hili la TZ na UGHawa wasaidizi wanatakiwa ama wapimwe mkojo au wawe wanafanya jitihada mathubuti kuhakikisha mtukufu Rais anapata taarifa sahihi maana hotuba hizi ni muhimu ktk kumbukumbu za sasa na vizazi vijavyo.