Rais hapa umeteleza kuhusu urefu wa bomba

Status
Not open for further replies.
Bomba la kusafirisha mafuta la TAZAMA PIPELINE LTD kutoka DSM mpaka Ndola Zambia lina urefu wa Km 1705 je sii zaidi ya hilo la India?
Mnachanganya mabomba ya Mafuta, Gas, Crude Oil, etc yote mnapigia hesabu humo humo
 
Katika hotuba yake kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta kasema kuwa "ameambiwa bomba refu duniani lipo india lina kilometa 600, na hivyo bomba la kutoka uganda kuja Tanga ndio litakua refu zaidi duniani"

Nadhani wasaidizi wake hawakuingia hata google fasta kupekenyua. Bomba refu duniani lina km4107 linatoka Urusi, poland mpaka Ujerumani.
227f2dbbace4c92e81d9229d9e654754.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Rais akisema ni sheria.
 
Mkuu shule hua mnaenda kufanya nini, hata kusiliza ukaelewa huwezi, kwa faida yako na wengine, rais hakusema ni refu bali alisema huenda likawa bomba refu zaidi duniani la aina hiyo(heated crude oil pipeline) yaani bomba la mafuta ghafi linalosafirisha mafuta wakati huo huo yanachemshwa. Na akasema kwa record zake bomba la aina hiyo lenye urefu mkubwa ni 600km lipo India, kwa maana hiyo hili la Uganda - Tanzania huenda likawa ndio refu kuzidi yote. Kwa msaada zaidi fungua link hapo chini.

Uganda, Tanzania sign deal for world's longest heated pipeline - Reuters Africa
https://www.google.com/url?sa=t&sou...ggrMAA&usg=AFQjCNHF01lVRQY8DLYYgbMZFzELsut7EA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika hotuba yake kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta kasema kuwa "ameambiwa bomba refu duniani lipo india lina kilometa 600, na hivyo bomba la kutoka uganda kuja Tanga ndio litakua refu zaidi duniani"

Nadhani wasaidizi wake hawakuingia hata google fasta kupekenyua. Bomba refu duniani lina km4107 linatoka Urusi, poland mpaka Ujerumani.
227f2dbbace4c92e81d9229d9e654754.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Ohooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ungekaa urudie kusikiliza tena hotuba, kasema yawezekana likawa bomba lefu linalosafirisha HEATED CRUDE OIL. mafuta yalipatikana uganda yanaasili ya kunata, hvyo razima kuwe na vituo kadhaa njiani kwaajil ya kuyapasha joto.
 
Raisi alisema la mafuta lenye technology ya heating , sio just bomba la mafuta Ila bomba Lenye hiyo technology

Katika hotuba yake kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta kasema kuwa "ameambiwa bomba refu duniani lipo india lina kilometa 600, na hivyo bomba la kutoka uganda kuja Tanga ndio litakua refu zaidi duniani"

Nadhani wasaidizi wake hawakuingia hata google fasta kupekenyua. Bomba refu duniani lina km4107 linatoka Urusi, poland mpaka Ujerumani.
227f2dbbace4c92e81d9229d9e654754.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi Mhe.Rais alivyomjibu Mseven kuhusu kupitisha Bunduki 14 za magendo Holo holo mwaka 1972?Kamjibu vizuri.Mseven alitaka kudharau usalama wa Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wasaidizi wanatakiwa ama wapimwe mkojo au wawe wanafanya jitihada mathubuti kuhakikisha mtukufu Rais anapata taarifa sahihi maana hotuba hizi ni muhimu ktk kumbukumbu za sasa na vizazi vijavyo.
Mkuu ni Heated sio urefu tu. Hakuna bomba refu ambalo ni HEATED kama hili la TZ na UG
 
Status
Not open for further replies.
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom