Rais halali wa Gambia na first lady wawili.

Ina maana ulipendewa shape? Kama hapo unene tu ambao unaweza kufanya mazoezi na diet na ukawa portable ndo umekuachisha sasa ungepata chongo au kukatika miguu si ungeuwawa kabisa?
si fala yule? akwende kule asinipe stress mie
 
Mie sipendi uke wenza sijui kwa nini! nina wivu sana.

Kimsingi siyo wivu ni ubinafsi tu. Wanawake wenzio wamejaa mtaani wewe unataka eti uwe na wako peke yako, sasa wengine wafanyeje. Jitahidini kuwahurumia wanawake wenzenu kwa kuacha ubinafsi, dunia hii maisha ni ushirikiano
 
utaweza kuvumilia Siku mwanaume analala kwa mke mwenzio unajua kabisaa mida hii watakua wanamanuana, ni ngumu sana maana zamu ya mwenzio yoote unaweza kugeuka kuwa kisirani
Sio kweli kwa kuwa kama anakutimizia haki zako efficiently basi kipindi yuko kwa mwenzako wewe utakuwa hoi unakusanya nguvu kwa ajili ya round nyingine.
 
utaweza kuvumilia Siku mwanaume analala kwa mke mwenzio unajua kabisaa mida hii watakua wanamanuana, ni ngumu sana maana zamu ya mwenzio yoote unaweza kugeuka kuwa kisirani
Kwenye mwanamke mwenye imani na dini wala hana tabu kabisa!!
 
duuh

mheshimiwa ana wake wawili,

hilo taifa litakuwa na shida kubwa sana, maendeleo

wanawake watakua wanajirembeashea uchumi wa nchi walahi
 
Back
Top Bottom